Album "Air Weusi" ya WEUSI ni utopolo, tumepigwa mchana kweupe

Tutajie wimbo mkali kwenye album nzima, hata beat kali ya Mbupu wameinajisi bila haya!
Kuna vitu vinashangaza kweli kweli wameinajisi kivipi sasa!? yaani jinsi unavyo fikili wewe ndo ulitaka iwe hivyo. Hamna kitu Kama hicho they their best and you should respect that. Nyimbo Kali kwangu Manje Kama unabisha andamana
 
Ongezea
Kima cha chini -Solo Thang

Darubini kali - Afande Sele
 
Kuna vitu vinashangaza kweli kweli wameinajisi kivipi sasa!? yaani jinsi unavyo fikili wewe ndo ulitaka iwe hivyo. Hamna kitu Kama hicho they their best and you should respect that. Nyimbo Kali kwangu Manje Kama unabisha andamana

Najua tuko tofauti, na naheshimu hilo.
 
Hapana Darassa sio Mbahatishaji mkuu...

Mfano kwangu mimi naona hizi ni hits song zake

Kama utanipenda - Darassa ft Rich mavoko
Sikati Tamaa - darassa x ben pol
I like it ft sho madjozi
Muziki ft ben pol
Proud of you ft alikiba

Kwako wewe ni zipi?

Kilichopo hapo ni nyimbo gani unapenda ipi huipendi... so ni mapendeleo ya mtu tu!
 

Toa hio namba tisa, Weka album ya JayMo “Ulimwengu ndo mama”
 
Sikiliza bwana Nikki wa Pili, ile ni album mbovu kwa kipindi hiki cha miaka mitano ya Magufuli, ukweli ni lazima useme ili wakati ujao mtengeneze ngoma nzuri. Album ni mbovu mno, nyimbo zote tuna forward tu
Hahahaahaaaaa daaaaah [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kuna mmoja wa weusi yeye kusifu mke kila kitu utazani wake za wengine walikosea kuchagua na degree yake hata wewe unasoma
Yule ni demu wake,subiri amuoe na wakae nae miaka miwili hutomsikia hizo tambo kama mwenzie mc pilipili
 
Wangetoa mixtape tu maana wana ngoma kali sana
 
bro unaijua Starboy? The hills je, Call out my name je, Can't feel my face, I feel it coming je. Prayers je[emoji2]
Acha hizo mazee

Nielewe the weekend kaanza kuimba siku nyingi tangu 2010 wewe unakuja kunitajia album ya 2016 ndio maana nikakuambia kwa sasa ndio yuko kwenye peak
 
1. Nitakupa nini mama - King Crazy GK
#ECT 4 LIFE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…