Akufukuzae Hakwambii Toka, Njia ngani nzuri ya kumwambia mtu sasa ni wakati wa yeye kwenda?

Akufukuzae Hakwambii Toka, Njia ngani nzuri ya kumwambia mtu sasa ni wakati wa yeye kwenda?

Cybergates

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
697
Reaction score
1,474
Wakuu,

Njia gani bora ya kumwambia mtu sasa ni wakati kwenda kwake?

Mara nyingi wana wakija lbd kuangalia movie au kutumia Internet unawez kumuambia "Aise mda wa kusepa huu" mtu anakuelewa haina hata shida naondoka

Shida ni kwa wadada toka asubuhi mpaka mdaa huu bado mtu hana mpango

Na pia wengine ni ndungu wa karibu.

Ladba nataka kumuambia sasa ni mda wa yeye kwenda, ili aelewe na asione kama namfukuza na pia siku nyingine akijiskia kuja aje?
 
Mwambie kuna mahali unataka kwenda mtoke pamoja umsogeze kikidogo.
Saa 1 naenda kwenye mpira
Matendo magumu asiyoyaelewa w ala kuyapenda halafu kaa kimya usiongee baada ya tukio hata akikulazimisha vipi. Matukio au matendo ya mfululizo yasiyotabirika wala kuvumilika kirahisi
Hapa atajua unamfanyia visa?
 
Umenikumbusha juzi tu na masela tumechek mech ya Mnyama na singidadaz,mechi imeisha late masela wanasema wanasubiria marudio nkaona jau,nkawambia "mazee shemeji yenu anakuja ngoja nipange gheto"nkadhani wamesepa kumbe wanasubiria nje,Ile nimemaliza kupanga uongo na kweli machizi Hawa hapa,nauliza mbona nshawaambia Nina mgeni,wakasema hawanashida wakimuona.Kifupi Leo nimechek mwenyewe mnyama akiua,nilikuwa niende ubandani but mechi hii ilibidi iangaliwe huku akiliwa mtoto mzuri Mary Jane.
 
Hapo hapo hakuna mazungumzo naye piga action za kutosha ataomba poo tu. Suala la visa achana nalo, usifanyie kabisa visa wewe ishi unpredictable life k wa muda tu utakuja kushikuru hapahapa
Usipoteze muda kuongeaongea wewe tenda tu mfano akiandika sms unaweza kupotezea au kujibu kimkatomkato halafu jibu tofauti na swali la msingi.
Saa 1 naenda kwenye mpira

Hapa atajua unamfanyia visa?
 
Back
Top Bottom