Al Ahly ya sasa imeshuka sana ubora, si ajabu hata USM Algier walijipigia. Yanga tunaenda kumchapa kwa Mkapa na kwake

Ahly hajashuka kama mnavyo lazimisha , ila ubora wa vilabu vyetu umepanda sana, hata Yanga akija kumfunga al ahly , sio kwaababu Ahly wabovu , sababu Yanga pia ni bora na ina quality ,

Tanzania kama tutashikiria hapa tulipo shika basi kuna pacha wa kariakoo ataleta kombe nyumbani.
Umeongea kitu sahihi mno hata hao Mamelody wanaomsumbua Al Ahly ni kwa sababu wamepandisha sana kiwango Chao na sajili si ndogo wanazofanya
Ukiangalia USM aliyemtoa Al Ahly ndie aliyesumbuana sana na Yanga kwenye final
Team za kariakoo kwa Sasa Zina top player wa Afrika ndio maana kuzifunga team za mataifa ya mpira kama Kongo si ajabu
 
Wabongo wagumu sana kukubari vya kwetu
 
Back
Top Bottom