Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Kwa unavyoona wewe huu uislamu ulivyo sasa ni wa kupata msaada kutoka kwa muumba katika vita?ni miaka mingapi toka hivyo vita vianze kupiganwa hadi leo na hakuna hata dalili ya ushindi. Hivi kweli utasema Muumba yupo upande wa waislamu katika hivyo vita? Cheki hali ya uislamu ilivyo sasa hata hiyo kufunga ramadhani tu siku hizi imekuwa mtihani kwa waislamu mwaka hadi mwaka idadi ya watu kutofunga inaongezeka hilo la kutokuswali ndio kabisaa halizungumziki,sasa kweli kwa uislamu huu ndio wa kupigana vita na makafiri na kutegemea ushindi wa kutoka kwa Mungu?Sisi hatupigani kwa nguvu zetu tunamtegemea muumba tu hitoria inaonyesha uislamu ulipigana na dola kubwa na zenye nguvu na waislam wakashida kwahy ni muda tu ukifika neno litatimia ilikwepo dola ya rumi na ikasambaratishwa dadeki, enyi ahlul sunna popote mulipo shikamaneni katika jama'aa hakika ahadi ya allah ni yakwel, wala msifarakane enyi maikhwah
Kama mmeshindwa kuunyoosha uislamu wenyewe ukasimama barabara,hivi vita mnavyopigana ni vya nini? hakika bila kuwa na nguvu na masilaha kama yao hakuna ushindi hapo utakao patikana.