Kama kuna anaemuamini Yesu basi elewa hakuna zaidi ya Muislam.Bila kumwamini Yesu ndugu yangu sahau kwa habari ya kwenda mbinguni!! Wewe endelea kuamini katika dini badala ya kujitafuta kweli, bila Yesu ndugu ujue kwamba utaenda motoni
Na Yesu anamuamnini nani?Bila kumwamini Yesu ndugu yangu sahau kwa habari ya kwenda mbinguni!! Wewe endelea kuamini katika dini badala ya kujitafuta kweli, bila Yesu ndugu ujue kwamba utaenda motoni
Namie nataka kusilimu Faiza naomba mwongozoAllahu Akbar.
Uislam hautazami alikuwa nini kabla ya kuwa Muislam, tunaamini toka arudi kwenye Uislam dhambi zake zote kwa Mwenyezi Mungu anamsamehe.Ila tapeli sio wa kumuamini hata kidogo mtapigwa tukio Waislamu.Keshaona mchongo wa pesa soon atalia mwarabu.
ila wao mmoja tu wanaanza uziHalafu Wala haturingi!
Kwani Mungu ndio kaweka dini nyingi au watu watu wenyewe ndio wana uhuru wa kuanzisha dini?Mabishano ya kidini ni ujinga na kipimo cha uelewa mdogo.
Uwepo wa mabishano na utata wa kidini na kiimani kuhusu ukweli na usahihi wa dini(Imani) fulani, unadhihirisha wazi kwamba Mungu hayupo.
Angekuwepo, angeweka dini moja tu ya kumwabudu yeye.
Dini ni za wanadamu na mawazo ya wanadamu na zili anzishwa na binadamu kwa maslahi yao binafsi.Kwani Mungu ndio kaweka dini nyingi au watu watu wenyewe ndio wana uhuru wa kuanzisha dini?
Ma shaa Allah, very simple.Namie nataka kusilimu Faiza naomba mwongozo
Matajiri wengi ni waislamuHuku kwa waislamu hakuna hela,watawapiga vipi.
Unadhani ungemjua Yesu bila dini? ya kikristo ya ulimwengu(katoliki)? Acheni kujidanganya. Dini ni lazima.Bila kumwamini Yesu ndugu yangu sahau kwa habari ya kwenda mbinguni!! Wewe endelea kuamini katika dini badala ya kujitafuta kweli, bila Yesu ndugu ujue kwamba utaenda motoni
We unaugua kichaa ama? eti kila mtu huzaliwa muislamu, wa nyoko? mnajikutaga sana nyie.Sema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwasbb kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
Suala la Mungu yupo au hayupo kwangu hizo ni imani mbili tofauti hakuna mwenye uthibitisho, ila tu uwepo wa dini nyingi sio kigezo cha kusema kuwa ndio kwamba hakuna Mungu.Dini ni za wanadamu na mawazo ya wanadamu na zili anzishwa na binadamu kwa maslahi yao binafsi.
Mungu Hayupo. Mungu ni dhana ya kufikirika isiyo kuwepo.