Al Shabaab katika mafunzo na mahafali yao huko Somalia

Al Shabaab katika mafunzo na mahafali yao huko Somalia

I can see you struggling to defend the terror and its perpetrators at any cost. With that strategy, you will deceive very few, if any.

"Struggling to defend terror and its perpetrators at any cost!!!!" - read my earlier posts in this very thread to see if I'm defending terror! I used analogy to make difficult issue simple, but it has been a total waste of time!!!! I'll be ignoring you from here on!
 
It's worth it.
 
Na kule sri Lanka walihusika ISIS et........magaidi wanaotumia kivuli cha dini kuficha ubaya wao huwa siwaelewi kamwe.....
 
Kiukweli hawa Vijana wa Kiume ndio wanaotekeleza kwa usahihi misingi ya Dini.
Ona jinsi wanavyothamini umuhimu wa Swala, hadi wanahamasisha wanaojisahau kwaenda kuswali.
Ona wanavyokagua huduma za jamii kwa umakini, tena kwa upole kabisa.
Kutokana na kuwa na msimamo thabiti wa Dini yao, wanatakiwa waishi katika nchi yao ya pakee yao.
Kwani hawawezi kistahimili kuheshimu utamadauni mwingine wa maisha, wako na msisitizo mkubwa wa kufuata yale tu Dini yao inataka kufanya kwa muda wote.
Na hawataki dhihaka au upinzani wowote ule, katika taratibu zao za mwongozo wao, la sivyo wanaadhibu vikali bila kuuliza uliza.
Kwa maoni yangu, kutokana na mwongozo wao, hawa Vijana wako sahihi kabisa.
-Mwizi na akatwe mkono
-Mzinzi na apigwe mawe
-Anayedhihaki Dini na achinjwe
-Kafiri na aitwe Kafiri
Hakuna unafki hapo, Jamaa wako vizuri kabisa na Sharia yao.
Hiyo dunia azisha ww na Allah wako inavyoonekana ww ni miongoni mwa magaidi wanaojilipua kwa mgongo wa dini
 
kimsboy naona anajibu kwa hisia zake binafsi zaidi na sio kwa uhalisia wa ujumla wa mada husika.
Ni kwamba amekosea.
Kinadhalia hii hali inatokana na msuguano wa kitamaduni.
Al-Shababu ni Jamii yenye kufuata taratibu fulani za maisha yanayo wapendeza wao wenyewe.
Hivyo ni haki yao ya msingi kabisa ya kila jamii kuthamini utamaduni wao wa maisha.
Sasa inapotokea kuingiliwa na taratibu za jamii nyingine, ni lazima kuwe na uhiari wa makubalino kati ya pande mbili zinazokutana.
Kama ni kila jamii ifuate taratibu zake za kimaisha au kuwa na mwingiliano katika taratibu fulani kati yao.
Inapotokea jamii moja kuilazimisha jamii nyingine kiuufuata utamaduni mwingine kwakuwa tu jamii hiyo ina nguvu au uungwaji mkono kwa uwingi, basi hapo mgogoro unaanza kutokea.
Na madhara ya mgogoro wa aina hii matokeo yake ndio haya tunayoyaona yakifanyika na wanamgambo wa Al-Shabaab, Al-Qaida nk.
Ukiwaangalia Al-Shabaab wakiwa katika jamii yao unawaona hawana madhara Kabisa. Wanashirikiana na Jamii yao kujenga uchumi bila shida yoyote ile.
Hapo ndipo linapokuja Somo la

" Umuhimu wa Kuheshimu Tamaduni za Wengine "

Ni Somo refu kidogo, mtu anaweza kuanza na maandishi ya msomi mmoja namkumbuka kwa jina moja tu, anaitwa ndugu, Huntington.
Katika kitabu chake kinachoitwa
" The Clash of Civilization "

Kwako kokontiko
Mkuu kwani Somalia utamaduni wao uislam au kujilipua mm naamini uislam sio utamaduni wao ni utamaduni wa saud arabia na waarab wenzao
 
Allah akuongoze katika haqq ni wachache sana wenye uelewa kama wako, umeandika kwa usahihi kabisaaaa nitamalizia kwa misemo miwili ya Waja wema wa kwanza ina imam shafii RahimahuLlaah alisema muamini allah tabaraka halafu kua na msimamo wa kule unachokiamini usiyumbe, wapili ni swahaba Ali bin abdultwalib alisema ukitaka kujua kundi gani lipo sawa basi angalieni mishale ya maadui inaelekea kwa wingi wapi. Allahmdulilah na leo twaona mataifa yamekusanyana kuizima nuru ya uislamu ila waislam wamelala hawajitambui kabisa sasa hao mashabab wametoka kuinusuru dini.
Mtumee magaidi wapo kazini wakiua wasioamini kwa maagizo ya Allah wao mpenda damu za watu
 
Maoni yako ni sahihi kwa mtazamo wa alshabaab lakini sio kwa mtazamo wa kiislamu
Ndio maana kuna Madhehebu katika Dini ya Kiislamu.
Kati ya hayo yako ambayo hayafuati Sharia za Kiislamu, na wanatumia Qurani kama muongozo wao.
Na yako pia Madhehebu yanayopenda kutii na kutekeleza mafundisho yote ya Qurani na Hadithi na Sharia zake kwa usahihi.
Hayo ndiyo yanayo yapendeza makundi ya Kigaidi. Wao na Vijana Mashababi yaani
Al-Shabaab lao moja.
Kuanzisha Himaya ya Kiislamu duniani kote.
Na sio jambo la hiari ni Lazima.
Hakuna Demokrasia hapo,
Ni Kubali au Uchinjwe.
 
BEWARE OF EXTREMISM

Leaders:

1. Ahmad Umar (Abu Ubaidah) (2014–) View attachment 1085947

2. Mukhtar Al-Zubeyr “Godane" (2007–2014)– Somali sub-clan of northern Isaaq clan (killed in U.S. drone strike in 2014)View attachment 1085948

Other leaders:

1. Mukhtar Robow "Abu Mansoor “– Second Deputy Leader and regional commander in charge of Bay and Bakool. (surrendered to Somali forces in 2017.)

2. Fuad Mohammed Khalaf "Shangole" – third-most important leader after "Abu Mansoor" In charge of public affairs. (Awrtabe sub-clan of Darod)

3. Hassan Dahir Aweys– spiritual leader (surrendered to Federal Government in 2013.)

4. Hussein Al Fidow– political chief and Wasiir (Prime Minister)

5. Ali Mohamud Raghe "Dheere" a.k.a. Sheik Mohamud Ali Rage a.k.a. Sheikh Ali Dhere – current Deputy Amir. He is from Hawiye Murusade clan. Official spokesman. (Not to be confused with the Sheikh Ali Dhere who established the first Islamic court
in Mogadishu in 1996).
View attachment 1085941

6. Aden Hashi Farah "Ayro" – central Hawiye clan (killed in U.S. airstrike in 2008.)

7. Ibrahim Haji Jama Mee'aad "al-Afghani" (Abubakar al-Seyli'i) – He was Governor of the Kisimayo administration (killed by Godane loyalists in 2013.)

8. Hassan Yaqub Ali – was official spokesman of the Kisimayo administration but currently he is Waali (governor) of Gal-Mudug (Rahanwayn clan)

9. Abdirahman Hassan Hussein – leader (Governor) of the Middle Shabelle region

10. Hassan Abdullah Hersi "al-Turki" – leader of the Ras Kamboni Brigades, which controls the Juba Valley and was first part of Hizbul Islam but merged with al-Shabaab in 2010. (Ogaden sub-clan of Darod) (Died of natural causes in 2014.)

11. Mohamed Said Atom – faction leader and arms dealer who in July 2010 announced allegiance to al-Shabaab and the al-Shabaab commander in Puntland. (surrendered to Federal Government in 2014.)

12. Mukhtar Abu-Muslim – head of fatwas, from Rahanweyn clan.

13. Abdulahi Haji "Daud" – head of assassinations, from Hawiye clan of Murursade sub-clan.

14. Sahal Isku Dhuuq– head of kidnappings of aid workers for ransom, from Dir clan of Bimaal sub-clan.

15. Hassan Afrah, – head of relationship with pirates, from Hawiye clan of Saleban sub-clan.

16. Dahir Gamaey "Abdi Al-Haq] – judge of al-Shabaab, from Hawiye clan of Duduble sub-clan.

17. Tahliil Abdishakur – head of the elite Al-Amniyat assassination unit (killed in U.S. drone strike in 2014).

18. Yusuf Dheeq – chief of external operations and planning for intelligence and security (killed in U.S. drone strike in 2015).

19. Aden Garaar – head of external operations of al-Shabaab; reportedly orchestrated the 2013 Westgate shopping mall attack in Nairobi (killed in U.S. drone strike in 2015).

20. Mohamed Musa – Gedo province commander (killed in skirmish with Somali army in 2015).

21. Sheikh Abdiasis Abu Musab - Military operations spokesman.

Foreign leaders and members:

1. Fazul Abdullah Mohammed: Mohammed, a Kenyan national, was appointed by Osama bin Laden as Al-Qaeda's leader in East Africa in late 2009. Before the death of Saleh Ali Saleh Nabhan, Mohammed served as the military operations chief for Al-Qaeda in the region. He was an experienced militant commander who was known to be able to cross national borders with ease. In August 2008, he eluded a police dragnet in Kenya. Mohammed had been hiding in Somalia with Shabaab and the Islamic Courts for years. Mohammed was considered al-Shabaab's military leader, while Muktar Abdelrahman Abu Zubeyr was al-Shabaab's spiritual leader. He was killed on June 8, 2011.

2. Jehad Serwan Mostafa (alias "Ahmed Gurey", "Anwar al-Amriki" and "Emir Anwar"): a US-born senior al-Shabaab commander. In charge of various functions for the militant group, including serving as a leader for foreign fighters within the organization as well as training insurgents. Fluent in English, Somali and Arabic, he is also a media specialist.View attachment 1085942

3. Shaykh Muhammad Abu Fa'id: Fai'd, a Saudi citizen, serves as a top financier and a "manager" for Shabaab.

4. Abu Musa Mombasa: Mombasa, a Pakistani citizen, serves as Shabaab's chief of security and training.

5 Abu Mansoor Al-Amriki: Amriki, whose real name was Omar Hammami, was a U.S. citizen who converted to Islam and traveled to Somalia in 2006. Once in Somalia, he quickly rose through the ranks. He served as a military commander, recruiter, financier, and propagandist. Amriki appeared in several al-Shabaab propaganda tapes. He became a primary recruiter for al-Shabaab; issued written statements on their behalf and appeared in its propaganda videos and audio recordings. An indictment unsealed in August 2010 charged him with providing material support to terrorists. In January 2013, Amriki was ousted from al-Shabaab because it felt he had joined in a "narcissistic pursuit of fame". He then publicly voiced ideological differences with the group via YouTube and Twitter, asserting that local militant leaders were only concerned with fighting in Somalia and not globally. He was assassinated by the insurgents in September 2013. He was removed from the FBI's Most Wanted Terrorists list in November 2013. He was removed from the US State Department's Rewards for Justice list in January 2014. View attachment 1085945

6. Abdulkadir Mohamed Abdulkadir ("Ikrima"): a Kenya-born Somali al-Shabaab commander alleged by the Kenyan government to have planned several attacks in the country, including a plot to target the UN's bureau in Nairobi, the Kenyan parliamentary building, and an Ethiopian restaurant patronized by Somali government representatives. According to US officials, Abdulkadir was also a close associate of the late Al-Qaeda operatives Harun Fazul and Saleh Nabhan.

7. Mahmud Mujajir: Mujajir, a Sudanese citizen, is Shabaab’s chief of recruitment for suicide bombers.

8. Samantha Lewthwaite: Allegedly an al-Shabaab member, she is believed to have been behind an attack on a sports bar in Mombasa in 2012. Widow of 7/7 suicide bomber Germaine Lindsay.Born in 1983 in Northern Ireland and known as a white widow,View attachment 1085940

9. Issa Osman Issa: Issa serves as a top al-Qaeda recruiter and military strategist for Shabaab. Before joining, he participated in the simultaneous attacks on the U.S. embassies in Nairobi and Dar es Salaam in 1998. He has been described as a central player in the simultaneous attacks on the Paradise Hotel in Kikambala, Kenya, in 2002, and the attempt that year to down an Israeli airliner in Mombasa.

10 .Mohamed Mohamud, also known as Sheikh Dulayadayn, Gamadhere, or Mohamed Kuno, a Kenyan citizen of Somali origin who served as a commander of al-Shabaab operations in Kenya. Named by the Kenyan government as the mastermind behind the Garissa University College attack. He was killed alongside 16 other militants in an overnight raid by Somali forces on June 1, 2016.View attachment 1085943
Mkuu uzi umetimia
 
Kiukweli hawa Vijana wa Kiume ndio wanaotekeleza kwa usahihi misingi ya Dini.
Ona jinsi wanavyothamini umuhimu wa Swala, hadi wanahamasisha wanaojisahau kwaenda kuswali.
Ona wanavyokagua huduma za jamii kwa umakini, tena kwa upole kabisa.
Kutokana na kuwa na msimamo thabiti wa Dini yao, wanatakiwa waishi katika nchi yao ya pakee yao.
Kwani hawawezi kistahimili kuheshimu utamadauni mwingine wa maisha, wako na msisitizo mkubwa wa kufuata yale tu Dini yao inataka kufanya kwa muda wote.
Na hawataki dhihaka au upinzani wowote ule, katika taratibu zao za mwongozo wao, la sivyo wanaadhibu vikali bila kuuliza uliza.
Kwa maoni yangu, kutokana na mwongozo wao, hawa Vijana wako sahihi kabisa.
-Mwizi na akatwe mkono
-Mzinzi na apigwe mawe
-Anayedhihaki Dini na achinjwe
-Kafiri na aitwe Kafiri
Hakuna unafki hapo, Jamaa wako vizuri kabisa na Sharia yao.
Magaidi wanapotetea magaidi wenzao.
 
wanajeshi wanavaa yeboyebo.....Nguo oversize ...wachafu kwelikweli....wana utindo wa ubongo sio siri
 
wanajeshi wanavaa yeboyebo.....Nguo oversize ...wachafu kwelikweli....wana utindo wa ubongo sio siri
 
Unaposema target yao marekani una maana gani mkuu?
Marekani ndilo taifa pekee linalolengwa na magaidi kuliko taifa lolote, k.m. magaidi wawapambe watu watatu, Mjerumani, Mfaransa na Mmarekani, unafikiri ni yupi atakayeanza kuchinjwa.

Wewe acha longolongo bwana. Ugaidi huja kutokana na kila muislamu anavyoitafsiri Quran. That's the bitter truth. Acheni unafiki kusingizia wengine kwa madhambi yenu.
 
Ugaidi ni neno limetokana na neno kukaidi bimana ni kukataa jambo fulani, hvy kuitwa gaidi si ajabu maana hatutaki mila za kitwaghuti sisi tuna mila zetu ambazo ni mila za Ibrahim ambaye kwa asili naye alikataa mila za wazazi wake mpk wakamchimbia shimo kumchoma moto, Ibrahim alikataa kuabudu masanamu aliyakutaka hekaruni aliyavunja yote kudadeki akaliacha moja kubwa lao wazazi walioorudi wakashangaa kuona miungu yao imevunjwa alipoulizwa Ibrahim alijibu muulizeni huyo mungu wao mkubwa atajua wenziwe wamevunjwa na nan, wazazi wakajib huyu asemi kitu Ibrāhim akajibu kama asemi kwann munamuabudu sanamu,
Conclusion uislamu utahakikisha anaabudiwa mungu mmoja bila kumshirikisha au kumfananisha na kinyago chochote kudadeki. No comments
 
Mkuu yeyote anaweza kuwa gaidi sio waislamu tu ndiyo maana hata Mandela aliwahi kuitwa gaidi kutokana na vitendo alivyokuwa anatanya wakati huo,sasa kama utasema marekani kuwa target ya hivyo vikundi ndio hufanya marekani hahusiki na hivyo vikundi basi pia hata waislamu wakati mwengine huwa target yao hao magaidi na ndiyo maana tunaona wanabutua mabomu hadi misikitini na kuuwa waislamu,je hiyo pia inafanya tuone hawa magaidi sio waislamu kwa sababu wanabutua mabomu hadi misikitini na kuuwa waislamu?
 
Waislamu wana silaha gani au nguvu za kuweza kufanikisha hayo unayoyafikiria ukilinganisha na hao makafiri?
 
Allah akuongoze katika haqq ni wachache sana wenye uelewa kama wako, umeandika kwa usahihi kabisaaaa nitamalizia kwa misemo miwili ya Waja wema wa kwanza ina imam shafii RahimahuLlaah alisema muamini allah tabaraka halafu kua na msimamo wa kule unachokiamini usiyumbe, wapili ni swahaba Ali bin abdultwalib alisema ukitaka kujua kundi gani lipo sawa basi angalieni mishale ya maadui inaelekea kwa wingi wapi. Allahmdulilah na leo twaona mataifa yamekusanyana kuizima nuru ya uislamu ila waislam wamelala hawajitambui kabisa sasa hao mashabab wametoka kuinusuru dini.
Nyie watu mnamatatizo sana..Elimi...Elimu...Elimu!
 
Sisi hatupigani kwa nguvu zetu tunamtegemea muumba tu hitoria inaonyesha uislamu ulipigana na dola kubwa na zenye nguvu na waislam wakashida kwahy ni muda tu ukifika neno litatimia ilikwepo dola ya rumi na ikasambaratishwa dadeki, enyi ahlul sunna popote mulipo shikamaneni katika jama'aa hakika ahadi ya allah ni yakwel, wala msifarakane enyi maikhwah
Waislamu wana silaha gani au nguvu za kuweza kufanikisha hayo unayoyafikiria ukilinganisha na hao makafiri?
 
Mkuu yeyote anaweza kuwa gaidi sio waislamu tu ndiyo maana hata Mandela aliwahi kuitwa gaidi kutokana na vitendo alivyokuwa anatanya wakati huo,sasa kama utasema marekani kuwa target ya hivyo vikundi ndio hufanya marekani hahusiki na hivyo vikundi basi pia hata waislamu wakati mwengine huwa target yao hao magaidi na ndiyo maana tunaona wanabutua mabomu hadi misikitini na kuuwa waislamu,je hiyo pia inafanya tuone hawa magaidi sio waislamu kwa sababu wanabutua mabomu hadi misikitini na kuuwa waislamu?
Listen bwana, magaidi au Islamist Terrorists wanaweza wakaulipua msikiti wowote ambao, kwa mtizamo wao, wanaona mafundisho yake haishabihiani na ya kwao hivyo msikiti kama huo kwao huwa ni "The legitimate target of attack".

Uliona hata kwenye Rwandan Genocide of 1994, wale Hutu Extremists waliwaua hata wahutu wenzao "Moderates" ambao hawakuafiki vitendo vyao.

Hivyo leo huwezi ukaniambia Marekani ameanzisha, say Al Qaeda, ISIS, Al Nusra Front, Al Shabab, Taliban nk, ili waje wawaue hao hao wafadhili wao. Hii hata mtoto wa chekechea atakataa.

Ebu jaribuni ku-concoct theory nyingine inayoweza angalau kushawishi, because this one has completely failed to convince let alone to exonerate Muslims from being the main characters in the perpetration of terror.
 
Back
Top Bottom