Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 697
- 1,474
Wakuu,
Njia gani bora ya kumwambia mtu sasa ni wakati kwenda kwake?
Mara nyingi wana wakija lbd kuangalia movie au kutumia Internet unawez kumuambia "Aise mda wa kusepa huu" mtu anakuelewa haina hata shida naondoka
Shida ni kwa wadada toka asubuhi mpaka mdaa huu bado mtu hana mpango
Na pia wengine ni ndungu wa karibu.
Ladba nataka kumuambia sasa ni mda wa yeye kwenda, ili aelewe na asione kama namfukuza na pia siku nyingine akijiskia kuja aje?