Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

Tatizo lako wewe unajifanya mjuaji sana angalia hapo unapojisifu eti unajua vingi kuliko mimi...ulisema waliokifanya kazi kwenye mashamba ya mkonge ni wamakonde nikakuuliza mbona mimi nawajua wazee wengi wa kimwera na kiyao waliokaenda kufanya kazi kwenye mashamba ya mkonge? Kwanini uwataje wamakonde tu?
Mnachihangu,
Nimekujibu suala la Wamakonde kwa kukueleza kuwa Wamakonde walitawala kazi ya kukata mkonge kuliko makabila mengine yote ya Tanganyika.

Huu ndiyo ukweli wa historia.

Wala sijifanyi najua.
Kuwa najua ni kweli najua.

Ukitaka ushahidi zaidi kuhusu Wamakonde wa Kipumbwi soma kitabu cha Dr. Ghassany, "Kwaheri Ukoloni..." utaona na picha zao na utasoma waliyosema.

Mimi kusema najua si majisifu ni kweli historia hii naifahamu vizuri.

Unahitaji utulivu na kusoma ninayoandika utajifunza mengi.

Ikiwa hutaki kukubali sikulazimishi.
 
Historia inaposimuliwa inabidi isiache chechote kile ili isiwe na shaka ndani yake kwahiyo nakuomba usiwe na jazba ... je nikikuambia kuwa kuna wazee wa kimwera na kiyao ambao walikuwa wanafanya kazi kwenye mashamba ya mkonge nao wanalalamika kutotajwa kwenye historia yako utajisikiaje?
 
Mna...
Nimekueleza kuwa kazi ya kukata mkonge ilitawaliwa na Wamakonde.

Hutaki kuamini basi hakuna tatizo.
 
Mna...
Nimekueleza kuwa kazi ya kukata mkonge ilitawaliwa na Wamakonde.

Hutaki kuamini basi hakuna tatizo.
ilitawaliwa kivipi? Na kuna mdau hapo juu kadai kulikuwa na wanyamwezi na wasukuma kibao,halafu pia sijui wamakonde hao waliokatawala walitoka maeneo gani huku mtwara
 
ilitawaliwa kivipi? Na kuna mdau hapo juu kadai kulikuwa na wanyamwezi na wasukuma kibao,halafu pia sijui wamakonde hao waliokatawala walitoka maeneo gani huku mtwara
Mnachihangu,
Wamakonde hawa wengi wao wametokea Mozambique kuja Tanganyika kutafuta maisha kama "migrant labour."

Mimi kawaida yangu ni kufundisha nasomesha historia ambayo haikuwa inafahamika.

Ukiniuliza maswali nitakujibu kadri ya ufahamu wangu.

Huwa siingii kwenye ubishi.
Ubishi hauna tija.

Ukisema wakata mkonge wengi walikuwa Wachagga kwangu sawa.

Nakuacha naendelea kusomesha mengine.
 
Kuna nini mpaka wateseke sehemu ambayo ukubwa wake ni kama mkoa wa mtwara tu? Tena ambako vijana wengi sana wakiume wanaukalia ukuni ?

Kessy alisema zenji ukipuliza firimbi wanatoka nje. Mana ni kakisiwa kadogo sana kwa mkoa wa mtwara unaweza kutoa zenji 100.
 
Sela...
Ukweli ni kuwa binafsi huu mjadala unanifundisha mambo ambayo hayakunipitia kabla.

Kubwa ni utambuzi kuwa wengi wetu hatusomi vitabu hata vya hayo tunayoyapenda na hapa sisi tuko katika ukumbi wa historia.

Chukua mfano huu wa Okello kufananishwa na Che Guevara na Nelson Mandela.

Okello mwenyewe alijipa cheo cha Field Marshall.

Okello kajiona yeye ni sawasawa na Field Marshall Tito wa Yugoslavia aliyepigana na Wajerumani Vita Vya Pili Vya Dunia (1939 - 1945).

Inahitaji kwanza uijue historia ya Tito na jeshi lake la Partisan katika uwanja wa mapambano ndiyo uweze kuona kioja cha John Okello na uweze kujicheka wewe mwenyewe.

Okello kufananishwa na Mandela ni kioja kingine.

Unahitaji uisome historia ya Mandela ndiyo uone kuwa hakuna njia yeyote ambayo unaweza kumfananisha Okello na Mandela.

Okello kumfananisha na Che Guevara ni kioja kingine.

Che na Castro hawa wako mbali sana na hata wanamapinduzi wenye sifa za kufahamika.

Mtafuteni Marshall Tito katika kitabu hiki: "The Rise and Fall of the Third Reich," Mtafute Mandela katika kitabu alichoandika mwenyewe kwa mkono wake, "Long Walk to Freedom."

Angalieni movie hii ya Tito: "The Fifth Offensive."

Jifunzeni kwanza kusoma muelimike.

Elimu ndiyo itakupa maarifa ya kujadili na uwezo wa kuchambua mambo mengi.

Soma vizuri babaa..
Nimesema pengine angekuwa na si kumfananisha na wanamapigano mahiri kina Tito na Che.
Namfananishaje John na watu ambao kwa kiasi kikubwa historia zao zipo wazi kws kila namna?
Nb.
Umetoka kwenye hoja thabiti ya picha mbili za Okelo na moja ya wanamapinduzi wengine ukajikita kwenye hoja dhahania Kwamba pengine Okelo angefanikiwa kuwa mwanamapinduzi wa kuimbwa.Umezama hapo ukasahau Jambo langu.
Swali langu kati ya picha hizo mbili ni sababu gani iliyokushawishi kwamba moja Ni ya siku ya mapinduzi na moja ni ya baada ya mapinduzi?
 
Msikilize hapo akiongea akiwa na Karume.

Kijana mdogo sana miaka 29 akapindua nchi. Bila Okello Zanzibar ingekua bado chini ya Sultani.

Okello tutakukumbuka Daima, haijalishi umekufa ila kumbukumbu yako haitafutika.
Kweli kabisa Okello akumbukwe, tatizo la wavaa kobazi Ni kua wanaamini mkoloni Ni muingereza tu au mjerumani na sio waarabu

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Soma vizuri babaa..
Nimesema pengine angekuwa na si kumfananisha na wanamapigano mahiri kina Tito na Che.
Namfananishaje John na watu ambao kwa kiasi kikubwa historia zao zipo wazi kws kila namna?
Nb.
Umetoka kwenye hoja thabiti ya picha mbili za Okelo na moja ya wanamapinduzi wengine ukajikita kwenye hoja dhahania Kwamba pengine Okelo angefanikiwa kuwa mwanamapinduzi wa kuimbwa.Umezama hapo ukasahau Jambo langu.
Swali langu kati ya picha hizo mbili ni sababu gani iliyokushawishi kwamba moja Ni ya siku ya mapinduzi na moja ni ya baada ya mapinduzi?
Sela...
Picha zote ni wamesimama wakitambua wako pale kupigwa picha ila picha ya mwisho ni screen shot ya "askari" analinda benki wakati wa siku za mwanzo za mapinduzi.

Okello hawezi kuwa Field Marshall.

Alipokwenda Uganda alikuwa askari katika platoon.

Akiwa hivi ndivyo alivyouawa.

Soma historia ya Okello kabla ya kujadili.
 
Huyu ni Mmoja wa Mashujaa wa miaka ile aliyeshiriki kuwaondoa Makoloni huko Zanzibar. Kama ambavyo Bara nao walikuwa wameondoa wao.

Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka hiyo Che Guavera alikuja Tanzania mwaka 1965. Anasema Che alijaribu kuulizia habari za Mwanamapinduzi aliyesaidia kuipatia Zanzibar Uhuru wake John Okello.

Kwa his disappointment alishtuka kuambiwa the Man alifukuzwa mara baada ya kumaliza jukumu lililomleta Zanzibar kuwaondoa Waarabu waliokuwa wakiitawala Zanzibar.Aliwaokoa Waafrika kutoka kutawaliwa walipopata tu uhuru wakamfukuza.

John Okello Baba wa Taifa la Zanzibar ataendelea kukumbukwa kila tutakapoadhimisha Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Baada ya hapo John Okello alirudi kwao kwenda kuendeleza mapambano dhidi ya udhalimu na hatimaye alikuwa kama mtu wa kawaida tu pasipo makuu. Hakulipwa yeye wala familia yake. Kabla ya Mwaka 1967 Che Guevara kufariki aliwahi mtumia mzee wangu barua akimtaka amtafute John Okello wajiunge naye kwenye harakati huko Msumbiji na Angola.

Mzee hakujua aanzie wapi.
Huu mwamba naukubali. Akina Karume na Nyerere waliuogopa na kuufukuza. Kweli shukrani ya punda ni mateke
 
Huu mwamba naukubali. Akina Karume na Nyerere waliuogopa na kuufukuza. Kweli shukrani ya punda ni mateke
Father...
Okello alikuwa fedheha kwa ASP.

Maneno aliyokuwa anatoa yalimfanya Karume na mapinduzi yawe kichekesho.

Mimi adabu na staha inanizuia kuyaandika kwani nachelea kurejesha machungu.

Hayo mapinduzi yote yamepangwa katika ardhi ya Tanganyika na Okello hakupata hata siku moja kuwa sehemu ya mipango hiyo.

Vipi Nyerere na Karume wamuogope mtu ambae hana hata kikundi cha watu watatu nyuma yake?

Hashil Seif ndiye aliyemzuia Okello asishuke kwenye ndege kuingia Zanzibar.

Okello hakuwa na mtu yeyote wa kumsaidia.

Akaondoka Zanzibar kwa salama na amani.
 
Sela...
Picha zote ni wamesimama wakitambua wako pale kupigwa picha ila picha ya mwisho ni screen shot ya "askari" analinda benki wakati wa siku za mwanzo za mapinduzi.

Okello hawezi kuwa Field Marshall.

Alipokwenda Uganda alikuwa askari katika platoon.

Akiwa hivi ndivyo alivyouawa.

Soma historia ya Okello kabla ya kujadili.
Field marshal Ni jina tu la kujikweza baada ya ushindi dhidi ya udhalimu alilojipa John O. Pengine.
Ha ha ha Askari mlinda benki. Mzee wangu kuwa mtaalam wa historia si kujua vyote on Sasa umeanza kejeli.
Kwa namna yoyote ile matokeo ya tafiti huwa hayaachi kumtikisa mtafiti, Kwa Aina ya uandishi na uanazuoni wako hata kitokee Nini usingekuwa tayari kuandika ukweli kuhusu John.
 
Back
Top Bottom