Al-Jazeera: Mpaka sasa wameuawa zaidi ya Wapalestine 21,000 na Dunia imenyamaza tu?

Al-Jazeera: Mpaka sasa wameuawa zaidi ya Wapalestine 21,000 na Dunia imenyamaza tu?

Wote wanopigana ni wajinga na wameingizwa mkenge na imani zao za kijinga!!

Hakuna suluhu Kwa kupigana vita vinamalizwa Kwa undugu na kuungana!!

Mimi naamini ukipima vinasaba vya damu za pande mbili utakuta wote nasaba inafanana hakuna nasaba ya kiisrael Wala kipalestina zote ni damu zenye asili zinazofanana!!

Imani ndio chanzo Cha ugomvi Wala sio undugu na asili!!

Waliowafitisha wapo sehem wanakula Bata!
 
Hawa waisrael wameshindikana? Mbona wanazidi kuua tu ndugu zetu?
hali ni tete palestina yanabaki magofu tu. Jamaa wanatamba tu utadhani nchi yao. Je ni hawa hawa mateka au walikuwa na sababu zao toka mwanzo sasa wamepata chanzo? Wallah inatia uchungu sana. Vita vimalizwe jamani hali ya Gaza ni mbaya sana.

New video shows detainees stripped in Gaza

hapa unaona wamekamatwa mateka wamevuliwa nguo.... Katika wale ambao hawakuweza kutoroka. Wengine allah aliwaidia wakakimbia vizuri. Hawa ambao walichelewa wanadhalilishwa jamani.
kimsboy kila siku natueleza Israel inapigwa, mnalialia nini sasa na mnshinda?
 
Mbona mnasema wanajeshi wengi waisrael wanauawa na Hamas kwa wingi na vifaru vyao vina chomwa moto nini sasa mnalalamika wapalestina kufa
sielewi kwa nini Al JAzeera hawareport hizi habari zetu za kuwaua waisrael wengi na kuwashinda...... sielewi kabisa,
 
Hawa waisrael wameshindikana? Mbona wanazidi kuua tu ndugu zetu?
hali ni tete palestina yanabaki magofu tu. Jamaa wanatamba tu utadhani nchi yao. Je ni hawa hawa mateka au walikuwa na sababu zao toka mwanzo sasa wamepata chanzo? Wallah inatia uchungu sana. Vita vimalizwe jamani hali ya Gaza ni mbaya sana.

New video shows detainees stripped in Gaza

hapa unaona wamekamatwa mateka wamevuliwa nguo.... Katika wale ambao hawakuweza kutoroka. Wengine allah aliwaidia wakakimbia vizuri. Hawa ambao walichelewa wanadhalilishwa jamani.
Kama waliwaua Mollel na Mtenga bila sababu, kwanini nijumuike kuwatetea?
Wapambane na hali yao!
 
Pole kijana
Mazayuni kuuwawa katika ardhi za Palestine ni halali kabisa
Mpaka wahame
Wapalestina zaidi ya 20,000 wameshapoteza maisha na bado wanazidi kupoteza ngoja tusubiri tuone mwisho itakuwaje.
 
Ngoja nipige hesabu

Askari wanaume waislamu waliouawa 21,000
Kila mmoja kaahidiwa mabikira 72 na allah

Ukizidisha 21,000 mara mabikira 72 unapata jumla ya mabira 1,512,000 saa hii wako kazi vitandani peponi

Peponi kutakuwa kunawaka moto kwa miungurumo.ya vitandani mabikira 1,512,000 wakivurumishwa vitandani
 
Wapalestina zaidi ya 20,000 wameshapoteza maisha na bado wanazidi kupoteza ngoja tusubiri tuone mwisho itakuwaje.
Mwishowe wapalestine watakua washindi tu licha uingi wao kwenye kufa
 
Ngoja nipige hesabu

Askari wanaume waislamku waliouawa 21,000
Kila mja kaahidiwa mabikira 72 na allah

Ukizidisha 21,000 mara mabikira 72 unapata jumla ya mabira 1,512,000 saa hii wako kazi vitandani peponi

Peponi kutakuwa kunawaka moto kwa miungurumo.ya vitandani mabikira 1,512,000 wakivurumishwa vitandani
😂😂😂😂

Nimecheka kwa sauti kmmk kwamba pepon sasa hivi ni milio ya aaaaa oooo teh teh teh
 
Akili ndogo kabisa, si mnasema Israel ndio wanauawa sana sasa tushike lipi. Kugonga kichwa sakafuni kwa muda mrefu inaleta baadaye "Dementia ," kwa mujibu wa wataalam wa magonjwa ya akili.
 
Dunia yote inamuogopa Mmarekani!
Hii Vita inaweza kuisha kesho tu kwa tamko LA USA, na, Israel!
Dawa, hapa ilikuwa, kwa, china, urusi, Iran, Egypt vamia Israel, pereka, wanajeshi na dhana zao, Gaza! Pambana, na Israel USO kwa USO!
 
Back
Top Bottom