Ila nyie sasana havijali maneno ya watu,, kikubwa wanaelewana wao
😅😅😅 sisi na nani tenaIla nyie sasa
Saa 7 mchana 😂😂 hata mimi sijakuelewa😅😅😅 sisi na nani tena
kaandika kwa uchungu😅Saa 7 mchana 😂😂 hata mimi sijakuelewa
😅😅😅 sisi na nani tena
na havijali maneno ya watu,, kikubwa wanaelewana wao
sasa nani kasema mim ni mdada wa mjini yawa🤣😥,, nipo rorya ndani ndani hukuWadada wa mjini
kikubwa aman ipo na wanaelewana
kabisa,, kwanza makeup kafanyiwa na mdogo wake aloenda shule kidogo, hawaja hitaji vikubwaSiku ya harus alaf unakula ugali na maharage.
Na soda.
Shughul imeisha.
Cha muhim ni Upendo na kufanikisha kuwa mke na mume halali.
shule yenyewe sina ndugu yangu😅Unapambana na wajaluo, usiniambie ulisoma na koak girls😁😁
Kumbe ni wajuajiWametoa nembo kwenye soda hawataki kutangaza biashara za watu au Mimi ndo sioni vizuri
ile ya mtoto wa GSM hauja iona eehKuna wale bila million 10 sifany harusi aiseee🙄