Al-Shaabab wakiri kufanya shambulio na kudai wameua wanajeshi 57 wa Kenya

Al-Shaabab wakiri kufanya shambulio na kudai wameua wanajeshi 57 wa Kenya

Lama kawaida yenu nyinyi wa TZ muna udini sana. Afadhali na Kenya lakini nyinyi WaTZ munapoelekea na hasa wakristo sijui ni kwa nini wanachukia Uislam tuwaulize wanewakosea kitu gani. Ni mada ya magaidi kuvamia kambi. Wa TZ mnaweza udini hivi hii Jamaa imefurahi na anadhihaki Mungu
We ulivyoangalia hiyo video umeona ni dini gani wanafanya maasi!!??
Shame on you !
 
Sio alshabab tu.... Boko Haram Isis Alqaeda yote ni makundi yametengenezwa na mossad kwa malengo maalum... Hakuna dini wala nn?
 
No don't get me wrong..I detest those skinnies with every fibre of my being...I sometimes get crazy mad at Prez and his coterie of advisors. I miss the days before KDF rehatted into leaderless Amisom..the days of the Eloquent Silas Oguna and Major Chirchir,where we used to get daily updates on twitter and weekly press briefings.I think Kenya should pull out of Amisom and operate independently like they did with OPERATION LINDA NCHI. I don't care if we foot the bill.A stable Jubaland is a plus for Kenya.


and updates like this one below

Those days were great, ever week or month there will be news of decisive blows to alshabaab, journerlist were embedded with troops and would be giving out videos and reports from the battlefield.... It was so great
 
aise kupambana na mijitu kama hii ambayo haigopi kufa ni ngumu. Ni taifa pekee la Mungu wa Kweli tu ISRAEL Ndio wanajua kuyadhibiti
Wao ndo wanatengeneza hivo vikundi....
Lilikuwa kweli taifa teule la mungu lkn baada ya kuuwe mitume wa mungu limekuwa taifa teule la shetani.
 
Wacha The camp was completely destroyed and taken over by alshabaab..why lie??this so called KDF spokeswoman that only issues written statements to the media?why not hold a press conference and tell our SO CALLED COMMANDER IN CHIEF to tell the truth?This is not how you treat your fallen soldiers..like their lives don't matter..
Wacha The camp was completely destroyed and taken over by alshabaab..why lie??this so called KDF spokeswoman that only issues written statements to the media?why not hold a press conference and tell our SO CALLED COMMANDER IN CHIEF to tell the truth?This is not how you treat your fallen soldiers..like their lives don't matter..
Wee nikama unaaminia propaganda ya al shabab kushinda statement ya gova
 
Kwa nn amiri jeshi mkuu asi dispatch kikosi maalumu cha JWTZ waende wakafyeke hawa magaidi??
 
Ndio maana trump kapiga marufuku radical islamists kuingia US
 
Huwa najilizaga maswalihaya. Hao al shabab wananguvu kiasigani?,
Kwanini hawafuatwi hukokwenye chimbolao?,

Nani anawahudumia chakula, silaha, na mafunzio, yani wamejificha wapi hasa pasipo julikana.

Lazima kuna kituhapa ambacho hatukijui.
BIASHARA. Ni kipato kwa wengine.
 
Kwa nn amiri jeshi mkuu asi dispatch kikosi maalumu cha JWTZ waende wakafyeke hawa magaidi??
JWTZ haina experience kupigana Na magaidi, watanzania wengi Sana wamejiunga Na alshabaab, siku mkiamua kuingia Somalia mashambulizi ya kwanza yataanza ndania ya tz yenyewe.... Afadhali uliize kwanini mataifa Kama aljeria Na misri hazimo ndani ya Somalia
 
hawa wakenya wa ajabu sana kama ni style ile ile watu wanalipua lango wanaingia ndani wao wanakua wapi? ina maana hajajifunza hii ni mara ya 3 sasa dizain ile ile? hawakuchukua hatua ktk izo kambi zingine kujua wanaweza vamiwa kwa style hii? alafu inaonekana intelligence ni ndogo sana watu hadi wanajikusanya wamelala tu fo fo fo kama mapono acha yakungutwe tu wanajeshi gani hawa very incompetence 3 times mnavamiwa na watu wana ak 47 na wana over run base!
Mkuu, hatuwezi kuwalaumu Wakenya. Hawa magaidi walikuja na lori lililokuwa limejazwa mabomu na walikuwa WENGI sana kila upande. Walilipua lori lao wakajiua ndo magaidi wengine wakafanya uovu huo.
Si intelijensia mbaya, bali vita vya kuvizia ni tofauti na vita vya kawaida!
Pengine wazo zuri.
Wakenya watoke tu kama walivyojitoa Sudani ya Kusini.
Ili Wasomali wenyewe kwa kuwa hawataki AMANI, waachwe WAMALIZANE,maana Hawajui umuhimu wa AMANI.
 
Back
Top Bottom