Al Jazeera's Investigative Unit: Kenyan Counter-Terrorism Police confess to extrajudicial killings

Al Jazeera's Investigative Unit: Kenyan Counter-Terrorism Police confess to extrajudicial killings

Tupe uthibitisho wa vijana wetu waliojiunga na al shabab, leta uthibitisho wa Hati zao au ushahidi wenye kuaminika usilete habari za kijiweni, ingekuwa serikali yako inauwa majambazi kama ilivyokuwa Tanzania imefanya ningekubaliana na wewe, lakini serikali yako inauwa watu wa aina fulani fulani tu na hakuna hatua za maana zinazochukuliwa, leo al Jazeera wamesema ukweli mnatokwa na povu, kama imewauma nendeni kweli mahakamani na al Jazeera wamesema bado wanaweza kuthibitisha ukweli zaidi ya huo waliotoa

Mimi na wewe tunategemea vyombo vya habari, sina hati za kuthibitisha Utanzania wa wale jamaa, zaidi ya kutegemea uandishi wa habari. Vivyo hivyo huna uthibitisho wa hiyo taarifa ya Aljazeera, wanaonyesha jamaa wakiongea huku wamejificha ndani ya giza.
 
These kind of comments will make you Kenyans pay a heavy price!

You are paying it now and you will pay even more! You are messing with the Bull. You will get the Horn .

We are already paying the price of slackening while our youths were being recruited by these mosques.
I don't condone people being killed by police so remorselessly like this, however, these Imams are so busy attracting harm. Featuring on a national TV calling for youths to arm themselves with AK47, you're definitely putting a cross-hair on yourself.
 
Shekhe wa Mombasa anafunga mabendera ya Al shaabab juu ya msikiti ana maanisha nini kama siyo kuunga mkono ugaidi?, wacha wafumuliwe. Kuna utofauti kati ya Shekhe na Gaidi

images
 
hivi kama rais akiruhusu majeshi yaende kule tutafanya nini kama wananchi ili kuepusha hilo
 
Mkuu kahtaan, naona mnabishana hapa lakini hamtoi solution. Maswali yangu kwako.

1. Kama wewe ni Rais wa Kenya, ukaona watu wameweka bendera za kundi linalo ua watu wako msikitini utafanya nini?
2. Unadhani kwanini baadhi ya watu wa Mombasa wanaonekana kuwa upande wa Al shaabab kuliko kutetea Kenya yao?
3. Unadhani ilikuwa ni sahihi Al shaabab kuvamia beach za Mombasa na kuteka watalii hata kabla ya Kenya kwenda Somalia?

Naomba views zako
 
Mkuu kahtaan, Mbona Takwimu zinaonesha 99.5 ya watu waliouawa na ISIS ni waislam?
Lakini pia mpaka sasa Boko haram wameua zaidi ya watu milioni 10, lakini kati ya hao 75% mbona ni waislam?
Kweli wanatetea watu wao?
 
Mkuu kahtaan, naona mnabishana hapa lakini hamtoi solution. Maswali yangu kwako.

1. Kama wewe ni Rais wa Kenya, ukaona watu wameweka bendera za kundi linalo ua watu wako msikitini utafanya nini?
2. Unadhani kwanini baadhi ya watu wa Mombasa wanaonekana kuwa upande wa Al shaabab kuliko kutetea Kenya yao?
3. Unadhani ilikuwa ni sahihi Al shaabab kuvamia beach za Mombasa na kuteka watalii hata kabla ya Kenya kwenda Somalia?

Naomba views zako

Maswali mazuri sana.
Kuna msemo moja muhimu sana ktk Physics unaosema "To every effect there must be a CAUSE! "

Cha kwanza kilochotakiwa kufanywa na Rais wa kenya Ni kufanya uchunguzi wa kina Na kujiuliza maswali yafuatayo.

1.kwanini Hawa raia Wa kenya Waweke Bendera ya ALSHABAB Sasa wakati Alshabab wako ktk Operation zaidi ya miaka 10?

2. Ilikuwaje Raia WEMA wa MOMBASA wamegeuka Na Kuichukia serikali yao Kiasi cha kukubali Kujiunga na Wauwaji?

3.Na kama Vita ya wasomali Imeanza toka Mwaka 1992! Na hakutokea Msomali akaja Teka nyara MTALII HATA MMOJA imekuwaje Hivi karibuni tu WASOMALI wameanza kuteka WaTALII na KUUA wakenya OVYO?

Na majibu Ya Maswali Hayo Ni mepesi sana.

KENYA NDIO IMEANZA USHARI NA kujifanya Wao ni HEROS watakao IKOMESHA Somalia.

NA hili wote tunafahamu kuwa ni SHINIKIZO kutoka nchi za MAGHARIBI!

Kenya Hawana BALLS za Kuingia Somalia Peke yao.

ISRAEL , USA na UK Ndio Commanding officers wa Hii Issue yote. Na wakenya walivyokuwa na Akili Nzito BADALA YA KUONA BAlaa zinazowatokea na KUKATAA KUJIHUSISHA NA HUU UJINGA. Wameingia KICHWA KICHWA!

Wakenya Wasipo amka sasa. Damu nyingi za wanyonge Zitamwagika SANA.
 
Shekhe wa Mombasa anafunga mabendera ya Al shaabab juu ya msikiti ana maanisha nini kama siyo kuunga mkono ugaidi?, wacha wafumuliwe. Kuna utofauti kati ya Shekhe na Gaidi

images

Hiyo bendera imeandikwa "HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISIPOKUWA MWENYEZIMUNGU"... sasa kwasababu hiyo tu mnaitoa roho yake, mbona kila muislam huisema hiyo zaidi ya Mara 10 kwa siku, tuueni wote basi
 
Mkuu kahtaan, Mbona Takwimu zinaonesha 99.5 ya watu waliouawa na ISIS ni waislam?
Lakini pia mpaka sasa Boko haram wameua zaidi ya watu milioni 10, lakini kati ya hao 75% mbona ni waislam?
Kweli wanatetea watu wao?

Lakini Al shaabab wameanza kuwa na huruma, wao wakivamia wanauliza nani mwislam?, unapigwa interview ya Quran kidogo, ukishindwa unapelekwa kwa ALLAH faster
 
Mkuu kahtaan, Mbona Takwimu zinaonesha 99.5 ya watu waliouawa na ISIS ni waislam?
Lakini pia mpaka sasa Boko haram wameua zaidi ya watu milioni 10, lakini kati ya hao 75% mbona ni waislam?
Kweli wanatetea watu wao?

Hao ISIS na BOKO Haram Ni Vikundi vya MAKAFIRI vilivyowekwa Hapo kwa sababu maalum ya Kuua Waislamu kwa jina la UISLAMU ili Lawama Ziwarudie hao hao waislamu.

Asie tambua hilo.Ni mpumbavu wa mwisho kabisa.
 
"the work is very easy,b'se i'm always on a standby to get instructions;go to ABCD,HIT ABCD and it's DONE! period, and you get back".
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kahtaan, Mbona Takwimu zinaonesha 99.5 ya watu waliouawa na ISIS ni waislam?
Lakini pia mpaka sasa Boko haram wameua zaidi ya watu milioni 10, lakini kati ya hao 75% mbona ni waislam?
Kweli wanatetea watu wao?

Boko Haram wameua watu zaidi ya Mil.10...? Macho yangu au nilikimbia umande...?
 
Kulikoni kahtaan , mbona hapa inaonekana Boko haram mtetezi wa waislam ameua wenzake msikitini?, au alidhani ni kanisa?, hahaha. Kweli Gaidi hana mipaka, hata wewe iko siku watakumaliza


Boko Haram Kano attack: Loss of life on staggering scale


By Will Ross BBC News, Kano, northern Nigeria

Will Ross reports from Kano

Boko Haram


The tension is palpable in Kano, after bombers and gunmen struck killing more than 100 people at the central mosque.
Source: BBC News - Boko Haram Kano attack: Loss of life on staggering scale
 
Kwahiyo bendera nikaitundika nyumbani kwangu mtanipeleka mbinguni, kwa sababu hiyo tu

Mgaidi wanajua kusoma saikoloji za watu, utumia ujumbe mzuri sana kuvutia wafuasi. ISIS wenyewe wana bendera yenye ujumbe mzuri lakini waliouwa mpaka sasa 99% ni waislam wenzao, kwa taarifa yako hata Al shaabab wameuwa waislam wengi Somalia kuliko wakristo
 
MAJIGAMBO HEWA YA VYOMBO VYA USALAMA-KENYA

[h=1]Inside Kenya's elite units for hostage situations[/h]


Stream

Mustafe Husen

1 year ago

They need more training




Reply
·
1
cleardot.gif

cleardot.gif






rubel miah

10 months ago

They elite myy ass amutures




Reply
·
cleardot.gif

cleardot.gif






irene wanjau

1 year ago

Bullshit





Reply
·
1
cleardot.gif

cleardot.gif



Jose Mzito1 year ago



thats right


Reply
·
cleardot.gif

cleardot.gif













Erick Kimasha via Google+

1 year ago

Irrespective of this expensive training on Counter Terrorism, Kenya SWAT (Special Weapons and Tactics) Team was utterly outsmarted by Terrorists! They couldn't imitate nor apply any tactic from their recent training. I real feel sorry for them!




Reply
·
cleardot.gif

cleardot.gif






crazedzeen

1 year agoin reply to michaeldoit

if you followed the story well you would be aware that the KDF took charge...the kdf shot one of the recce and so they said that they cant work with them and left the scene on the first day.the rest of the days kdf were busy looting and getting wasted on free booze....watch jicho pevu for more info.








Sura Mbaya

1 year agoin reply to Debra Wanjala

Who will pay for it?








Tindo9414

1 year agoin reply to Brian David

To answer your question. These guys showed up and had the terrorist cornered. But they were removed when KDF showed up with tanks and RPGS. The government failed miserably but this squad is legit and elite. They would have finished this thing on the same day. KDF ndio bure not RECCE








Sura Mbaya

1 year ago

This is cool. We have had these guys for a long time and they are super-committed and well trained. The issue at Westgate was one of leadership and coordination. We had all the resources we required but they were not managed optimally. I guess it could have been worse though.








THEXVIITH

1 year agoin reply to Rama RamzZy

Boy! I've nothing against Somalis - I'm serious! It's a fact that there are dangerous weapons in these places, you may deny it but that's a fact. I didn't say there are no Kyuks, Kaos, Luos etc in Eastleigh, South C & C, did I?








bmijjy

1 year agoin reply to tcmixman

Oh shut up with your range time and mandates. If you had half an idea you would know Reece performed admirably. Suits and Ruperts fucked this one up.








kiatu kichafu

1 year ago

wote ni stupid they took the whole army and killed five terrosits wapi the 10 I guess they left wit the hostages ............. Kenyan police are just sooo great harassing Kenya wananchi








Gutsyndicate

1 year ago

it took them more than 4 days, and they don't even know if guys escaped or not. and the mall collapsed and set on fire. so I think they fail greatly in this operation.








THEXVIITH

1 year agoin reply to Awuor Edwin

Why not ambush & comb the whole of Eastleigh, South C & B concurrently door to door and see how many explosives, guns and ammunition they have allowed to enter this country while they were taking a nap?...








samuel muthuma

1 year ago

We appreciate the good job they did...








Joseph Gomalo

1 year agoin reply to Alex Mitroiu

Thats realistic they went assessed the situation and decided it wasnt feasible and accepted it. Elite Kenyan forces saved the daymy ass.. why did the israelis have to show up if these Kenyan were the most effective real deal. They should stop bragging and go t work.








Reen Mohawk

1 year ago

These is very ingnorant exposing these is like giving your anemy information.you guys need to fucking think big








Rama RamzZy

1 year agoin reply to THEXVIITH

That's a very ignorant and Xenophobic comment. The guy who threw a grenade at bus station was arrested in his Kayole house. The White widow is from England. You are insinuating all al-shabaab members are Somali which means you haven't read a lot about them. Being a somali-based militia doesn't make every member Somali. So far there has been a Luhya and Kyuk arrested in connection with previous attacks. That means they are using Kenyans too. Now, go and find a cure for your ignorance.








Tindo9414

1 year agoin reply to Alex Mitroiu

You are confusing KDF and RECCE. They removed RECCE and KDF messed up the whole situation. RECCE had the terrorist cornered. Why do you think uhuru had lunch with RECCE last week? He was going to apologize. KDF messed up big time.








tcmixman

1 year agoin reply to hyraxist

Dear hyraxist: Check yourself, I have more range time than you will ever have, on multiple platforms; both CQB and otherwise; and trust me if I were there and under the same mandate I have here in the States, I would have been in the fight. I have a lot of respect for Special Forces and SWAT teams (some people on Youtube actually know what they are talking about buddy 🙂








Gutsyndicate

1 year ago

lool at Kenya elite forces. these ------ were outside four days when four gunmen were walking around and shooting ppl and when they finally get tired they left (not escaped) left on their own terms. that is a big failure and embarrassment for Kenya









Show more
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo bendera nikaitundika nyumbani kwangu mtanipeleka mbinguni, kwa sababu hiyo tu

Tatizo waislam mmemfanya Mungu kama takataka, wewe unaandika ujumbe mzuri kwenye bendera wakati huohuo unaua watu walioumbwa na Mungu, huo ndio ukafir kama ujui. Halafu washenzi mnaunga mkono bendera ya Kinafiki
 
Tatizo waislam mmemfanya Mungu kama takataka, wewe unaandika ujumbe mzuri kwenye bendera wakati huohuo unaua watu walioumbwa na Mungu, huo ndio ukafir kama ujui. Halafu washenzi mnaunga mkono bendera ya Kinafiki

Kenya haina mahakama...? Can't they entertain terrorists kwa courts...? Kwann wanaua waislam pasipo kufuata sheria...? Au sheria zinatumika kwa only non Muslims...? You'll regret
 
Kenya tunarekebisha makosa yetu awali kwa kukosa kukabili vijana wakenya kujiunga na alshabaab..vijana hawa wakenya ndio wanaotulepuwa...vile vile ndani TZ kuna vijana wanaorudi nyumbani kutoka somalia na training ya Alshabaab. Si wasomali watakaowalepua bali vijana watanzania waliojiunga na shabaab. Milipuko ya Arusha ilikuwa tu yakuiamsha serikali yenu kuwa shenaabs wako TZ
 
Back
Top Bottom