Al Ahly Tripoli ni wa kawaida lakini kazi kubwa lazima ifanyike ikiwa tunahitaji kuingia makundi

Al Ahly Tripoli ni wa kawaida lakini kazi kubwa lazima ifanyike ikiwa tunahitaji kuingia makundi

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Wengi tunajipa hopes kuwa hapa nyumbani lazima wakae.

Wengi tunajipa hopes kuwa kule kwao tulicheza kimkakati ndio maana tumeambulia sare

Wengi wetu tuna ushabiki sana kuliko uhalisia

Guys, wale waarabu sio kama Al Ahly ya Misri, ni wa kawaida sana, hilo sibishi.

Jana mechi ile haikuwa tough kama wengine tulivyodhania, kocha wetu pengine cjui kwann aliingiwa na ubaridi

Jana hakukuwa na shot on target kabisa ingawa Ateba alipambana sana jana, hata kumtoa naona kama aliwapa nafuu wale punjili

Hata hivyo kama upangaji wa kikosi hautakuwa mzuri ngoma inaweza kuwa ngumu trh 22.

Edwin Balua bado hajakomaa kabisa na kama Kibu angelianza jana nna uhakika leo tungeongea mengine

Kuna mipira hiyo kama angekuwa mkomavu Balua angetupa matokeo jana, yeye kuchezea Stars isiwe kigezo cha kuanza ndani ya kikosi chetu.

Mechi yetu hapa dar winga yeye winga Mutale, mwanzo mwisho.

Mwingine ni Ahoua, huyu bwana tunalazimisha t lkn bado pia hajachangamka

Uchezaji wake uko slow sana, kwanza hajui kupiga faulo, pili bado ana kitete, kwa timu inayotafuta matokeo Ahoua anasubiri

Mara 10 Awesu awe anacheza namba 10 na Ahoua awe anaingia sub ndio matokeo tutayaona

Ahoua anashindwa kumchezesha Arteba na akili yake yy ni kutaka kufunga aonekane kweli mtu wa maana wakati yeye hasa anatakiwa amlishe striker.

Guys, Mabululu ni mtu sio masihara, ni striker aliyekamilika hasa

Mwisho Simba ikiwapata Fei Toto na Elie Mpanzu itakuwa bampa to bampa, kila la heri chama langu.
 
Mkaze puru hapa nyumbani. Aza waizi magoli ya mama mtaendelea kuyasikia Jangwani.
 
Back
Top Bottom