Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
N hii hii Ramadhani ya magaidi wanaoshindia njaa kwa kubadili muda wa kula.Itakuwa ramadhani ya ushirombo huko[emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
N hii hii Ramadhani ya magaidi wanaoshindia njaa kwa kubadili muda wa kula.Itakuwa ramadhani ya ushirombo huko[emoji38]
Sio video tu hata mambo muhimuUzuri wa Wabongo hua tuna shobo na vitu vipya tukishazoea tunaona kawaida tuu, si unaona umeona video ngap chafu za watu zimevuja lkn sasa hv raia wameshasahau na kuona n kitu cha kawaida.
Hatujisumbui 😂Sio video tu hata mambo muhimu
Nchi ya trending, kiki 😂Hatujisumbui 😂
Sikujua mzee,thanks for the heads upMkuu hii mada imeshabadilika mara 3, alichokiwasilisha mwanzo adi nikakoment hivyo kasha-edit.
NAKAZIANakataaa
Umekula nyama mbichi unategemea nini?Najua kuna wakereketwa na wafurukutwa,nisiongee sana ila baada ya kusoma habari hii kwenye shirika la habari la BBC,nimejiwa na mawazo mengi sana!!
---
Mwanaume mmoja nchini Marekani amekutwa na mayai ya minyoo kwenye ubongo wake ambayo huenda imesababishwa na kula nyama ya nguruwe ambayo haikupikwa vizuri ikaiva.
Mwanaume huyo wa miaka 52 alimtembelea daktari wake baada ya kulalamika maumivu makali ya kichwa ya mara kwa mara.
Na baada ya vipimo ilionekana kuwa kuna mayai ya minyoo kwenye ubongo wake.
Madaktari wanaamini kuwa mwanamume huyo,alipata minyoo kwa kula nyama ya nguruwe ambayo haijaiva vizuri.
BBC Swahili
Mbuzi wa Vatican City huyo hakwepeki bro. Cha muhimu tu kama ni mtumiaji mzuri basi jenga tabia ya kuwa unakunywa dawa nzuri za minyoo na za kuendeshea kila baada ya miezi mitatu...
View attachment 2935483Huyu hajataka mambo mengi unaenda baada ya kuji-assure haujakosea
Huenda imesababishwaNajua kuna wakereketwa na wafurukutwa,nisiongee sana ila baada ya kusoma habari hii kwenye shirika la habari la BBC,nimejiwa na mawazo mengi sana!!
---
Mwanaume mmoja nchini Marekani amekutwa na mayai ya minyoo kwenye ubongo wake ambayo huenda imesababishwa na kula nyama ya nguruwe ambayo haikupikwa vizuri ikaiva.
Mwanaume huyo wa miaka 52 alimtembelea daktari wake baada ya kulalamika maumivu makali ya kichwa ya mara kwa mara.
Na baada ya vipimo ilionekana kuwa kuna mayai ya minyoo kwenye ubongo wake.
Madaktari wanaamini kuwa mwanamume huyo,alipata minyoo kwa kula nyama ya nguruwe ambayo haijaiva vizuri.
BBC Swahili
Ingawa nimecheka Kuna unalotafuta yaani hapa nakaa na mashekhe na wale jamaa wa surualy njiwa Ndevu fagio upara mkubwa kama wakipita hapa utasikia Takbiiiiiiiir Allah akbaaaar mtu anaweza vunja simu yake Ili akale ma'bikra 72 huko anganiTena kipindi hiki cha Ramadhani na leo Ijumaa kabla ya kufuturu tunashauriwa kula kitimoto rost kilo mbili na ndizi sasa utaamua mwnyw kuchagua aina ya kinywaji.
Source: Prof. Janabi
Na kiukwel sijawah kula kitimoto choma..nakulaga roast tu na ile friedHaujala kitimoto choma mkuu!
BBC nao Sasa hivi wambeya tu Jina la huyo mti halitajwi wala Daktari hatajwi Wala hospitali halitajwi na tarehe alizogindulika hazitajwi ili watu wathibitisheNajua kuna wakereketwa na wafurukutwa,nisiongee sana ila baada ya kusoma habari hii kwenye shirika la habari la BBC,nimejiwa na mawazo mengi sana!!
---
Mwanaume mmoja nchini Marekani amekutwa na mayai ya minyoo kwenye ubongo wake ambayo huenda imesababishwa na kula nyama ya nguruwe ambayo haikupikwa vizuri ikaiva.
Mwanaume huyo wa miaka 52 alimtembelea daktari wake baada ya kulalamika maumivu makali ya kichwa ya mara kwa mara.
Na baada ya vipimo ilionekana kuwa kuna mayai ya minyoo kwenye ubongo wake.
Madaktari wanaamini kuwa mwanamume huyo,alipata minyoo kwa kula nyama ya nguruwe ambayo haijaiva vizuri.
BBC Swahili
Wakipita wape kitimoto, watafurahi sana then uje unipe mrejeshoIngawa nimecheka Kuna unalotafuta yaani hapa nakaa na mashekhe na wale jamaa wa surualy njiwa Ndevu fagio upara mkubwa kama wakipita hapa utasikia Takbiiiiiiiir Allah akbaaaar mtu anaweza vunja simu yake Ili akale ma'bikra 72 huko angani