Al-Jazeera: Mpaka sasa wameuawa zaidi ya Wapalestine 21,000 na Dunia imenyamaza tu?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Hawa waisrael wameshindikana? Mbona wanazidi kuua tu ndugu zetu?
hali ni tete palestina yanabaki magofu tu. Jamaa wanatamba tu utadhani nchi yao. Je ni hawa hawa mateka au walikuwa na sababu zao toka mwanzo sasa wamepata chanzo? Wallah inatia uchungu sana. Vita vimalizwe jamani hali ya Gaza ni mbaya sana.

New video shows detainees stripped in Gaza

hapa unaona wamekamatwa mateka wamevuliwa nguo.... Katika wale ambao hawakuweza kutoroka. Wengine allah aliwaidia wakakimbia vizuri. Hawa ambao walichelewa wanadhalilishwa jamani.
 
Acha watu wafundishane ustaarabu wa kuishi pamoja katika hii Dunia kwa tofauti zetu

Siku nyingine yasijirudie tena,kuvamiana na kuua watu ovyo
 
News from Hamas propaganda machine... aljazeera broadcast.. sijawahi waamini hayo ma Islamist waongo sana na wachochezi.. kuna siku walisema hospital imelipuliwa na airstrike watu mia nane wamededi. Dunia ikaenda kuthibitisha ni uongo kaeneo ka parking kirocket kilikosea njia kutoka kwa Islamic jihad vigari vimechomwa moto vimepangwa.. hadi leo hiyo idadi ya watu ipo kwenye list yao ujinga hadi majina wanayo hahaha wametunga.. never trust news from Islamist
 
Kwa kifupi acheni kuchokonoa Wayahudi, kubalini kuishi nao kwa amani, wale ni makatili, mkilianzisha wanamaliza, futeni hizi kauli

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
Hawa waisrael wameshindikana? Mbona wanazidi kuua tu ndugu zetu?
hali ni tete palestina yanabaki magofu tu. Jamaa wanatamba tu utadhani nchi yao. Je ni hawa hawa mateka au walikuwa na sababu zao toka mwanzo sasa wamepata chanzo? Wallah inatia uchungu sana. Vita vimalizwe jamani hali ya Gaza ni mbaya sana.

New video shows detainees stripped in Gaza

hapa unaona wamekamatwa mateka wamevuliwa nguo.... Katika wale ambao hawakuweza kutoroka. Wengine allah aliwaidia wakakimbia vizuri. Hawa ambao walichelewa wanadhalilishwa jamani.
wao wamefanya nn
 
Suala la kuuliwa wapalestine sio zuri ila halikuanza jana leo na wala halitaisha baada ya hili kupita
Mazayuni yamezoea kuua watu bila sababu kila wanapoamka nakujisikia kuua wanaua tu
West bank huko huko Palestine hawajafanywa kitu ila wanawaua watu kila siku wakiamua tuuu
Anaeua watu ni marekani kwaushirikiano wa anti yake israhell
Hamas endeleeni kupambania uhuru wenu endeleeni kuyaua mazayuni mpaka yakimbie ukanda wa ghaza kinguvu
Maana kitendo cha kueka silaha chini ndio lengo mama la wazayuni wapate kuwaua kama ukingo wa magharibi
Hamas kundi teule
 
Mbona unatuchanganya mzee,wewe si ulisema yanayouliwa ni mazayuni maelfu kwa maelfu.Why kulialia sasa?
Acha Mazayuni wawafundishe waarabu hasara ya kuua mayahudi
 
Wewe ndg, wenzio wanakufa wewe unaleta mzaha.
 
Mbona unatuchanganya mzee,wewe si ulisema yanayouliwa ni mazayuni maelfu kwa maelfu.Why kulialia sasa?
Acha Mazayuni wawafundishe waarabu hasara ya kuua mayahudi
Pole kijana
Mazayuni kuuwawa katika ardhi za Palestine ni halali kabisa
Mpaka wahame
 
Back
Top Bottom