#COVID19 Al-Jazeera: President Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are dangerous

Sizitaki mbichi hizi. Chanjo dola 200 dozi moja, tutaweza kununua . Wafadhili tumeshawafrastrate, miradi ya kimkakati ndo hiyo inademdema.
 
Sizitaki mbichi hizi. Chanjo dola 200 dozi moja, tutaweza kununua . Wafadhili tumeshawafrastrate, miradi ya kimkakati ndo hiyo inademdema.
Napata picha mkuu kuzuia mjadala chanjo $$$$
 
Mkuu kuhusu data, zimewasaidiaje USA, UK, Italy, France etc. Je, vifo nchini mwao vimepungua kwa sababu ya kuweka data? Au unaweka data kuweka hofu tu?
 
Watulie hatutaki chanjo, hizo chanjo nyengine ni hormones [emoji2359]

..sasa kwanini mitishamba tunayotumia serikali haiuzi kwa mabeberu ile tuongeze mapato?

..badala yake bwana mkubwa anatushauri tulime sana ili tuwauzie walioko kwenye lockdown.
 
Kwani kupata chanjo inakufanya usiwe carrier?Kupata chanjo haikufanyi usiwe virus carrier,kwa hiyo kuendelea kuvaa barakoa ni muhimu ili kuepuka kuambukiza wengine.Halafu maswali yangu ya msingi hujanijibu hapo juu!
Kurudi kwenye swali lako la msingi ni kwamba Corona ni jamii ya kifua kikuu!
 

Hujui chochote kinachohusu hii pandemic. Pendeni kusoma aisee mana kila kitu kimeshaandikwa ila kimefichwa Na inahitaji hekima ya kidogo kuelewa
 
Nipo pamoja na Mhe rais Magufuli. Anawawazia mema wananchi wake sema hawamwelewi tu

Wewe unayepiga kelele upo tayari kwa lockdown ambayo haitokuwa na manufaa zaidi ya kuongeza matatizo kwenye jamii?
Tuache ujinga rais yupo sahihi!
 

Uko right, Leo Cardb katweet juu ya gharama za kucheck au kupiga iyo chanjo ni around $250 Na monthly anafanya ivo Na team yake Mara 4 Na kadai kuna subtle business inaendelea!
 
Kwa mtaji huu hata ile mambo ya kwake, kanga na mbuzi yawezekana ikawa ni change la macho!

Kama sivyo hali ya dish inaweza kuwa mgogoro.
 
Simameni na raisi. Sisi hatujajiletea corona, tulikuwa tunaendelea na maisha yetu na kukosoana. Hao hao wanaotaka kutupa chanjo ndo waliileta corona. Hapa mm sijali kuwa raisi yupo sahihi kuhusu chanjo au la ninachojua sipo upande wa mzungu sijui mchina katika hili. Huwezi nitupa shimoni halafu unakuja na vikamba kamba unanipa maelekezo jinsi ya mm kutoka shimoni. By the way hakuna atakayeishi milele. MUNGU na atulinde na kuvitunza vizazi vya mtanzania.
 
Kweli Tanzania imepatikana...dah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…