Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

Asante kwa darasa, japo ni mwamini wa upande wa pili wenu lakini nimekuelewa mno.
Hakuna muumini wa upande huu wala huu. Mwenyeezi Mungu ni mmoja tu, tujisalimishe kwake na T tumuabudu Yeye tu, ni binaadam wenye ushetani waliotugawa ili watutawale vizuri (divide and rule).
 
Ikiwa mwili utaoza ni kipi Kinachomfanya Firauni aliyejiita MUNGU asioze hadi leo karne na karne?
Ndio mnavyodanganywa Huko madrasa kwamba firauni alijiita mungu na haozi kisa kalaaniwa?

Hahahahahah
Watu mnadanganywa Sana
Huyo firauni aliwekwa mumiani teknolojia ya accient civilization ambayo mtu anatiwa dawa na haozi kamwe hiyo mpka Leo inawezekana Ina maana na ambao wamekufa Karne Moja nyuma na hawajaoza Wana laana ya Huyo mungu wenu?

Wake up dude!
 
Jidanganye tu. Uzuri ni kuwa kila mtu ataujua ukweli na kuukiri ukweli. Ombea tu neema ya kuujua huo ukweli kwenye muda sahihi.
 
Umemaliza
 
Sijasema sizikubali hadith, hadith zipo na zitaendelea kuwepo. Siikubali hadith yoyote inayokwenda tofauti na Qur'an.
unamaanisha kama hadithi inaongelea jambo ambalo halipo kwenye quran huikubali? tupe mfano wa hadithi inayokwenda tofauti na quran.
 
Hizi ni story za binadamu ambao mara nyingi hawana uthibitisho wala uhakika wa wanachokisema.
Binafsi siamini alichokisema, ila ukweli ni kwamba Kuna extra dimension, the power our mortal minds can't explain. Unaweza usimuite Mungu ila ukweli ni kwamba humans are not a coincidence or an outcome of evolution.

I believe we were designed, along with our world and the universe itself, jinsi Hiyo power unavyofanya kazi hapo ndio debate ilipo, hauwezi toka usiku ukiangalia angani all those trillions of stars with an infinite planets possibly with life usime vilikuja tu, you must be mad to believe that or deny the power, wazungu wanaweza kuwa walitudanganya purposely or unintentionally sababu hata wao inawezekana walikosea explanation ya mambo wanayoyaona.

Our Galaxy, planets, etc floats in space observing the laws of physics, question is, nani aliweka hizo laws? There's is power our mortal minds can't comprehend or even explain!!
 
Good observation.
Nice video for you or anybody to watch.
 
Hao wavaa madera unahangaika na hadithi zao uchara! Halo hamna imani ni kuabudu majini!
Hapo umeongelea maisha ya kaburini,inamaana inawahusu wale tu wanaozikwa. Vipi kuhusu maiti zinazochomwa moto,liwa na wanyama au zisizozikwa kabisa na namna yoyote ile.
 
Sawa madam hangaya nimekuelewa vzr sana, ila kwanini umeingilia kesi ya Mbowe?
 
Kwa hiyo na huyu mwenzenu FaizaFoxy aliyempinga mtoa mada, tena kwa hoja za upande wenu huo huo! naye anavaa Vimini?

Nasubiria jibu.
Sikumpinga yeyote, nimemwaga darsa kwa nijuavyo. Inaweza kuwa nipo sahih kwa muono wangu na kwa muono wake inawezakuwa yeye yupo sahih, lakini. kwa mionno miwili tofauti halafu wote tuwe sahih, haiwezekani. Kuna mmoja wetu yupo sahih. Yakuambiwa changanya na yako.
 
Good observation.
Nice video for you or anybody to watch.
Ndio maana huwa siamini kabisa theory of evolution, tatizo binadamu anataka kuelewa Kila kitu kuhusu powers that governs the universe na ndio contradiction inapokuja pale anaposhindwa kuelezea,

Ni sawa sawa utengeneze gari au ujenge nyumba na vitake kukujua au kukuelezea wewe mtengenezaji, it's impossible, it might be an irrelevant example but it serves the purpose, chunguza mdudu yoyote tu uone details zilizomo.

I have always come to a conclusion there's power that is so powerful that we can never ever comprehend! And that is my opinion ukiachana na mambo ya dini. Dini zinaweza hata zisimuelezee "Mungu" but your mind can discover the truth!!
 
Hv huwezi kusema darasa! mpaka uandika darsa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…