Al Jazeera inamilikiwa na Hamas? Mbona wanawatetea sana Magaidi kiasi cha kupindisha ukweli ili kujenga chuki kwa Israel

Wenzio wanafurahia kufa wakawai bikra wew mmwera unakuja kupga kelele humu
ila hamas wanajificha kwenye mapango, wanaogopa kufa, nadhani wanajua hawana nguvu za kiume za kutosha kwenda kumudu mabikira 72. bado wanakula karanga. kwasababu kama wao hawaogopi kufa, kwanini wanajificha?
 
Nifikirie kadiri upendavyo that will not change who I'm.

BTW, Who am I?
Of cause, I'm your enlightment.
Nakufunua akili yako uliyo lishwa uongo wa karne nyingi ili uwe mtumwa wa walio kuletea dini.
Ayseee...[emoji4]
 
Bikra hata nitawapata kwa sababu ni muislam. Sasa sijui utapata nini? Ingia ktk uislam kabla Allah hajachukua kiumbe chake
 
ila hamas wanajificha kwenye mapango, wanaogopa kufa, nadhani wanajua hawana nguvu za kiume za kutosha kwenda kumudu mabikira 72. bado wanakula karanga. kwasababu kama wao hawaogopi kufa, kwanini wanajificha?
Isreal na waislam wa Pqlestina anaogopa kufa. Kama wanaogopa kufa wangalikuwa washahama
 
Hamdanganyi watu. Dunia nzima inajua Isreal. Wewe MKTT wa Mbagala unapiga porojo. Unafaidika na nini kuuliwa waislam?
VIP hao waafrica waislamu wanouwawa na waarabu hapo Darfur Sudan chief
 
Kuhusu Aljazeera hawana tofauti na CNN na wengine wote wamekuwa kama TBC unatangaza based na egenda zenu hakuna chombo wala kimoja kikakupa habari balance kama zamani, siku hizi ni agenda zao na propaganda ndivyo walalipwa na sponsers wao.
NAKAZIA
 
Sasa mkuu si uwe Hindu tuu🤣🤣🤣
 
Buddhism Religion believes has really brainwashed your thinking capacity, though the life after living organisms death is upon yourself to choose which way you gonna take it deeply.
I don't know anything about Buddhism religion.
It's just a coincidence my belief about life after death coincide with a Buddhism belief in reincarnation.
 
Lile bomu limechunguzwa limetengenezwa marekani na limetupwa kutoka kwenye ndege, hamas ana ndege? Na mkutano aliyoitisha biden jordan waarabu wamegoma kushiriki badala la kugundua ukweli huu , acha utoto muwe mnajielimisha kwanza kabla ya kupayuka
Mwenye dhiki ndiye atakayemtafuta tajiri.

Biden wala hajali kususiwa mkutano ana mambo mengi ya kufanya
 
Tangu dege la Biden lilipotua hapo middle East, kandarasi za kijeshi zipo hapo na zitakuwepo kwa muda kidogo kufanya yao.

Iran must watch target ni yeye hapo na wala sio warusha rocket.
 
Lile bomu limechunguzwa limetengenezwa marekani na limetupwa kutoka kwenye ndege, hamas ana ndege? Na mkutano aliyoitisha biden jordan waarabu wamegoma kushiriki badala la kugundua ukweli huu , acha utoto muwe mnajielimisha kwanza kabla ya kupayuka
Bomu limechunguzwa na nani na ripoti yake iko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…