kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Akichaguliwa na Nyerere tu kushika madarakaOhh nahisi.
Je mzee Karume alikuwepo kisiwani wakati wa mapinduzi akishiriki bega kwa bega?
Pengine hakuwepo! Ndio maana anaskika okelo akimwita, je alikuwa wapi?
Na kwanini amekimbia?
Na Ni kwanini aitwe yeye badala ya wengine ?
Kichakaa...Akichaguliwa na Nyerere tu kushika madaraka
Mzee wangu naona umerukia kwenye mada nyingine unakwepa lengo la hoja yangu..Tad...
Ikiwa huwezi kusoma basi si tatizo.
Mimi katika maisha yangu nimekuwa sichagui katika kutafuta elimu nasoma kila kitu isipokuwa matusi.
Ndiyo sababu nimekuwa hivi.
Ikiwa utakuwa unasoma vile unavyopenda ndiyo hivyo leo unaamini hadithi ya Okello.
Ungemsoma na Ghassany ungemsoma Abeid Mmasai na wengine hawajatajwa katika historia ya mapinduzi.
Mwisho ungejiuliza mbona Kassim Hanga hatajwi katika historia ya mapinduzi ilhali yeye ndiye alikuwa kiongozi mkuu wa mapinduzi?
Kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika ungejiuliza mbona Ally Sykes TANU Card No. 2 na kaka yake Abdul Sykes TANU Card No. 3 hawatajwi kwenye historia ya TANU?
Ikutoshe baba yao Kleist Sykes ndiyo aliyeasisi African Association 1929 na ndiye aliyejenga ofisi ya TAA ilipozaliwa TANU 1954.
Vipi historia nzima inamtaja Nyerere peke yake?
Tadpole,Mzee wangu naona umerukia kwenye mada nyingine unakwepa lengo la hoja yangu..
Hizo history za TANU kupindishwa ni sababu ya mimi sipendi maandiko ya histori ya Tanzania hata hivyo sio lengo la uzi huu na swali langu kwa ujumla...
Swali langu kwako ni hili... umeangalia hiyo video kuona kile ambacho nimekwambia ya kwamba kwenye mahojiano Okello anatambulika kuwa ni kiongozi wa jeshi la mapinduzi kutokana na statement ya swali la pili la mwandishi ambalo lilimlenga okello!?
Kipekee kabisa tunapoenda kuaga mwezi wa 4 mwezi wa historia kwa kamanda wa ukombozi alieuwawa na utawala wa Idd Amini Dada, kwa wapenzi wa makala na rejea za historia Gazet la the monitor limekuwa na makala mfululizo zenye kumbukumbu za shujaa wa Mapinduzi ya Zanzibar...
Huyu ni Mmoja wa Mashujaa wa miaka ile aliyeshiriki kuwaondoa Makoloni huko Zanzibar. Kama ambavyo Bara nao walikuwa wameondoa wao...
Okello baba wa Taifa la Zanzibar. Na Mzee Karume alikuja force Wabantu sisi tuoe Waarabu ndo kisa cha kupatikana mashombeshombe hasa Pemba. Hawa mashujaa wetu wakumbukwe.
Okello baba wa Taifa la Zanzibar. Na Mzee Karume alikuja force Wabantu sisi tuoe Waarabu ndo kisa cha kupatikana mashombeshombe hasa Pemba. Hawa mashujaa wetu wakumbukwe.
Nimeelewa jinsi ambavyo mwafrika Okello alivyoona wenzie wanateswa na weupe akaja waokoa.Mumeelewa waafrika wakiuza waafrika wenzao
Nimeelewa jinsi ambavyo mwafrika Okello alivyoona wenzie wanateswa na weupe akaja waokoa.
Baganda alikuwa mkata katani tanga alitumwa na mwalimu tuu huko zenjiHuyu John alikuwa ni wa nchi gani? Alifikaje Zenj? Malizia story
Nimeelewa jinsi ambavyo mwafrika Okello alivyoona wenzie wanateswa na weupe akaja waokoa.Hujaelewa Miafrika ikiuzana pia?
Nimeelewa jinsi ambavyo mwafrika Okello alivyoona wenzie wanateswa na weupe akaja waokoa.
Basi nayo inahitaji akina Okello wengi waje kufanya mapinduzi kwayo. Tunahitaji akina Okello wengi sana kumbeSikiliza tu utaelewa Miafrika ilivyokuwa ikiuzana
Basi nayo inahitaji akina Okello wengi waje kufanya mapinduzi kwayo. Tunahitaji akina Okello wengi sana kumbe
Kuuana miafrika haishangazi sana. Nenda hapo tu Somalia au Sudan... Utakimbia.... Somalia ndo usiseme. Kote huko wanahitaji Okello angekuwepo.Hujasikiliza bado Miafrika mengine ikijipeleka yenyewe kuuzwa kirahisi Kama Ile inayojipeleka kwa wachungaji kuuliwa kule Kenya
Dah... Hadi kupewa Radio kutoa tamko KUBWA kama hilo, hata kwa akili ya kawaida lazima huyu alikuwa mtu muhimu sana kwenye "operation" aka Mapinnduzia
Aliwekwa mstari mbele kama liability ili mapinduz yakifeli,ye ndo abebe msalaba,wenyeji walikuwa Wana hofu,na WA bara walihofu ingeleta ingemletea sura mbaya Mwalimu JkKwahiyo walimkuta mtaani amekaa wakampa radio kutoa tamko hilo?