Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
toa slave becomes a kingAlbums bora za wakati wote
1.Nitakufaje King crazy GK
2.Machozi lady Lady Jay
3.aka Mimi Albert Mangwea
4.machozi jasho na damu prof jay
5.binamu mwanafa
6.ugari juma Nature
7.J.O.S.E.P.H. prof jay
8.mtoto wa tandale diamond
9.slave become a king
10. mandojo na domokaya
hiyo kitu ndio namba moja mkuu watatoa sana album lakini hawagusi huo motoA. K.A mimi one of the greatest albums
Sikiliza bwana Nikki wa Pili, ile ni album mbovu kwa kipindi hiki cha miaka mitano ya Magufuli, ukweli ni lazima useme ili wakati ujao mtengeneze ngoma nzuri. Album ni mbovu mno, nyimbo zote tuna forward tuUkiona kitu hakijakupendeza ujue hakiko kwa ajili yakok
Tutolee mfano ngoma inayochana mawimbi billboard ni drivers license mchukue mtu wa kawaida muulize ile ngoma ina uzuri gani sidhani kama majibu utayapenda
Haya kuna huyu msanii wanamuita the jmosi na jpili a.k.a the weekend anatrend sana kwa sasa ila tafuta raia umuulize kuhusu the weekend atakwambia hana chochote cha kutisha amini ya kuwa kila shetani na mbuyu wake
Kwangu mimi nnawapongeza weusi kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kutuletea mziki mzuri nimeipakua album nzima kupitia audio mack na mda nikiwa niko na bando kama ngoma inavyodai nnaingia spotify kustream atleast niwape company wanangu wa mabongonyoo daraja bela kwa mamaake nikki mdogo wakee jonii
Ahsante nnawasilisha
G.k, ngwair na ndojo ile ni balaa tupu ... Nikikumbuka wanok noko, nikakumbuka niaje hatupatani ila maisha haya yanaenda kasi sana. Nilikuwa form 2 now nshakuwa mtu mzima.Albums bora za wakati wote
1.Nitakufaje King crazy GK
2.Machozi lady Lady Jay
3.aka Mimi Albert Mangwea
4.machozi jasho na damu prof jay
5.binamu mwanafa
6.ugari juma Nature
7.J.O.S.E.P.H. prof jay
8.mtoto wa tandale diamond
9.slave become a king
10. mandojo na domokaya
Mimi napenda ule alioimba na marioo na nandy... Nyingine siskilizag maana anaimba same style kwenye beat tofautiebu kuwa serious mkuu album ya darassa mbona utumbo mtupu
album nzima anaimba style moja
Kuna mmoja wa weusi yeye kusifu mke kila kitu utazani wake za wengine walikosea kuchagua na degree yake hata wewe unasoma
Hiyo album ya mandojo na domokaya ilikua kali sana.Ulikua unasikiliza nyimbo zote bila hata kuskip.Albums bora za wakati wote
1.Nitakufaje King crazy GK
2.Machozi lady Lady Jay
3.aka Mimi Albert Mangwea
4.machozi jasho na damu prof jay
5.binamu mwanafa
6.ugari juma Nature
7.J.O.S.E.P.H. prof jay
8.mtoto wa tandale diamond
9.slave become a king
10. mandojo na domokaya
Ukiona kitu hakijakupendeza ujue hakiko kwa ajili yakok
Tutolee mfano ngoma inayochana mawimbi billboard ni drivers license mchukue mtu wa kawaida muulize ile ngoma ina uzuri gani sidhani kama majibu utayapenda
Haya kuna huyu msanii wanamuita the jmosi na jpili a.k.a the weekend anatrend sana kwa sasa ila tafuta raia umuulize kuhusu the weekend atakwambia hana chochote cha kutisha amini ya kuwa kila shetani na mbuyu wake
Kwangu mimi nnawapongeza weusi kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kutuletea mziki mzuri nimeipakua album nzima kupitia audio mack na mda nikiwa niko na bando kama ngoma inavyodai nnaingia spotify kustream atleast niwape company wanangu wa mabongonyoo daraja bela kwa mamaake nikki mdogo wakee jonii
Ahsante nnawasilisha
Muongeze Roxette hapo,baadae ntakuambia!!Sophia George
Mill vanilli
Black boxer
Kci n Jojo
Alpha blonde
Nikiwapili [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kuna mmoja wa weusi yeye kusifu mke kila kitu utazani wake za wengine walikosea kuchagua na degree yake hata wewe unasoma
Producer Goncha kawanyongea bonge la beat,wenyewe wameishia kuweka maneno ya hovyo huku nikkwapili akirap kiwaki..
Weusi wanazingua.
Nick wa Pili ??😂😂 Jamaa amezidi promo kwa mkewe