johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwanini abadili?Safi sana Chalamila, palilia life lako mkuu...
Una miaka mingine mitano ya kubadili wosia huko mbeleni....
Ikitokea hajafa hadi Samia akimaaliza muda wake, akija mwingine wa dini nyingine attaanza ngonjera mpya.Mkuu wa Mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amesema Ukristo una mambo mazuri ambayo Waislamu wanayaiga kadhalika Uislam una mambo mazuri ambayo Wakristo wanayaiga
Chalamila amesema ameandika Wosia kabisa atakapokufa Azikwe kama Muislamu na si vinginevyo
Chalamila amesema anashangaa kuona Maaskofu wakifa wanazikwa kwenye majeneza ya gharama Kubwa ilhali Yesu Kristo mwenyewe hakuzikwa akiwa ndani ya Jeneza
Wakati wote alipokuwa akizungumza maelfu ya Waislamu waliitikia Takbir Allah Akbar
Source: Mwanahalisi Digital
November 27 ni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 🌹
Kichaa sio lazima aokote makopo.
Ndiyo teuzi za CCMKichaa sio lazima aokote makopo.
Chalamila anatakiwa kuwa Mirembe, Kwani Yesu aliwahi kupanda gari au ndege mbona na yeye anapanda badala ya punda aliyopanda Yesu?Kama ni kweli hii taarifa kwa kweli tunawashukuru waislamu kwa kuupokea huu mzigo
Nilikuwa naona aibu mimi popote pale Alex anapotambulika kama mkristu, nilitamani sana apate Chaka lingine hayawi hayawi sasa yamekuwa
Wachana na Wakenya, unamfaham Jumanne wewe😂Kwanini abadili?
Hata hayati Ogola CDF wa Kenya alikuwa mkristo lakini aliandika Wosia kama huu wa RC Chalamila
Na mbowe ana macho yanaona nyuzi 360Hivi ni kwanini Chalamila ana bichwa kama KITUNGUU MAJI?
Cc: Nyani Ngabu Mbaga Jr Poor Brain Lucas Mwashambwa chiembe ChoiceVariable
Bichwa lako likoje kwanza?Hivi ni kwanini Chalamila ana bichwa kama KITUNGUU MAJI?
Cc: Nyani Ngabu Mbaga Jr Poor Brain Lucas Mwashambwa chiembe ChoiceVariable
Mwenzako yuko kisiasa zaidi, kaangalia upepo unaenda wapi, Mama ni mfuasi wa mudi so na yeye anajifanya anampenda mudi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Atazikwaje kiislmu wakati yeye siyo muislam. Waislmu wana utaratibu wao wa kuzika na unafanywa na waislamu, na kwa walio waislamu atupishe huko.
Hivi unampenda sana Mbowe? Sema nikupe connection mkuu, atakata kiu yako na roho yako itaridhikaNa mbowe ana macho yanaona nyuzi 360
Ngoja tuone nguvu ya Yesu kwenye hiliMkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema anaupenda uislam na akifa ameandika wasia azikwe kiislamu.
Ameyasema hayo hivi karibuni jijini Dar Es salaam.
Video inakuja hivi punde
Kama Bakuli.Bichwa lako likoje kwanza?