Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

Search tu google utaipata Quran iliyokuwa translated into english au swahili.Hakika utajifunza mengi
 
Qur
Quran 23:115

Then did you think that We created you uselessly and that to Us you would not be returned?"

Quran 44:38-39

And We did not create the heavens and earth and that between them in play.

We created them not except with truth (i.e. to examine and test those who are obedient and those who are disobedient and then reward the obedient ones and punish the disobedient ones), but most of them know not.
 
Unaweza ku download copy ya Quran iliyofasiriwa kwa lugha ya kingereza kupitia hapa (only 2MB)

NobleQuran.com – Simple English Translation of the Quran › Nob...PDF
Interpretation of the meaning of the Qur'an in the English Language
 
Hapana, Dini sio “Njia".
Kumbuka, anae kuelekeza hivyo anafahamu mpaka asili ya hilo neno.

We baki na maana yako nami nabaki na kuendelea kutowa ilm bila khiyana, ambaye ataipokea ni kheri na asiyeipokea ni kheri. Hakuna matata.
 
kuna watu ambao hawatazikwa, either watazama baharini au watachomwa moto je hao hawatapitia hiyo barzakh? maana naona wamepewa kipaumbele wale watakaozikwa tu
Soma kwa makini....Ni roho za wafu ndizo zitakuwa barzakh baada ya kuachana na miili wakati wa vifo!
 
Soma kwa makini....Ni roho za wafu ndizo zitakuwa barzakh baada ya kuachana na miili wakati wa vifo!
Nadhani we ndo unatakiwa kusoma title ya thread. Kuna sehemu kaandika MAISHA YA KABURINI
 
Hivi Allah anaposema we creat anamaanisha nini kusema tumeumba mbingu na Dunia, wakati alikuwa yeye mwenyewe?
 
Yesu mwenyewe alivorudi alikausha hakusimulia,, sijui hawa hizi stori wanazijulia wapi....

Hata lazaro mwenyewe alikausha hakusimulia yoyote....
 
Soma kwa makini....Ni roho za wafu ndizo zitakuwa barzakh baada ya kuachana na miili wakati wa vifo!
soma kwa makini tena maelezo ya mtoa mada, nimeuliza kutokana na maelezo yake, labda kama unanipa ufafanuzi wa unachokielewa kwa upande wako.
 
sasa nini maana ya kushuka si ili aliye juu either kuwa sawa au kuwa chini ya mwingine mbona kiswahili kimenyooka kabisa unataka kuficha nini mama
Kujishusha hakumaanishi awe chini ya fulani. Kiswahili kinakupa shida au ndio shule za kusomea ujinga?
 
Mama Faiza bila Yesu mbinguni hutoboi hata kama utatoa shahada,uswali swala tano au ufunge swaumu
Mbingu ndio nini wewe? Kiswahili kinakupiga chenga.

Kama kuna anaefuata Yesu kwa vitendo na mafundisho yake basi hakuna zaidi ya Muislam?

Wewe unakifata kipi cha mafundisho ya Yesu? Wewe ndio wale mtaoambiwa nendeni, siwajui.
 
sasa nini maana ya kushuka si ili aliye juu either kuwa sawa au kuwa chini ya mwingine mbona kiswahili kimenyooka kabisa unataka kuficha nini mama
Sio "kushuka", kujishusha, simply ni kinyume cha kujikweza.

Wewe hakika kabisa Kiswahili sio lugha mama kwako au unabishana ili ubishane tu, huna yakini.

Unachotaka kubisha nini? Unamuamini Allah? Unaiamini Qur'an?
 
Mbingu ndio nini wewe? Kiswahili kinakupiga chenga.

Kama kuna anaefuata Yesu kwa vitendo na mafundisho yake basi hakuna zaidi ya Muislam?

Wewe unakifata kipi cha mafundisho ya Yesu? Wewe ndio wale mtaoambiwa nendeni, siwajui.

Mama Faiza
Principle ni hii...
Marko : 16 : 16 - Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

mama faiza uko kwenye uislamu kuna ubatizo?
 
Kufa ni kukoma kwa shughuli zote kwenye ubongo.
 
Acha porojo wewe, Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam, hajawahi kuandika hadith yoyote ile. Hiyo mashine ya ku"copy" uliiunda wewe miaka zaidi ya 1400 nyuma?
Alikuwa ana copy na alikuwa anaambiwa anachosema ni tales of ancients, na wakamuakikishia wanajua anapo copy maana walimwambia wanaweza kutamka anayotamka

Koran 8:31 When Our Signs are rehearsed to them, they say: "We have heard this (before): if we wished, we could say (words) like these: these are nothing but tales of the ancients."
 
HIyo "Koran" yako mimi siitambui, mnafundishana hiyo Sunday School au mnafundishana yale mambo ya Father Kit Cunningham? Ujuha wako peleka kwengine, yo are too shallow.

Unamuamini Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam? Au unapayuka tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…