Halafu huku Jf Kuna Wanamgambo wa Hamas kutoka Ukingo wa Buza kwa Mpalange Kila siku wanaleta ushabiki maandazi.Hawa waisrael wameshindikana? Mbona wanazidi kuua tu ndugu zetu?
hali ni tete palestina yanabaki magofu tu. Jamaa wanatamba tu utadhani nchi yao. Je ni hawa hawa mateka au walikuwa na sababu zao toka mwanzo sasa wamepata chanzo? Wallah inatia uchungu sana. Vita vimalizwe jamani hali ya Gaza ni mbaya sana.![]()
Israel-Palestine conflict | Today's latest from Al Jazeera
Stay on top of Israel-Palestine conflict latest developments on the ground with Al Jazeera’s fact-based news, exclusive video footage, photos and updated maps.www.aljazeera.com
New video shows detainees stripped in Gaza
hapa unaona wamekamatwa mateka wamevuliwa nguo.... Katika wale ambao hawakuweza kutoroka. Wengine allah aliwaidia wakakimbia vizuri. Hawa ambao walichelewa wanadhalilishwa jamani.
Hawa Vijana wa Mnyaazi vichwa vyao vimejaa dagaa nchanga