Alafu viharusi vingi vya namna hii unakuta mshikaji na manzi yake bado wapo tight miaka 10+

Alafu viharusi vingi vya namna hii unakuta mshikaji na manzi yake bado wapo tight miaka 10+

Dah' aisee.... Ukiwa na Elimu hata ya darasa la kwanza tu' ndoa lazima ikushinde.

Hao watadumu miaka mingi mnoo... Unaona mapambo ni hayo maputo mawili na hawana habari, chini anabuti au rain boots mambo mazuri kabisa.

Jichanganye kawape ushauri uone
 
🤣🤣
 
Yani shida unakuwa unazisikiaga tu kama umbea/story yaani kama taharuki fulani hivi🤦🏽‍♀️, watu wakilia shida unaona kama hawako serious hivi🤔
😂😂 Pesa inakufanya ujione hata ndala za kuogea ni chafu, utaenda kununua gucci sandels uogee kama uongo muulize tajiri win-one 😁
 
Na uzuri wa hizi ndoa hazinaga uzazi wa mpango, kila mwaka mwanamke anapata mimba... Wanakuambia watazaa mpaka mbegu ziishe
Ni kwa sababu ya umaskini. Wanandoa maskini kama hawa hawana pesa za kutosha kula bata nyingine zaidi ya kudinyana ambako hakuna gharama yoyote. Matokeo yake kila mwaka mwanamke anashika mimba.
 
Back
Top Bottom