Album "Air Weusi" ya WEUSI ni utopolo, tumepigwa mchana kweupe

Sikiliza bwana Nikki wa Pili, ile ni album mbovu kwa kipindi hiki cha miaka mitano ya Magufuli, ukweli ni lazima useme ili wakati ujao mtengeneze ngoma nzuri. Album ni mbovu mno, nyimbo zote tuna forward tu

Hakika, huyo ni Nikki mwenyewe!
 
mzee the weeknd umeanza kumsikilza lini Hadi useme Sasa hivi ndio anatrend?
Jamaa hajawahi kushuka huyo.
 
Ya Mwana FA haikua inaitwa 'Toleo Lijalo'?
 
Wenzao wanapiga mchele, kimya kimya bila kwere, wana magari tele na majumba kama mbele
 
Umetaja albam kali umeisahau moja tu ya B Love M yenye wimbo wa Nimekuchagua Wewe
 
Hiyo number 9 huwezi kulinganisha album ya Afande ,Watu poli,Solo Thangs,Mwana Fa,Jay Mo na historia ya Juma nature,bado Ferooz yaani hiyo album ya Darasa labda kuanzia 30 huko.
 
Pia album nyingine za kawaida ni ya Barbara, Jide wale hawakuwa serious
 
Mpaka sasa Album zangu bora kutoka mwaka jana mpaka sasa kwa bongo

1.Slave becomes a king -Darassa
2.Slaves becomes a king - Darassa
3.Slaves becimes a king -Darassa
4.Sound of afrika -Rayvanny
5.Afro east -Harmonize
6.Definition of love - Mbosso

Huu sasa ni uongo usio vaa chupi yani Album ya Rayvany hiizidi Album ya Harmonize kweli hahahah
 
Kama humtii wanamtia wengine" Bando" ww unatumia mmoja wenzako wanatumia miwil " Bando' , najisikia kufakufa wapi ufufuo"bando'....hili dude linaitwa penzi LA bando nalikubali sana
 
Kama humtii wanamtia wengine" Bando" ww unatumia mmoja wenzako wanatumia miwil " Bando' , najisikia kufakufa wapi ufufuo"bando'....hili dude linaitwa penzi LA bando nalikubali sana

Utakuwa shabiki wa Hadija Kopa wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…