Al-Shaabab wakiri kufanya shambulio na kudai wameua wanajeshi 57 wa Kenya

We ulivyoangalia hiyo video umeona ni dini gani wanafanya maasi!!??
Shame on you !
 
Sio alshabab tu.... Boko Haram Isis Alqaeda yote ni makundi yametengenezwa na mossad kwa malengo maalum... Hakuna dini wala nn?
 
Those days were great, ever week or month there will be news of decisive blows to alshabaab, journerlist were embedded with troops and would be giving out videos and reports from the battlefield.... It was so great
 
aise kupambana na mijitu kama hii ambayo haigopi kufa ni ngumu. Ni taifa pekee la Mungu wa Kweli tu ISRAEL Ndio wanajua kuyadhibiti
Wao ndo wanatengeneza hivo vikundi....
Lilikuwa kweli taifa teule la mungu lkn baada ya kuuwe mitume wa mungu limekuwa taifa teule la shetani.
 
Wee nikama unaaminia propaganda ya al shabab kushinda statement ya gova
 
Kwa nn amiri jeshi mkuu asi dispatch kikosi maalumu cha JWTZ waende wakafyeke hawa magaidi??
 
Ndio maana trump kapiga marufuku radical islamists kuingia US
 
Huwa najilizaga maswalihaya. Hao al shabab wananguvu kiasigani?,
Kwanini hawafuatwi hukokwenye chimbolao?,

Nani anawahudumia chakula, silaha, na mafunzio, yani wamejificha wapi hasa pasipo julikana.

Lazima kuna kituhapa ambacho hatukijui.
BIASHARA. Ni kipato kwa wengine.
 
Kwa nn amiri jeshi mkuu asi dispatch kikosi maalumu cha JWTZ waende wakafyeke hawa magaidi??
JWTZ haina experience kupigana Na magaidi, watanzania wengi Sana wamejiunga Na alshabaab, siku mkiamua kuingia Somalia mashambulizi ya kwanza yataanza ndania ya tz yenyewe.... Afadhali uliize kwanini mataifa Kama aljeria Na misri hazimo ndani ya Somalia
 
Mkuu, hatuwezi kuwalaumu Wakenya. Hawa magaidi walikuja na lori lililokuwa limejazwa mabomu na walikuwa WENGI sana kila upande. Walilipua lori lao wakajiua ndo magaidi wengine wakafanya uovu huo.
Si intelijensia mbaya, bali vita vya kuvizia ni tofauti na vita vya kawaida!
Pengine wazo zuri.
Wakenya watoke tu kama walivyojitoa Sudani ya Kusini.
Ili Wasomali wenyewe kwa kuwa hawataki AMANI, waachwe WAMALIZANE,maana Hawajui umuhimu wa AMANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…