Al-Jazeera: Mpaka sasa wameuawa zaidi ya Wapalestine 21,000 na Dunia imenyamaza tu?

Halafu huku Jf Kuna Wanamgambo wa Hamas kutoka Ukingo wa Buza kwa Mpalange Kila siku wanaleta ushabiki maandazi.

Hawa Vijana wa Mnyaazi vichwa vyao vimejaa dagaa nchanga
 
Huyu Mungu aliamua kuwaumbia watu danguro huko peponi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Dunia yote inamuogopa Mmarekani!
Hii Vita inaweza kuisha kesho tu kwa tamko LA USA, na, Israel!
Dawa, hapa ilikuwa, kwa, china, urusi, Iran, Egypt vamia Israel, pereka, wanajeshi na dhana zao, Gaza! Pambana, na Israel USO kwa USO!
Iran na Egypt hatatakubali huu ushauri. Israeli ana super nuclear iko standby, akizidiwa ni kufyatua tu akianzia na hawa jirani zake.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Saa 24 zilizopita wapalestina zaidi ya 200 wameuwawa
Wahabi wa kwa mpalange maoni yenu tafadhali.
 
Sema Hamas,sio wapalestine
si mnakataa kwamba wao ndio wanarusha makombora tel aviv.
Na alert inatolewa kiroho safi.
"Tunakuja kusafisha kkoo,raia wema ondokeni"
We unabaki.
Wakipita nawewe unakuja kulia humu.
 
Dunia yote inamuogopa Mmarekani!
Hii Vita inaweza kuisha kesho tu kwa tamko LA USA, na, Israel!
Dawa, hapa ilikuwa, kwa, china, urusi, Iran, Egypt vamia Israel, pereka, wanajeshi na dhana zao, Gaza! Pambana, na Israel USO kwa USO!
Hakuna hiyo kitu hapa duniani.
Hao wenyewe wamekanyagwa kooni kwanza.
Mwanzo tu wa vita nilisema hawa jamaa wanaondoka kimkakati,haikua kwa mandalizi yale.
Waliondoka kibingwa haswa,
Na nafkiri watapitiliza huko Iran asubiri tu.
Kashagongewa mageneral wa2 km warning call.
 
Kashagongewa mageneralwa2 km warning call.
 
Gaza ni eneo dogo sana (about 350sqm) kwa raia wasiondoke kuepuka vifo zaidi?
 
Israel wajinga sana, Hamas walivamia Israeli wakauwa watu 1200 na kuteka 240 ndani ya masaa machache halafu wao wanauwa 21000 kwa miezi 3? Huu ni uzembe walitakiwa kuwa wameuwa 1200 X 90 = 108,000 kwa miezi mitatu. Israel hawawezi vita ndo maana kila siku tunasema Hamas hawawezekani na wameshinda hii vita.
 
Dunia yote inamuogopa Mmarekani!
Hii Vita inaweza kuisha kesho tu kwa tamko LA USA, na, Israel!
Dawa, hapa ilikuwa, kwa, china, urusi, Iran, Egypt vamia Israel, pereka, wanajeshi na dhana zao, Gaza! Pambana, na Israel USO kwa USO!
Hakuna hiyo kitu hapa duniani.
Hao wenyewe wamekanyagwa kooni kwanza.
Mwanzo tu wa vita nilisema hawa jamaa wanaondoka kimkakati,haikua kwa mandalizi yale.
Waliondoka kibingwa haswa,
Na nafkiri watapitiliza huko Iran asubiri tu.
Kashagongewa magenerar wa2 km warning call.
 
Mbona magaidi ya Hamas wanaua Waisraeli?!
Vita ni vita
 
Hao waliouliwa sio Hamas ila Wagonjwa wa mahospitalini, watoto na wanafunzi mashuleni

Ingekuwa ni Hamas sidhani kama Kuna mtu angewalaumu

Lazima tuwalaumu Hamas kwa sababu wameanza maugaidi huku wakijua matokeo yake
 
Akili ndogo kabisa, si mnasema Israel ndio wanauawa sana sasa tushike lipi. Kugonga kichwa sakafuni kwa muda mrefu inaleta baadaye "Dementia ," kwa mujibu wa wataalam wa magonjwa ya akili.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dunia yote inamuogopa Mmarekani!
Hii Vita inaweza kuisha kesho tu kwa tamko LA USA, na, Israel!
Dawa, hapa ilikuwa, kwa, china, urusi, Iran, Egypt vamia Israel, pereka, wanajeshi na dhana zao, Gaza! Pambana, na Israel USO kwa USO!

Walishajaribu mwaka 1967 wakachezea kipigo cha mbwa mwizi. Chezea Israeli wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…