Al Ahly vs Simba SC, Jumamosi: Nini maoni yako kuhusiana na mtanange huu?

Al Ahly vs Simba SC, Jumamosi: Nini maoni yako kuhusiana na mtanange huu?

Kikosi kilekile kilichocheza Kongo dhidi ya AS Vita, kicheze isipokuwa Kichuya na Bocco waanze. Wabadilishe approach tu, wawe aggressive kwenye ukabaji na mashambulizi ya kushitukiza tu. Bocco, Kichuya na hata Kagere hufanya vizuri sana kwa kukabia juu. Ila wakitegemea mkabaji mmoja tu Kotei, Simba itavuna mabua tena.

1.Manula
2.Gyan
3.Tshabalala
4.Jjuuko
5. Wawa
6. Kotei
7. Kichuya
8. Mkude
9. Bocco
10. Kagere
11. Okwi
 
Naomba nisiwe mtabiri ILA niseme tu jinsi Simba ilivyoondoka nchini kinyonge (bila vurugu za manara) inaweza kufanya wachezaji wacheze kwa kukamia & kujituma ili kuwaprove wrong wale wanaowasimanga. Kwa kocha wa Simba hali ya wachezaji walioondoka nayo anaweza kuitumia kama silaha ya kuwafanya wajitume zaidi (wacheze kwa hasira).Musishangae katika kundi hili "D" underdogs kule Congo na Misri wakafanya yasiyotarajiwa hivyo kulifanya hili kundi kuwa la kifo.Ijumaa na Jumamosi sio mbali. Ahsante
 
Aishi Manula,
Nicholas Gyan
Asante Kwasi.
Pascal Wawa,
James Kotei,
Rashid Juma,
Hassani Dilunga,
Meddie Kagere,
Clatous Chama na
Emmanuel Okwi.
Bora iwe hivyo zimbwe na mkude recently hawako sawa, nahisi mbele kasi itaongezeka rashidi juma akishambulia,sijui kuhusu chama kurudi nyuma kukaba lakini rashidi juma kukaka anaweza kabisa. kila la heri wandugu. msinywe pombe kabla ya mechi.
Yes kikosi kizuri , naona kocha anaogopa Kadi Kwa juuko
 
Nikiwa mshabiki wa mpira na muumini wa maneno ya Haji ambaye hakosei hata siku moja, Simba waende kushambulia mwanzo, mwisho.
Timu ina kocha bora kabisa tena professor. Mastriker wote wapangwe. Adebayo, Meddie na Okwi. Mwarabu lazima akae. This is Simba. Ile ya DRC ilikuwa just a blip.

hah jmos kitaeleweka asee
 
sasa manara anahusikaje kwenye magoli 10 watakayofungwa? hahahha hahah
na je alivyosema ije Barcelona (yenyewe) kwa mchina inakaa..je yeye ni kocha? mchezaji?..anahusika vipi hapo ikiwa Barcelona (ile yenyewe) itafungwa na simba (japo haiwezi kufungwa)!?
 
na je alivyosema ije Barcelona (yenyewe) kwa mchina inakaa..je yeye ni kocha? mchezaji?..anahusika vipi hapo ikiwa Barcelona (ile yenyewe) itafungwa na simba (japo haiwezi kufungwa)!?

yeye kazi yake kubwa ni kuhamasisha tuu, ila sidhani kama anaweza kuhamasisha simba wafungwe goal 10
 
yeye kazi yake kubwa ni kuhamasisha tuu, ila sidhani kama anaweza kuhamasisha simba wafungwe goal 10
Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu! wewe umeambiwa baada ya mechi.. sasa unasema kabla ya mechi! so jamaa hapo amekwambia hapo manara atahamasisha simba ifungwe kumi???
kaa kimya usinijibu!
 
Chezesheni kile kikosi kipana kilicho cheza Congo dhidi ya wababe As Vita ili mtupatie burùdani nyingine

Hivi Zana mbona hachezi mechi hizi sindo usajili mpya mbadala wa kapombe
 
na je alivyosema ije Barcelona (yenyewe) kwa mchina inakaa..je yeye ni kocha? mchezaji?..anahusika vipi hapo ikiwa Barcelona (ile yenyewe) itafungwa na simba (japo haiwezi kufungwa)!?
Wewe kama Shabiki wa mpira angalia timu yako inavyocheza na inacheza na nani? usiangalie Jezi.
Manara mtu wa hamasa tu, sema wajinga wanatilia maanani.
 
Back
Top Bottom