Al Ahly ya sasa imeshuka sana ubora, si ajabu hata USM Algier walijipigia. Yanga tunaenda kumchapa kwa Mkapa na kwake

Umeongea kitu sahihi mno hata hao Mamelody wanaomsumbua Al Ahly ni kwa sababu wamepandisha sana kiwango Chao na sajili si ndogo wanazofanya
Ukiangalia USM aliyemtoa Al Ahly ndie aliyesumbuana sana na Yanga kwenye final
Team za kariakoo kwa Sasa Zina top player wa Afrika ndio maana kuzifunga team za mataifa ya mpira kama Kongo si ajabu
 
Wabongo wagumu sana kukubari vya kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…