Al-Jazeera: Mpaka sasa wameuawa zaidi ya Wapalestine 21,000 na Dunia imenyamaza tu?

Hawa waisrael wameshindikana? Mbona wanazidi kuua tu ndugu zetu?
hali ni tete palestina yanabaki magofu tu. Jamaa wanatamba tu utadhani nchi yao. Je ni hawa hawa mateka au walikuwa na sababu zao toka mwanzo sasa wamepata chanzo? Wallah inatia uchungu sana. Vita vimalizwe jamani hali ya Gaza ni mbaya sana.

New video shows detainees stripped in Gaza

hapa unaona wamekamatwa mateka wamevuliwa nguo.... Katika wale ambao hawakuweza kutoroka. Wengine allah aliwaidia wakakimbia vizuri. Hawa ambao walichelewa wanadhalilishwa jamani.
Na bado kipigo kitaendelea. Magaidi ya hanas yakiona idadi ya ndugu zao waliouawa inatosha watawaachia mateka waliosalia ambao wako kama 137 hivi hapo ndipo suala la kusitisha vita itazungumzika.

Mungu ibariki Israel na umlaani ailaniye Israel.
 
USA ndiyo inayoikingia kifua Israel na dunia imeufyata, hiki ni kiashiria cha nguvu za USA kama 'Superpower' pekee.

USA anatumia nafasi yake ya Ukiranja vibaya kwa kuzuia Israel kuwajibishwa kwa huu unyama

Hivi vitaa ni vya kulaaniwa na wapenda amani.

TUJITEGEMEE lee Vladimir cleef dudus
 
Israel wajinga sana, Hamas walivamia Israeli wakauwa watu 1200 na kuteka 240 ndani ya masaa machache halafu wao wanauwa 21000 kwa miezi 3? Huu ni uzembe walitakiwa kuwa wameuwa 1200 X 90 = 108,000 kwa miezi mitatu. Israel hawawezi vita ndo maana kila siku tunasema Hamas hawawezekani na wameshinda hii vita.
Nadhani waongeze tu mauaji wapuuzi hawa. Wameua watu wachache sana
 
USA ndiyo inayoikingia kifua Israel na dunia imeufyata, hiki ni kiashiria cha nguvu za USA kama 'Superpower' pekee.

USA anatumia nafasi yake ya Ukiranja vibaya kwa kuzuia Israel kuwajibishwa kwa huu unyama

Hivi vitaa ni vya kulaaniwa na wapenda amani.

TUJITEGEMEE lee Vladimir cleef dudus
Hakuna unyama. Palestine wapo imara kabisa. Hao Israel wanafyekwa wote. Kwanza hata mauaji si makubwa kivile.. basi tu.
 
Basi waache ugaidi na kuuwa Waisraeli.
Maana wanasabisha madhara kwa wapelistina wasiokua na hatia
Wanalipa gharama za ukombozi, hata Mbowe aliambiwa alikua anataka kufanya ugaidi wakuchoma vituo vya mafuta, hata Mandela pia alikua gaidi.
 
Wapalestina ndio wanalipa gharama ya vita huku viongozi wa hamas na familia zao wanakula maisha Qatar.

Kama ambavyo mtoto wa Netanyau yupo visiwa vya Hawai anakula bata, huku waisrael wengine wakiuliwa Gaza, nakawaida mkuu.
 
USA ndiyo inayoikingia kifua Israel na dunia imeufyata, hiki ni kiashiria cha nguvu za USA kama 'Superpower' pekee.

USA anatumia nafasi yake ya Ukiranja vibaya kwa kuzuia Israel kuwajibishwa kwa huu unyama

Hivi vitaa ni vya kulaaniwa na wapenda amani.

TUJITEGEMEE lee Vladimir cleef dudus
Israel ina laumiwa kwa lipi wakati imevamiwa na magaidi wakauawa raia raia wake 1200 ulitegemea ikae kimya hata Tanzania ilipovamiwa na idd amini walianzisha vita na Uganda acheni unafiki na double standard kumlaumu mwathiriwa wa vita
 
Acha wafundishwe ustaarabu
IMG_20231230_184235.jpg
 
Back
Top Bottom