SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Upo Sahihi kabisa. Mfano mzuri tu humu ni 'Wamakonde' ....kimaumbile, hulka za kivita, na rangi!Tafiti nazo huweza kupindishwa kwa maslahi ya watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo Sahihi kabisa. Mfano mzuri tu humu ni 'Wamakonde' ....kimaumbile, hulka za kivita, na rangi!Tafiti nazo huweza kupindishwa kwa maslahi ya watu.
Syll...Upo Sahihi kabisa. Mfano mzuri tu humu ni 'Wamakonde' ....kimaumbile, hulka za kivita, na rangi!
Kwanini walivushwa wamakonde tu na sio wengine?Mnachihangu,
Kwa nini unahangaishwa na kitu ambacho si sehemu ya historia ya mapinduzi?
Wabondei walikuwapo Kipumbwi lakini hawakuvushwa kwenda Zanzibar lau kama Victor Mkello ni Mbondei.
Wew jamaa unatuona watoto sana[emoji1787][emoji1787]...Sela...
Nakuwekea picha hiyo hapo chini itazame na linganisha:
View attachment 2479862
Hii picha hawa Makomredi wamesimama wapigwe picha na picha hii imepigwa mapinduzi yameshatokea siku chache zilizopita.
![]()
Picha hii imepigwa Okello anawekewa silaha na yeye mwenyewe ameshika silaha apigwe picha.
Katika hiyo picha ya Makomredi wawili nimepata kuzungumza nao Amour Dughesh na Hashil Seif.
Dughesh alinionyesha picha nyingine ya yeye na comrade mwingine ambae ni rafiki yangu wakiwa kwenye combat wameshika bunduki wako lindoni.
Picha hii ni tofauti na picha hiyo ya kwanza hapo juu.
Nakuwekea na picha nyingine hapo chini lakini huyu kwa mjuonekano wake ni ''askari'' tofauti sana na waliomzunguka Okello.
''Eti utafiti.''
''No research no right to speak.''
Chairman Mao.
Utafiti ndiyo msingi wa elimu.
Si kitu cha kubeza au kukejeli.
Nimemjua vipi Comrade Hashili Seif:
Comrade Hashil Seif Hashil, UMMA Party na mapinduzi ya Zanzibar
Kwa wale walionisoma siku tatu zilizopita nilipokieleza kitabu, ''Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar,'' kilichoandikwa na Comrade Hashil Seif Hashili niliweka miadi ya kurejea mara nitakapokimaliza kitabu. Nimekimaliza kitabu leo asubuhi. Kitabu hiki ni kitabu kizuri sana na ukikianza...www.jamiiforums.com
View attachment 2479876
Mzee wangu, siwezi kukataa au kukubali unayodai kama mimi sijui lolote kuhusu hayo mapambano, kuhusu Mapinduzi.Syll...
Wamakonde walikuwapo Kipumbwi wameajiriwa na Sakura Sisal Estate.
Si kama hili ni jambo la kuzua.
John okello ndo alikuwa field marshal wa zanzibar aliyemfurumusha sultal jamshid hadi karume akamwonea gere kamandaOkello alikuwa mwanachama wa chama gani katika vile ambavyo vilikuwa vinagombea uhuru wa Zanzibar?
Sasa acha ujuba.Sijafika
jibu suali lililoulizwa, halafu huo u' field marshall amepewa na nani?John okello ndo alikuwa field marshal wa zanzibar aliyemfurumusha sultal jamshid hadi karume akamwonea gere kamanda
Mnachihangu...Kwanini walivushwa wamakonde tu na sio wengine?
Wew jamaa unatuona watoto sana[emoji1787][emoji1787]...
Ati anawekewa silaha...
Jiwe...Huyu mzee anatuchukulia humu ni watoto wadogo yani kila anachokisema tukipokee na kukikubali,eti kisa tafiti wakati inajulikana fika tafiti zake zimeelemea upande wa dini ya waarabu.
baadhi ya vijana humu ni wa ajabu sana:Jiwe...
Siku zote husema silazimishi mtu kuniamini.
Hapa mimi hueleza kile nikijuacho.
Ikiwa sikijui nasema sijui.
Najua hapa niko na watu wazima.
ulitaka apewe na babako ndo ujue alikuwa field marshaljibu suali lililoulizwa, halafu huo u' field marshall amepewa na nani?
Biti...baadhi ya vijana humu ni wa ajabu sana:
- hawasomi vitabu wanategemea maneno ya vijiweni
-ukiandika wao ndiyo wa kwanza kukuita muongo, mdini....
-hawafanyi utafiti wowote lakini wanalazimisha wewe uliyefanya utafiti uingize matokeo ambayo hukuyapata.
900...ulitaka apewe na babako ndo ujue alikuwa field marshal
Mnachihangu...Jifunze kuwa na adabu siku nyingine mimi nina uwezo wa kukukojolea na ukanizalia mtoto mpuuzi wewe