Al Ahly vs Simba SC, Jumamosi: Nini maoni yako kuhusiana na mtanange huu?

Kumbe timu kupanda tu ndege na njaa kwisha😂😂😂😂...wachezaji kibao tu wamekimbia njaa pale jangwani..mtindo wenu ckuhz kuzunguka na mabakuli kuombaomba😂😂
wachezaji hao kibao ambao wamekimbia niorodheshee
 
Tujadili kuhusu hili... Je, kocha Patric Aussems atapata nafasi ya kurekebisha makosa yaliyojitokeza kwenye mechi dhidi ya As Vita kuelekea mechi ya jumamosi na Al Ahly?

kwenda sambamba bega kwa bega
 
Matumaini ya Simba kufanya vyema ni madogo ukiangalia hata mpira wanaocheza kwa sasa inaonyesha hata wao wamekata tamaa.
 
Mzamiru humtaji kabisa? Kaharibu nini?
 
KILA LA HERI AL AHLY...NISAIDIE KUWATOA HAO UNDERDOG KWENYE MASHINDANO, wanakuja kukamilisha ratiba tu
 
Asante mzalendo,
Nilijua mpiga debe
Naomba usinielewe vibaya, mimi sipo upande wenu wala upande wao.Angalia post zangu utaona ninajaribu kutoa mtizamo mpana wa hii match bila kuingiza mahaba yeyote.Nawatakia mabishano mema bila kupigana.Ahsante
 
Toa kichuya sio wetu tena, weka chama.
toa zimbwe weka kwasi, Rashid juma atafutiwe nafasi ana speed atafaa
 
Chezesheni kile kikosi kipana kilicho cheza Congo dhidi ya wababe As Vita ili mtupatie burùdani nyingine

Hivi Zana mbona hachezi mechi hizi sindo usajili mpya mbadala wa kapombe
Kuna game 3 mbele atacheza tu
 
Simba inaenda kufungwa...ukweli mchungu, binafsi naona wachezaji wa Simba ndio hawaelewi wanataka nini, hawana hasira na ubingwa, wanachowaza wao ni mishahara minono tu..timu inabebwa na wachezaji wa nje, hawa wa ndani, moshi mwingi
Ubingwa wa kikombe gani? Au unamaanisha Caf champions league? Usinijibu kabla sijaanza kucheka😁😁😁😁
 
Hata uchebe aanze nyie ni sikio la kufa tu
 
Chezesheni kile kikosi kipana kilicho cheza Congo dhidi ya wababe As Vita ili mtupatie burùdani nyingine

Hivi Zana mbona hachezi mechi hizi sindo usajili mpya mbadala wa kapombe
Na alikuja kuziba pengo la kapombe,yule ni dancer simba wananunua Hata wakatabasamu,wakata viuno tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…