Al Shabaab katika mafunzo na mahafali yao huko Somalia

Sio alqaida peke yake.
Makundi mengi ya kigaidi mwanzilishi na msamimiizi wake ni Marekani hilo wala halina ubishi.
Hivi vikundi vya kigaidi mnavyodai vinaanzishwa na wamarekani ni kwa nini viundwe na waumini wa dini ya kiislamu tu na kwa nini hao waislamu wakubali kutumika kutimiza malengo ya makafiri???

Kwa nini hivi vikundi visiundwe na waumini wa dini ya kikristo pia...?? Na, kwa nini hivi vikundi hao wamarekani wakishaviunda walengwa au wahanga wa vitendo vyao vya kigaidi wawe hao hao wamarekani ambao ndio wafadhili wao.....????? Tupeni majibu ma-ustadhi.
 
Mkuu hebu soma hii kwanza kutoka kwa mamber anaitwa @mgony halafu usiporidhika nikushushie darasa lingine toka kwa habibu B Hanga maarufu kama (The bold)

MFAHAMU DOUBLE AGENT WA CIA NA EIJ

Ali Abdoul Saoud Mohamed alikuwa double
agent wa CIA na EIJ( Egyptian islamic jihad)
ambayo ndio ilipelekea kuundwa kwa ALQAEDA
huku yeye akiwa mwendesha mafunzo wa mbinu
za kivita na kijasusi wa kwanza kwenye kambi
zao kwa ajili ya kuwaandaa na mapambano dhidi
ya utawala wa kisovieti nchini Afghanistan
miaka ya 90. yeye ndiye mwalimu wa kwanza
wa Osama bin Laden na Ayman Zawahiri
( kiongozi wa sasa wa Alqaeda)
Ali anaelezwa kuwa mtu mwenye uzito wa kilo
90, urefu futi 6 huku akielezwa mtu aliye fiti
kimwili, aliyebobea kwenye sanaa za mapigano
( martial art),mwenye ufahasa mzuri wa lugha
za kiingereza,kifaransa,kiyunani na kiarabu.
alikuwa mwenye nidhamu ya juu, mwenye
uwezo mkubwa wa kufikiri, mwenye
kujichanganya na watu na uwezo wa kupata
marafiki kwa urahisi.
Ali alikuwa Major katika kitengo cha ujasusi
katika jeshi la misri kabla ya kuachishwa kazi
mwaka 1984 kwa tuhuma za kusika katika
harakati za udini dhidi ya utawala wa Anwar
Saadat wa misri, harakati zilizopelekea kuuawa
kwa Saadat
Uhusiano wake na CIA
Kwa mara ya kwanza aliingia marekani kama
mkalimani wa Ayman Zawahiri( kiongozi wa
sasa wa alqaeda) wakati alipoenda kuchangisha
michango kusaidia wana mgambo katika
harakati za kuutoa utawala wa wasovieti
Aghanistan.kwa maelezo inasemekana Zawahiri
alimshauri ajioenyeze katika mifumo na vyombo
vya Marekani, mwaka 1984. Ali anaelezwa
aliweza kuingia kwenya kituo cha CIA
Cairo,Egypt kwa urahisi na kuweza kuongea na
mkuu wa kituo kuhusu ofa yake ya kufanya nao
kazi.hatimae akawa recruited kama junior
intelligence officer. kazi ya kwanza aliyopewa ni
kupenya ndani ya msikiti mmoja mjini hamburg
ujerumani uliosemekana kuwa na mahusiano na
wanamgambo wa Hizbollah wa nchini Lebanon
lakini cha ajabu akawataarifu viongozi wa
msikiti kuwa yeye ni jasusi wa CIA na
ametumwa kuchukua taarifa, kwa kuwa katika
ule mkusanyiko alikuwepo jasusi mwingine wa
CIA, taarifa juu ya alichokifanya Ali zikawafikia
mabosi CIA. Kwa mujibu wa mwandishi maarufu
wa jarida la New Yorkers na mshirika wa kituo
cha sheria na usalama New York University of
Law bwana Lawrence Wright ni kwamba
ulitumwa ujumbe wa kimawasiliano kutoka CIA
ukitaarifu kuwa Ali sio mtiifu tena na
ameshadhibitiwa, lakini mda huo taarifa
inatumwa tayari Ali Mohamed alikuwa mjini
Carlifonia kushiriki program maalum ya
kuwapatia ruhusa ya kuingia marekani bila kuwa
na visa kwa 'Valuable assets' waliolifanyia taifa
la Marekani utumishi wa hali ya juu, program
ambayo yenyewe pia ilikuwa ikifadhiliwa na CIA.
Ali akafanikiwa kuoa mmarekani Linda Sanchez
na baadae kidogo akachukuliwa kwenye special
forces na akapangwa katika kambi kubwa ya
Fort bragg kama drill commander( sijui kwa
kiswahili wanaitwaje, yani wale ambao
wanawapokea makuruta na kuwafundisha
maisha ya jeshini, taratibu na nidhamu) pia
alishawishiwa na CIA kusomea masomo ya dini
ya kiislamu ili akafundishe mashariki ya kati
Mnamo mwaka 1988 Ali aliwataarifu wakuu
wake jeshini kuwa anachukua likizo fupi kwa
ajili ya kwenda nchini Afghanistan kupambana
na wasovieti( huko ndio akawa anatoa mafunzo
kwa wanamgambo waanzilishi wa Alqaeda).
Huku nyuma afisa mwandamizi wa Ali, Lt. Col
Robert Anderson aliandika ripoti ya kina ikilenga
kutaka idara ya ujasusi ya jeshi kumchunguza
Ali na kumfungulia mashtaka lakini taarifa yake
hiyo ilipuuzwa. anaeleza kuwa '' Kuwa na
mwanajeshi mmisri, aliyehusika na mauji ya rais
wa zamani wa misri Saadat, alafu akapata visa
ya kuja kuishi marekani na kuchukuliwa kwenye
vikosi maalum vya jeshi(special forces)
inashangaza, haya mambo hayatokei tu hivi hivi"
anaendelea kueleza kuwa ilikuwa ni vigumu
kuamini kuwa mwanajeshi wa kawaida wa
Marekani kupigana vita katika jeshi la nje bila
kuadhibiwa. akaendelea kusema anaamini
atakuwa anafadhiliwa na shirika la kijasusi la
kimarekani.
Ali aliendelea kutoa mafunzo kwa wana mgambo
wa kiislamu wa Maktab al-Khidamat
(iliyoanzishwa na Abdullah Azzam ambayo
baadae alijiunga Osama, wakagombana hatimae
Osama akaigeuza kuwa ALQAEDA baada ya ku-
win popularity over Azzam)nchini marekani
kupitia Kambi ya Al Kifah iliyokuwepo mjini
brooklyn iliyokuwa akisapotiwa na Marekani kwa
ajili ya kuwawaezesha kuutoa utawala wa
kisovieti nchini Afghanistan
Miaka ya 90 akarudi tena Afghanistan ambako
alitoa mafunzo ya kijasusi ikiwemo, kuteka watu,
kuteka ndege, jinsi ya kuua n.k na inasemekana
katika wanafunzi wake wa kwanza kabisa ni
Osama bin laden, Ayman Zawahiri(kiongaozi wa
sasa wa Alqaeda) na viongozi wengine wa
Alqaeda kwa mujibu wa FBI special agent Jack
Cloonan
Mwaka 1993 akiwa ndani ya Alqaeda akawa
informant wa FBI, na mmoja wa wapigaji wa
ALQAEDA Mohamed Atyf aliyepewa jukumu la
kufanya survey katika ubalozi wa marekani
nchini kenya(uliolipuliwa mwaka 1998) alikataa
kumtajia Ali passport namba yake kwa kuwa
alikuwa na mashaka kuwa Ali alikuwa ni
mshirika wa Marekani
Wiki mbili baada ya balozi za marekani nchini
Kenya na Tanzania kulipuliwa, FBI walisachi
makao ya Ali na kukuta nyaraka mbalimbali
zenye ushahidi juu ya kuhusika kwa na milipuko
nchini Kenya na Tanzania na akakamatwa. Ali
alikubali makosa ya kigaidi na akaeleza mwanzo
mwisho kuhusu ushiriki wake katika kundi la Al
qaeda, akakiri makosa ili apate kifungo cha
maisha jela bila msamaha wowote ule
Mwaka 2001 gazeti la Raleigh News and
Observer lilitaarifu kuwa Ali anatoa ushirikiano
kwa serikali ya marekani, anaeleza kamanda
mstaafu wa Delta force katika kitabu chake cha
The Mission,The Men and Me:Lessons from
former Delta Force Commander,bwana Peter
Blaber ''Mawakili wa utetezi wanaamini kuwa Ali
hajahukumiwa na anasirikiana na serikali japo
serikali haijathibitisha hilo,akihukumiwa anaweza
akahukumia kifungo kidogo, kama miaka 25 kwa
mujibu wa makubaliano yao"
Mwaka 2006, mke wa Ali Linda Sanchez alisema
kuwa mumewe bado hajahukumiwa na
haruhusiwi kuzungumza na yeyote.
"wamemshikilia kwa usiri mkubwa, ni kama vile
amepotelea kwenye hewa" alieleza Mke Ali
 
Organization and leadership

Al-Shabaab's composition is multiethnic, with its leadership positions mainly occupied by Afghanistan and Iraq -trained ethnic Somalis and foreigners. According to the National Counterterrorism Center the group's rank-and-file members hail from disparate local groups, sometimes recruited by force. Unlike most of the organization's top leaders, its foot soldiers are primarily concerned with nationalist and clan-related affairs as opposed to the global jihad. They are also prone to infighting and shifting alliances. According to the Jamestown Foundation, al-Shabaab seeks to exploit these vulnerabilities by manipulating clan networks in order to retain power. The group itself is likewise not entirely immune to local politics. More recently, Muslim converts from neighboring countries have been conscripted, typically to do undesirable or difficult work.

Although al-Shabaab's leadership ultimately falls upon al-Qaeda leader Ayman-Al-Zawahir, the internal leadership is not fully clear, and with foreign fighters trickling out of the country, its structure is increasingly decentralized. Ahmed Abdi Godane was publicly named as emir of al-Shabaab in December 2007. In August 2011, Godane was heavily criticized by al-Shabaab cofounder Hassan Dahir Aweys and others for not letting aid into the hunger-stricken parts of southern Somalia. Although not formally announced, Shabaab was effectively split up into a "foreign legion," led by Godane, and a coalition of factions forming a "national legion" under Aweys. The latter group often refused to take orders from Godane and the two groups hardly talked to each other. In February 2012, Godane made Bay’ah, or an oath of allegiance, to al-Qaeda. With it, he likely hoped to reclaim and extend his authority and to encourage foreign fighters to stay. This move will further complicate the cooperation with the "national legion" of al-Shabaab. Godane was killed in a U.S. drone strike in Somalia on September 1, 2014. Ahmad Umar was named Godane's successor on 6 September 2014, he is believed to have previously played a role in al-Shabaab's internal secret service known as Amniya.

CONTINUES
 
Kuna maswali nimekuuliza lkn hujayajibu.
 
Very completed haya mambo! Kwani maranyingi kila upande huvutia kwake
 
Lengo lao kubwa western ni kuichafua dini yetu ya ki islam ili upplotezee wafwasi na watu waione dini mbaya wala haina maana ili waokope kujiunga nayo(conspiracy)ila tusha wagunduaa sisi kama wa islam ndo mana hawatubabaish ila al-shabab naonaga wapo sahihi ALLAH ndie mjuzi zaidi
 
Jiulize kitu hv alshabab wanapata Wap silaha? Magari? Na je katika dini mtu anaruhusiwa kujiua na wengi ikiwemo watoto? Kama wafanyavyo alshabab?
Ci alshabab, si alqaidah Wala isis wote wanatumika kuichafua si tu dini Bali uislam na waislamu.
Hv aliyekukosea unamchinja?
Binadamu amekwa mbuzi ama kuku kwenye nyuso za alshabab..
Kama dini wasomali 99% Ni waislam lkn kutwa wanaouawa Ni muslims..unajua Kwanini? Bila shaka Kuna lengo kubwa nyuma ya wakubwa,, political power..
Na kwa hakika laana ya mungu iwaendee wote alshabab na ISIS pamoja na wenzao duniani kote.
 
BEWARE OF EXTREMISM

Leaders:

1. Ahmad Umar (Abu Ubaidah) (2014–)

2. Mukhtar Al-Zubeyr “Godane" (2007–2014)– Somali sub-clan of northern Isaaq clan (killed in U.S. drone strike in 2014)

Other leaders:

1. Mukhtar Robow "Abu Mansoor “– Second Deputy Leader and regional commander in charge of Bay and Bakool. (surrendered to Somali forces in 2017.)

2. Fuad Mohammed Khalaf "Shangole" – third-most important leader after "Abu Mansoor" In charge of public affairs. (Awrtabe sub-clan of Darod)

3. Hassan Dahir Aweys– spiritual leader (surrendered to Federal Government in 2013.)

4. Hussein Al Fidow– political chief and Wasiir (Prime Minister)

5. Ali Mohamud Raghe "Dheere" a.k.a. Sheik Mohamud Ali Rage a.k.a. Sheikh Ali Dhere – current Deputy Amir. He is from Hawiye Murusade clan. Official spokesman. (Not to be confused with the Sheikh Ali Dhere who established the first Islamic court
in Mogadishu in 1996).


6. Aden Hashi Farah "Ayro" – central Hawiye clan (killed in U.S. airstrike in 2008.)

7. Ibrahim Haji Jama Mee'aad "al-Afghani" (Abubakar al-Seyli'i) – He was Governor of the Kisimayo administration (killed by Godane loyalists in 2013.)

8. Hassan Yaqub Ali – was official spokesman of the Kisimayo administration but currently he is Waali (governor) of Gal-Mudug (Rahanwayn clan)

9. Abdirahman Hassan Hussein – leader (Governor) of the Middle Shabelle region

10. Hassan Abdullah Hersi "al-Turki" – leader of the Ras Kamboni Brigades, which controls the Juba Valley and was first part of Hizbul Islam but merged with al-Shabaab in 2010. (Ogaden sub-clan of Darod) (Died of natural causes in 2014.)

11. Mohamed Said Atom – faction leader and arms dealer who in July 2010 announced allegiance to al-Shabaab and the al-Shabaab commander in Puntland. (surrendered to Federal Government in 2014.)

12. Mukhtar Abu-Muslim – head of fatwas, from Rahanweyn clan.

13. Abdulahi Haji "Daud" – head of assassinations, from Hawiye clan of Murursade sub-clan.

14. Sahal Isku Dhuuq– head of kidnappings of aid workers for ransom, from Dir clan of Bimaal sub-clan.

15. Hassan Afrah, – head of relationship with pirates, from Hawiye clan of Saleban sub-clan.

16. Dahir Gamaey "Abdi Al-Haq] – judge of al-Shabaab, from Hawiye clan of Duduble sub-clan.

17. Tahliil Abdishakur – head of the elite Al-Amniyat assassination unit (killed in U.S. drone strike in 2014).

18. Yusuf Dheeq – chief of external operations and planning for intelligence and security (killed in U.S. drone strike in 2015).

19. Aden Garaar – head of external operations of al-Shabaab; reportedly orchestrated the 2013 Westgate shopping mall attack in Nairobi (killed in U.S. drone strike in 2015).

20. Mohamed Musa – Gedo province commander (killed in skirmish with Somali army in 2015).

21. Sheikh Abdiasis Abu Musab - Military operations spokesman.



Foreign leaders and members:

1. Fazul Abdullah Mohammed: Mohammed, a Kenyan national, was appointed by Osama bin Laden as Al-Qaeda's leader in East Africa in late 2009. Before the death of Saleh Ali Saleh Nabhan, Mohammed served as the military operations chief for Al-Qaeda in the region. He was an experienced militant commander who was known to be able to cross national borders with ease. In August 2008, he eluded a police dragnet in Kenya. Mohammed had been hiding in Somalia with Shabaab and the Islamic Courts for years. Mohammed was considered al-Shabaab's military leader, while Muktar Abdelrahman Abu Zubeyr was al-Shabaab's spiritual leader. He was killed on June 8, 2011.

2. Jehad Serwan Mostafa (alias "Ahmed Gurey", "Anwar al-Amriki" and "Emir Anwar"): a US-born senior al-Shabaab commander. In charge of various functions for the militant group, including serving as a leader for foreign fighters within the organization as well as training insurgents. Fluent in English, Somali and Arabic, he is also a media specialist.

3. Shaykh Muhammad Abu Fa'id: Fai'd, a Saudi citizen, serves as a top financier and a "manager" for Shabaab.

4. Abu Musa Mombasa: Mombasa, a Pakistani citizen, serves as Shabaab's chief of security and training.

5 Abu Mansoor Al-Amriki: Amriki, whose real name was Omar Hammami, was a U.S. citizen who converted to Islam and traveled to Somalia in 2006. Once in Somalia, he quickly rose through the ranks. He served as a military commander, recruiter, financier, and propagandist. Amriki appeared in several al-Shabaab propaganda tapes. He became a primary recruiter for al-Shabaab; issued written statements on their behalf and appeared in its propaganda videos and audio recordings. An indictment unsealed in August 2010 charged him with providing material support to terrorists. In January 2013, Amriki was ousted from al-Shabaab because it felt he had joined in a "narcissistic pursuit of fame". He then publicly voiced ideological differences with the group via YouTube and Twitter, asserting that local militant leaders were only concerned with fighting in Somalia and not globally. He was assassinated by the insurgents in September 2013. He was removed from the FBI's Most Wanted Terrorists list in November 2013. He was removed from the US State Department's Rewards for Justice list in January 2014.

6. Abdulkadir Mohamed Abdulkadir ("Ikrima"): a Kenya-born Somali al-Shabaab commander alleged by the Kenyan government to have planned several attacks in the country, including a plot to target the UN's bureau in Nairobi, the Kenyan parliamentary building, and an Ethiopian restaurant patronized by Somali government representatives. According to US officials, Abdulkadir was also a close associate of the late Al-Qaeda operatives Harun Fazul and Saleh Nabhan.

7. Mahmud Mujajir: Mujajir, a Sudanese citizen, is Shabaab’s chief of recruitment for suicide bombers.

8. Samantha Lewthwaite: Allegedly an al-Shabaab member, she is believed to have been behind an attack on a sports bar in Mombasa in 2012. Widow of 7/7 suicide bomber Germaine Lindsay.Born in 1983 in Northern Ireland and known as a white widow,

9. Issa Osman Issa: Issa serves as a top al-Qaeda recruiter and military strategist for Shabaab. Before joining, he participated in the simultaneous attacks on the U.S. embassies in Nairobi and Dar es Salaam in 1998. He has been described as a central player in the simultaneous attacks on the Paradise Hotel in Kikambala, Kenya, in 2002, and the attempt that year to down an Israeli airliner in Mombasa.

10 .Mohamed Mohamud, also known as Sheikh Dulayadayn, Gamadhere, or Mohamed Kuno, a Kenyan citizen of Somali origin who served as a commander of al-Shabaab operations in Kenya. Named by the Kenyan government as the mastermind behind the Garissa University College attack. He was killed alongside 16 other militants in an overnight raid by Somali forces on June 1, 2016.
 
Ngoja nijaribu kujibu swali lako kwa kutumia mfano ya South Africa. Kwenye jitihada zake ya kumng'oa Thabo Mbeki, Jacob Zuma alimtumia Julius Malema, ambaye aliendeleza vituko dhidi ya Mbeki, na hatimaye kumfanya ajiuzulu. Baada ya Zuma kuingia madarakani, Malema hakutosheka na alichopewa na akaanzisha chama chake iliyoleta upinzani dhidi ya Zuma na mpaka Zuma naye alilazimika kuondoka madarakani!
Mambo ni hivi hivi pale mashariki ya kati! Marekani na washirika ni Zuma, viongozi wa vikundi vya magaidi ni Malema na akina Gaddafi, Assad nk ni Mbeki!!!
 
Uongo mtupu. Dollar elfu arubaini vijana elfu Tatu si iliisha kwa mlo mmoja tu wa mchana?!
 
Lete ukwel wako ww wangu ndio huo pia sipo hapa kulazimisha mkubali ila uislamu utatawala tena dunia mtakemsitake
Uongo mtupu. Dollar elfu arubaini vijana elfu Tatu si iliisha kwa mlo mmoja tu wa mchana?!
 
Hujajibu ila unapiga porojo tu, kwa nini hao magaidi target kuu ya ugaidi wao ni Marekani huyo huyo wakati ndio mfadhili wao..???
 
Lete ukwel wako ww wangu ndio huo pia sipo hapa kulazimisha mkubali ila uislamu utatawala tena dunia mtakemsitake
Itatawala kivipi kwani kila nchi haitakuwa na serikali yake? Wakati sisi hapa Tz tunaambiwa ccm itatawala milele.. So which is which au ndio viroba vinafanya kazi hivyo.
 
Hujajibu ila unapiga porojo tu, kwa nini hao magaidi target kuu ya ugaidi wao ni Marekani huyo huyo wakati ndio mfadhili wao..???

Zuma pia alikuwa mfadhili wa Malema na alimjenga kwa kumpa kila kitu ili amwangushe Mbeki. Lakini baada ya kupata mamlaka, Zuma akaanza kumkwaza Malema na ndipo akaanza kumshambulia Zuma! Marekani pia inawafadhili magaidi kufikia malengo zao, lakini baada ya kutimiza malengo, wanawatelekeza hawa magaidi na ndio maana wanamgeukia na kumshambulia Marekani.

Hii unayoita porojo ni analogical arguments! I feel so stupid that I wasted it on you!
 
Maoni yako ni sahihi kwa mtazamo wa alshabaab lakini sio kwa mtazamo wa kiislamu
 
Nilisema na nitasema aliyeanzisha al aqida si Osama wala marekani al aqida umeanzishwa na sheikh al zarqawi RahimahuLlaah huko afighanstan
Al aqiida inaweza kuwa hivyo. Ila al qaaida imeanzishwa na Osama kwa ufadhili wa mabeberu.
Jifunze kutofautisha matamshi ya kiarabu. Ukikosea kidogo,hubadili sana maana
 
I can see you struggling to defend the terror and its perpetrators at any cost. With that strategy, you will deceive very few, if any.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…