#COVID19 Al-Jazeera: President Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are dangerous

Hao wanaotuletea chanjo kwao wanakufa hadi watu 4000 kwa siku. Wamalizane na corona yao ndio waje kutusaudia
 
Mutuache na Rais wetu tafadhali. Mjibuni kwanza kwanini magonjwa makubwa kansa, HIV, malaria, kufua kikuu na mengine mengi yanayouwa watu wengi kwa fujo kwanini hayana chanjo?
 
Kumbe kwenye vibano kama hivi huwa wanaelewa kiswahili[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Watulie hatutaki chanjo, hizo chanjo nyengine ni hormones [emoji2359]
Sijui hiyo huruma ya kutufuatilia na kutujali wameipata wapi? Watulie hii ni vita ya dunia kila mtu apambani kwa silaha alionayo
 
Mutuache na Rais wetu tafadhali. Mjibuni kwanza kwanini magonjwa makubwa kansa, HIV, malaria, kufua kikuu na mengine mengi yanayouwa watu wengi kwa fujo kwanini hayana chanjo?
Kifua kikuu inatabibika, same kwa malaria, hiv mpaka wamekuja na dozi kwa mwezi na sio kunywa ARV kila siku, ulishajiuliza ARVs zisingekuwepo Hali ingekuaje na kumbuka wanatupa bure acha ujinga a.k.a uzwazwa
 
Mkuu unapokosoa kitu wewe ndio unakua na burden of proof. Huwezi sema chanjo ina madhara afu justification yako ni hyo second paragraph!!

Wewe kma msomi uweke hpa empirical analysis iliofanyika kujustify kwamba hzo vaccine hazifai. Till then huna credibility ya kupinga kitu ambacho kimekubalika na health experts wakubwa.

Mind you mabeberu hao hao wanawapa almost dawa zote za magonjwa kuanzia chermo,ARVs, and so on kma mnakejeli then muache kutumia na hizo zingine otherwise it's double standards
 
Huko waliko na hizo chanjo bado ugonjwa unaendelea usunbua kwa kasiya ajabu pamoja na kuchanjwa! Chanjo hizo sio suluhisho. Raid ana vyanzo vya habar vingi vinavyompa majumuisho, hivyo anattuongoza vena na hafuati mkumbooo! Mungu ndu awezaye kutusaidia na ndiye tunamkimbilia. Tuchukue tahdhar zote na Mungu yupo kutusaidia.
 
Huko waliko na hizo chanjo bado ugonjwa unaendelea usunbua kwa kasiya ajabu pamoja na kuchanjwa! Chanjo hizo sio suluhisho. Raid ana vyanzo vya habar vingi vinavyompa majumuisho, hivyo anattuongoza vena na hafuati mkumbooo! Mungu ndu awezaye kutusaidia na ndiye tunamkimbilia. Tuchukue tahdhar zote na Mungu yupo kutusaidia.
 
Papa mwenyewe amepata chanjo na ndiyo aliyekutambulisha kwa MUNGU
 
Sasa ka nchi ambako hakawezi hata kupambana na maralia,bado watoto na kinamama wanakosa hata huduma ya uzazi Salama,ka nchi ambako ni asilimia 43 tu ya wananchi wake wanatumia simu za mikononi,Raisi wake hata akiongea kitu Kama hicho watamuona mpuuzi tu,Korona haiondoki kwasababu Jiwe kasema,korona ni Ugonjwa,unaua,Ukimwi upo unaua na Mungu yupo,Kansa inaua na Mungu yupo,Kama Mungu akuzuia Ukimwi usiue,kwanini azuie korona isiue leo,
Huyu jamaa nchi imemshinda amebaki kuleta Kiki tu,ajira hakuna,uchumi mbovu,anaenda kuzindua Miti!sasa RC,DC,waziri afanye nini?
 

..sasa mbona tulikurupuka kwenda Madagascar kuchukua mitishamba?

..sisi tulitakiwa tuchukue tahadhari ambazo ziko ndani ya uwezo wetu kama kuvaa barakoa, na kuosha mikono.

..pia tulipaswa kuhakikisha kila mgeni anayekuja nchini ana cheti cha corona toka huko alikutoka.
 
Usiwe mouth piece ya mtu mwingine, jifunze kufungua ubongo wako na kufanya uamuzi through logic reasoning. Kuna justification zipi zinathobitisha chanjo hiyo ni effective kwa waathirika (victims) in reality everybody is exposed to the risk. Utafiti mpaka ufanwe na ngozi nyeupe au mtu anayefanya katika taasisi kubwa za kimataifa kuhusiana na masuala mbalimbali? What do you mean by justification of reasoning challenge against those you call them health experts? Too pathetic argument.
 
yetu masikio wala hatuna maamuzi,tunashindwa kuegemea upande wowote ule ama serikali au mashirika ya kimataifa mfano WHO
 
"Choosen people" ni lini mtazinduka kwenye usingizi wa pono wa hii dunia

Na kusoma kote na maarifa haya ya dunia ambayo mnayo, bado tu mnawaamini watu wa ulaya, waliowatumikisha mababu zetu miaka zaidi ya 400

Uhakika wa kizazi chetu kuwepo nani ana uhakika nacho kwa miaka 1000 ijayo?

Zindukeni achenj up**bavu kwa kijinga

Rais wetu yupo sahihi kwa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…