Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema Jambazi maarufu sio mtu maarufu. Watu wa Arusha wasikusikie kabisa. Alex Masawe kaingia uislamu kujisafisha.Alex Massawe, mtu maarufu sana Tanzania, ameamua kusilimu baada ya kuyafahamu mema ya Uislam kupitia kwa mwanawe ambae alikuwa Amesilim kabla yake huko nchini Afrika Kusini.
Allahu Akbar.
View attachment 2695851
View attachment 2695852
Hongera zake.Alex Massawe, mtu maarufu sana Tanzania, ameamua kusilimu baada ya kuyafahamu mema ya Uislam kupitia kwa mwanawe ambae alikuwa Amesilim kabla yake huko nchini Afrika Kusini.
Allahu Akbar.
View attachment 2695851
View attachment 2695852
mashia si mnasema sio waislam.Tafuta imam au ustaadh au sheikh ambae karibu na unakoishi lazima kutakua na masjid basi kaongee nae nia yako yakuhitaji kuslim, kiongozi huyo atakupatia muongozo, thabit na utatimiza azma yako hiyo, mambo ya PM sijui unataka nini zaidi kwake nadhani haitokusaidia laah kama una maswali weka hapa hapa utajibiwa na yeye au waislamu wengine, shia na sunni utachagua shahada yako ilalie wapi
Amesema al mustafa habibul adhwam swalallahu alayhi waslam!Sema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwasbb kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
Lucifer alishasilimishwa na Muhammad, majini nayo mpaka yakaweka na surah ndani ya koranYaani nyi hata Shetani akiwaambia .. nimesilimu mtamsujudia ... Huyo Si yule jambazi au!?
Sijazaliwa kama Muislamu.Sema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwasbb kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
Rudi katafute Yesu kwa kiarabu anaitwaje ulete mrejeshoIssa-arab
Sio kuitwa au kumaanisha but waarabu pamoja wa waislam ambao tunafata Qur'an iliyoteremshwa kwa lugha ya kiarabu tunamtambua au tunamwita issa (a.s).Rudi katafute Yesu kwa kiarabu anaitwaje ulete mrejesho
Mlengwa sio huyo , Isa ni character alietungwa na Muhammad, tena Muhammad akasema Isa Babu yake ni Imran na mjomba ake ni haruniSio kuitwa au kumaanisha but waarabu pamoja wa waislam ambao tunafata Qur'an iliyoteremshwa kwa lugha ya kiarabu tunamtambua au tunamwita issa (a.s)
Mayahudi, wazungu etc wanamtambua kwa jina lingine mbali na unalomtambua wewe kuwa ni Yesu bt mlengwa ni huyo huyo kijan wa mama Mariam
kwa aina ya maisha anayoishi, yafaa aende tu huko ndiko anastahili kwenda watu wanaoishi kama yeye.Sema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwa sababu kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
Muhammad alisema devil (shetani) wake kutoka majini anamshauri mema na ni muislamu,Viumbe gani ? maana kuna aina nyingi ya viumbe kama malaika,majini n.k
Duh...!..Alex Massawe, mtu maarufu sana Tanzania, ameamua kusilimu baada ya kuyafahamu mema ya Uislam kupitia kwa mwanawe ambae alikuwa Amesilim kabla yake huko nchini Afrika Kusini.
Allahu Akbar.
View attachment 2695851
View attachment 2695852
UsipanicTatizo lenu mnapotishwa alafu hamtaki kuujua ukwel kwakuwa mshaminishwa hivyo, hayo usemayo ni uwongo na ni kawaida yenu kuzua uwongo sio jambo la kwanza.
Ushauri wangu ukitaka kujua ukweli wowote kuhusu jambo hilo na lingine lolote kuhusu uislam anaepaswa kuulizwa na kukuelekeza juu ya jambo husika ni muislam tena kwa dalili.
Mbali na hivyo endelea kuamin uachoamini mwenyezi Mungu atahukumu baina yetu siku ya mwisho tufanye subira tu.
Tunaposema ni yeye lichakutajwa kwa majina tofauti tunazingatia ufanano wa matukio muhimu na historia yake kama inavyoelezwa ktk vitabu tofauti vya Mwenyezi Mungu mfanoMlengwa sio huyo , Isa ni character alietungwa na Muhammad, tena Muhammad akasema Isa Babu yake ni Imran na mjomba ake ni haruni
Kwenye biblia hatuna mtu kama huyo