Al Jazeera inamilikiwa na Hamas? Mbona wanawatetea sana Magaidi kiasi cha kupindisha ukweli ili kujenga chuki kwa Israel

Wewe ndio uko outdated, Israel alipost kuonesha bomu limetumwa na Islamic jihad kosa ni kuwa hawakuondoa tarehe ya mwaka 2022 baada ya Congress moja kutweet kuwa mbona bomu la tarehe za mwaka 2022 Israel wameondoa ile tweet. Hamas wana mabomu lakini sio makubwa kiasi cha kufanya maafa makubwa. Kila mtu anajuwa Israel karusha iwe kwa bahati mbaya au makusudi yanatokea haya kwenye vita. Kuhusu Aljazeera hawana tofauti na CNN na wengine wote wamekuwa kama TBC unatangaza based na egenda zenu hakuna chombo wala kimoja kikakupa habari balance kama zamani, siku hizi ni agenda zao na propaganda ndivyo walalipwa na sponsers wao.
 
Waliouawa ni wapalestina sio waislam we jamaa, Palestine kuna wakristo pia. Mkishakula magimbi mkavimbiwa mnatuachia mishuzi tuu.
Ingalikuwa Palestina wakiristo wangaliachwa hivi? Huo Ukrain urusi akiua kuku wewe unalia
 
Ni wewe tu ndio unawamini hao Magaidi wa Kizayuni. Israeli ni Taifa la kigaidi hawana dini wale. Wakristo wanaishi kama digidigi ndani ya Israeli.
 
Roketi moja ndio ilipue hospital nzima acheni utani, kucheza mziki usio wahusu
 
Al Jazeera inamilikiwa na Hamas ? Mbona wanawatetea sana Israel kiasi cha kupindisha ukweli ili kujenga chuki kwa Israel ?
 
[emoji779]️Hezbollah claims it destroyed another Israeli Merkava tank.

The group says this is its tenth one destroyed.

Subscribe to RT
 
Hongera kwani wewe ni zaidi ya M16, FSB, CIA na vyombo vingi vya ujasusi. Endelea kushabikia vifo, pengine vitaongeza kwenye mfuko wako. Ila elewa moja - kuwa yeyote anayeshabikia damu ya binaadam kumwagika hatokuwa salama.
 
Masjid Aqswa yenu?au ya waislam?
Mimi siyo muislam nimebatizwa kanisa katoliki takatifu la mitume. Ingawa sasa sijinasibishi nalo wala dini yeyote.
Naamini uwepo wa Mungu tu.
Siamini Sana juu ya pepo, mtu akifa amekufa, atarudi tena duniani katika namna nyingine baada ya viumbe vingine kumtumia huyo binadamu kama chakula kisha kuzalisha uhai mpya.
Mnyama anakufa anakuwa chakula cha mimea au wanyama wengine kisha navyo huzalisha viumbe vingine kupitia lishe hiyo.
Therefore, I'm sure after this life I will come back to earth alive in other forms, 100% guaranteed.
 
al jazeera inamilikiwa na Quatar, na ipo Quatar, na pale kwenye hiyo nchi HAMAS wamepewa ofisi kabisa na makazi.
 
Kumbe najenga hoja kwa Robot?
 
kinachonishangaza sana sometimes, CNN inamilikiwa na wayahudi, na mara nyingi wanaweza kuwa biased kiasi kwamba unaamini wapo upande wa hamas. kumbe wanawapiga changa la macho, behind the scene ndio wanaowachoma na kuwateketeza. na wanatumika kutikisa kiberiti duniani ili wahusika wapate picha ya mtazamo wa kinachoendelea na watoke vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…