Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
Ebu leta na msimamo wa kundi alilopo Yanga tuone anashika nafasi ya ngapi
tungekuwa na njaa usingeona wachezaji wanapanda ndegeNa nyie kufeni njaa tu maana hakuna namna
Yes kikosi kizuri , naona kocha anaogopa Kadi Kwa juukoAishi Manula,
Nicholas Gyan
Asante Kwasi.
Pascal Wawa,
James Kotei,
Rashid Juma,
Hassani Dilunga,
Meddie Kagere,
Clatous Chama na
Emmanuel Okwi.
Bora iwe hivyo zimbwe na mkude recently hawako sawa, nahisi mbele kasi itaongezeka rashidi juma akishambulia,sijui kuhusu chama kurudi nyuma kukaba lakini rashidi juma kukaka anaweza kabisa. kila la heri wandugu. msinywe pombe kabla ya mechi.
Nikiwa mshabiki wa mpira na muumini wa maneno ya Haji ambaye hakosei hata siku moja, Simba waende kushambulia mwanzo, mwisho.
Timu ina kocha bora kabisa tena professor. Mastriker wote wapangwe. Adebayo, Meddie na Okwi. Mwarabu lazima akae. This is Simba. Ile ya DRC ilikuwa just a blip.
na je alivyosema ije Barcelona (yenyewe) kwa mchina inakaa..je yeye ni kocha? mchezaji?..anahusika vipi hapo ikiwa Barcelona (ile yenyewe) itafungwa na simba (japo haiwezi kufungwa)!?sasa manara anahusikaje kwenye magoli 10 watakayofungwa? hahahha hahah
Kumbe timu kupanda tu ndege na njaa kwisha😂😂😂😂...wachezaji kibao tu wamekimbia njaa pale jangwani..mtindo wenu ckuhz kuzunguka na mabakuli kuombaomba😂😂tungekuwa na njaa usingeona wachezaji wanapanda ndege
na je alivyosema ije Barcelona (yenyewe) kwa mchina inakaa..je yeye ni kocha? mchezaji?..anahusika vipi hapo ikiwa Barcelona (ile yenyewe) itafungwa na simba (japo haiwezi kufungwa)!?
Kumbe timu kupanda tu ndege na njaa kwisha😂😂😂😂...wachezaji kibao tu wamekimbia njaa pale jangwani..mtindo wenu ckuhz kuzunguka na mabakuli kuombaomba😂😂
Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu! wewe umeambiwa baada ya mechi.. sasa unasema kabla ya mechi! so jamaa hapo amekwambia hapo manara atahamasisha simba ifungwe kumi???yeye kazi yake kubwa ni kuhamasisha tuu, ila sidhani kama anaweza kuhamasisha simba wafungwe goal 10
Asante mzalendo,Hiyo ni printscreen niliyoikopi inayoonyesha tarehe ya hiyo match na msimamo wa kundi. Kama post yangu imekukwaza naomba radhi.Ahsante
Chikupe atafunga mangapi?Maoni yangu ni kwamba atapigwa 9 kwa mara nyingine kama ile ya 1980
Wewe kama Shabiki wa mpira angalia timu yako inavyocheza na inacheza na nani? usiangalie Jezi.na je alivyosema ije Barcelona (yenyewe) kwa mchina inakaa..je yeye ni kocha? mchezaji?..anahusika vipi hapo ikiwa Barcelona (ile yenyewe) itafungwa na simba (japo haiwezi kufungwa)!?
Kakolanya muongo sio?? Ombax2 Mna jeuri balaa.tungekuwa na njaa usingeona wachezaji wanapanda ndege