Binafsi siamini alichokisema, ila ukweli ni kwamba Kuna extra dimension, the power our mortal minds can't explain. Unaweza usimuite Mungu ila ukweli ni kwamba humans are not a coincidence or an outcome of evolution.
I believe we were designed, along with our world and the universe itself, jinsi Hiyo power unavyofanya kazi hapo ndio debate ilipo, hauwezi toka usiku ukiangalia angani all those trillions of stars with an infinite planets possibly with life usime vilikuja tu, you must be mad to believe that or deny the power, wazungu wanaweza kuwa walitudanganya purposely or unintentionally sababu hata wao inawezekana walikosea explanation ya mambo wanayoyaona.
Our Galaxy, planets, etc floats in space observing the laws of physics, question is, nani aliweka hizo laws? There's is power our mortal minds can't comprehend or even explain!!