win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
kama ni tamaa mi nimeshakata ila yenyewe haitaki kuniachaš, kuna siku naamka na mood ya kufocus na kunasiku naamka na mudi ya liwalo na liwe nishachokamwisho wa siku maisha lazima yaendelee
cha muhimu tu ni ku_focus na kutokata tamaa,