Alex Massawe abadili dini na kusilimu

Labda ana nia ya kuimarisha mahusiano ya washirika wa biashara yake.Ila hana mpango wowote wa kwenda mbinguni.
 
mashia si mnasema sio waislam.
 
Sema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwasbb kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
Amesema al mustafa habibul adhwam swalallahu alayhi waslam!
 
Rudi katafute Yesu kwa kiarabu anaitwaje ulete mrejesho
Sio kuitwa au kumaanisha but waarabu pamoja wa waislam ambao tunafata Qur'an iliyoteremshwa kwa lugha ya kiarabu tunamtambua au tunamwita issa (a.s).

Mayahudi, wazungu etc wanamtambua kwa jina lingine mbali na unalomtambua wewe kuwa ni Yesu bt mlengwa ni huyo huyo kijan wa mama Mariam
 
Mlengwa sio huyo , Isa ni character alietungwa na Muhammad, tena Muhammad akasema Isa Babu yake ni Imran na mjomba ake ni haruni

Kwenye biblia hatuna mtu kama huyo
 
Sema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwa sababu kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
kwa aina ya maisha anayoishi, yafaa aende tu huko ndiko anastahili kwenda watu wanaoishi kama yeye.
 
Viumbe gani ? maana kuna aina nyingi ya viumbe kama malaika,majini n.k
Muhammad alisema devil (shetani) wake kutoka majini anamshauri mema na ni muislamu,

Muhammad, said, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” They said, “Even you, O Messenger of Allah?” The Prophet said, “Even me, yet Allah helped me against him until he embraced Islam. He does not order me to do anything but good saḥīḥ Muslim 2814
 
Usipanic
Isa babu yake ni Imran na mjomba ake ni haruni

Biblia haina mtu kama huyo
 
Mlengwa sio huyo , Isa ni character alietungwa na Muhammad, tena Muhammad akasema Isa Babu yake ni Imran na mjomba ake ni haruni

Kwenye biblia hatuna mtu kama huyo
Tunaposema ni yeye lichakutajwa kwa majina tofauti tunazingatia ufanano wa matukio muhimu na historia yake kama inavyoelezwa ktk vitabu tofauti vya Mwenyezi Mungu mfano
1.Kuzaliwa kwake pasina mamaake kuguswa au kuingiliwa na mwanaume
2.jina la mama yake
3.baadhi ya miujiza yake aliyokuja nayo etc
 
Kusilimu sio shida.
Namtakia kila la heri Masawe awe Mwislamu.
 
Ivo nikwanini Mkristo akibadili Dini kuwa Muslim inakuwa story kuuuuubwa,wakati Makanisani kila siku waislam wanajoin,leo tu watatu wameingia ila wala siyo story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…