Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 697
- 1,474
Saa 1 naenda kwenye mpiraMwambie kuna mahali unataka kwenda mtoke pamoja umsogeze kikidogo.
Hapa atajua unamfanyia visa?Matendo magumu asiyoyaelewa w ala kuyapenda halafu kaa kimya usiongee baada ya tukio hata akikulazimisha vipi. Matukio au matendo ya mfululizo yasiyotabirika wala kuvumilika kirahisi
Uzi ufungweMwambie kuna shemeji au wifi yake anakuja so achanganye kwato asepe
Na miye naunga mkono uzi ufungweMwambie kuna shemeji au wifi yake anakuja so achanganye kwato asepe
Saa 1 naenda kwenye mpira
Hapa atajua unamfanyia visa?
Njoo kwangu tuishi wote,kuhusu ndoa tutajua mbele kwa mbeleFikiria upo kwenu haujaoa/kuolewa na unazeekea kwenu aisee wazazi wanashindwa kukuambia utoke nyumbani kwso[emoji41]
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app