Al-Jazeera: Mpaka sasa wameuawa zaidi ya Wapalestine 21,000 na Dunia imenyamaza tu?

Na bado kipigo kitaendelea. Magaidi ya hanas yakiona idadi ya ndugu zao waliouawa inatosha watawaachia mateka waliosalia ambao wako kama 137 hivi hapo ndipo suala la kusitisha vita itazungumzika.

Mungu ibariki Israel na umlaani ailaniye Israel.
 
USA ndiyo inayoikingia kifua Israel na dunia imeufyata, hiki ni kiashiria cha nguvu za USA kama 'Superpower' pekee.

USA anatumia nafasi yake ya Ukiranja vibaya kwa kuzuia Israel kuwajibishwa kwa huu unyama

Hivi vitaa ni vya kulaaniwa na wapenda amani.

TUJITEGEMEE lee Vladimir cleef dudus
 
Nadhani waongeze tu mauaji wapuuzi hawa. Wameua watu wachache sana
 
Hakuna unyama. Palestine wapo imara kabisa. Hao Israel wanafyekwa wote. Kwanza hata mauaji si makubwa kivile.. basi tu.
 
Basi waache ugaidi na kuuwa Waisraeli.
Maana wanasabisha madhara kwa wapelistina wasiokua na hatia
Wanalipa gharama za ukombozi, hata Mbowe aliambiwa alikua anataka kufanya ugaidi wakuchoma vituo vya mafuta, hata Mandela pia alikua gaidi.
 
Wanalipa gharama za ukombozi, hata Mbowe aliambiwa alikua anataka kufanya ugaidi wakuchoma vituo vya mafuta, hata Mandela pia alikua gaidi.
Wapalestina ndio wanalipa gharama ya vita huku viongozi wa hamas na familia zao wanakula maisha Qatar.

Kama ambavyo mtoto wa Netanyau yupo visiwa vya Hawai anakula bata, huku waisrael wengine wakiuliwa Gaza, nakawaida mkuu.
 
Israel ina laumiwa kwa lipi wakati imevamiwa na magaidi wakauawa raia raia wake 1200 ulitegemea ikae kimya hata Tanzania ilipovamiwa na idd amini walianzisha vita na Uganda acheni unafiki na double standard kumlaumu mwathiriwa wa vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…