Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,094
- 3,218
Wenzio wanafurahia kufa wakawai bikra wew mmwera unakuja kupga kelele humuVideo utaipata wewe? Unafaidika nini waislam wakiuliwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzio wanafurahia kufa wakawai bikra wew mmwera unakuja kupga kelele humuVideo utaipata wewe? Unafaidika nini waislam wakiuliwa?
ila hamas wanajificha kwenye mapango, wanaogopa kufa, nadhani wanajua hawana nguvu za kiume za kutosha kwenda kumudu mabikira 72. bado wanakula karanga. kwasababu kama wao hawaogopi kufa, kwanini wanajificha?Wenzio wanafurahia kufa wakawai bikra wew mmwera unakuja kupga kelele humu
Ayseee...[emoji4]Nifikirie kadiri upendavyo that will not change who I'm.
BTW, Who am I?
Of cause, I'm your enlightment.
Nakufunua akili yako uliyo lishwa uongo wa karne nyingi ili uwe mtumwa wa walio kuletea dini.
Bwahaaaaaaaa.....[emoji16][emoji847]Funguka akili.
Upo Tanzania unaanza kuuliza misikiti au makanisa yaliyopo Israel au Palestine ni ya nani?
Unagombana na mmatumbi mwenzio sababu ya dini za wageni!
Isreal na waislam wa Pqlestina anaogopa kufa. Kama wanaogopa kufa wangalikuwa washahamaila hamas wanajificha kwenye mapango, wanaogopa kufa, nadhani wanajua hawana nguvu za kiume za kutosha kwenda kumudu mabikira 72. bado wanakula karanga. kwasababu kama wao hawaogopi kufa, kwanini wanajificha?
Hata mimi bikra nitapata. Nakuonea huruma kuwa kuni wa motoWenzio wanafurahia kufa wakawai bikra wew mmwera unakuja kupga kelele humu
VIP hao waafrica waislamu wanouwawa na waarabu hapo Darfur Sudan chiefHamdanganyi watu. Dunia nzima inajua Isreal. Wewe MKTT wa Mbagala unapiga porojo. Unafaidika na nini kuuliwa waislam?
NAKAZIAKuhusu Aljazeera hawana tofauti na CNN na wengine wote wamekuwa kama TBC unatangaza based na egenda zenu hakuna chombo wala kimoja kikakupa habari balance kama zamani, siku hizi ni agenda zao na propaganda ndivyo walalipwa na sponsers wao.
Proganda za media za magharibi hizo. Umezima nzima nzima. Kwani South Sudan wa dini gani?VIP hao waafrica waislamu wanouwawa na waarabu hapo Darfur Sudan chief
Sasa mkuu si uwe Hindu tuu🤣🤣🤣Mimi siyo muislam nimebatizwa kanisa katoliki takatifu la mitume. Ingawa sasa sijinasibishi nalo wala dini yeyote.
Naamini uwepo wa Mungu tu.
Siamini Sana juu ya pepo, mtu akifa amekufa, atarudi tena duniani katika namna nyingine baada ya viumbe vingine kumtumia huyo binadamu kama chakula kisha kuzalisha uhai mpya.
Mnyama anakufa anakuwa chakula cha mimea au wanyama wengine kisha navyo huzalisha viumbe vingine kupitia lishe hiyo.
Therefore, I'm sure after this life I will come back to earth alive in other forms, 100% guaranteed.
Hii imeendaView attachment 2785292Nadhani hii inawahusu wengi humu, acheni kujikomba. Hawawataki.
I don't know anything about Buddhism religion.Buddhism Religion believes has really brainwashed your thinking capacity, though the life after living organisms death is upon yourself to choose which way you gonna take it deeply.
Nina uhakika asilimia 100 si Israel.Mkuu huwa nakuona upo sawa.
Kwahiyo unaamini Hamas ndio wamelipua Hospital?
Chuki zako dhidi ya waislam ndio imekufanya uamini hivyo. Akiuliwa kuku tu ukrain unalia na unapiga keleleNina uhakika asilimia 100 si Israel.
Mwenye dhiki ndiye atakayemtafuta tajiri.Lile bomu limechunguzwa limetengenezwa marekani na limetupwa kutoka kwenye ndege, hamas ana ndege? Na mkutano aliyoitisha biden jordan waarabu wamegoma kushiriki badala la kugundua ukweli huu , acha utoto muwe mnajielimisha kwanza kabla ya kupayuka
Kwani wanaouliwa ni waislam au waparestina?Video utaipata wewe? Unafaidika nini waislam wakiuliwa?
Bomu limechunguzwa na nani na ripoti yake iko wapiLile bomu limechunguzwa limetengenezwa marekani na limetupwa kutoka kwenye ndege, hamas ana ndege? Na mkutano aliyoitisha biden jordan waarabu wamegoma kushiriki badala la kugundua ukweli huu , acha utoto muwe mnajielimisha kwanza kabla ya kupayuka