Alexander Mnyeti amepata wapi utajiri wa kuinunua TCC CLUB ya Chang'ombe?

Hapo Sasa Nadhani Kwakuwa Ngao Yao Hapo Achunguzwe Haraka
 
Kuna mwingine kanunua beach plot Ununio
 
Mkuu unauhakika na taarifa yako?
 
Mkuu majimoto na bar moja tu kubwa na sasa timu ya Gwambina anataka kuihamishia Majimoto pia useme na sifa yake ya ukulima maana huyu jamaa ni mkulima mkubwa kabla hajawa RC,MBUNGE
 
Sabaya scheme
 
Ninachojua TCC Club inaendeshwa na SACCOS ya Wafanyakazi wa TCC. Ilitangazwa Tender ya kuendesha Club hiyo Kampuni ya Mnyeti ikashinda. Usipotoshe Watu haijauzwa...
 
Mkuu majimoto na bar moja tu kubwa na sasa timu ya Gwambina anataka kuihamishia Majimoto pia useme na sifa yake ya ukulima maana huyu jamaa ni mkulima mkubwa kabla hajawa RC,MBUNGE
Mbele ya majimoto kwenye gate la kuingia kwenye gate la hifadhi ya Katavi national Park, kupita kile kijiji amezaliwa Mizengo Pinda ana bar ingine na lodge
 
Alibet
 
Acha tabia za kimaskini. Utakuwa maskini wewe na vizazi vyako kwa wivu kama huo. Hata kama wewe tayari ni tajiri, utafilisika ukiendeleza idea za kimaskini kiasi hicho.
 

Watanzania tubadilike tushangae umasikini sio utajiri. Tuanze kushangaa watu ambao ni masikini wamebaki kwenye vigenge wakati tuna maeneo makubwa ya kilimo, maji ya kuvua, madini....
 
Sema wewe kapata wapi fedha za kuhudumia timu ya Gwambina na kununua TCC Club, usiishie kusema majungu
 
Hivi Mkuu wa shule anaweza kuiba nn? Hebu tufungue kidogo sie tusiojua.
Wakuu wa shule wanaiba mkuu wana forge mpaka saini za Walimu ili kupitisha malipo fake nina ushaidi kutoka kanda ya ziwa jinsi Pesa za fidia ya ada na ruzuku zinavyoibwa na baadhi ya wakuu wa shule. Kuna madudu mengi mnoo Nchi hii ww acha tuu Shule hazina maendeleo yeyote ila pesa inaenda mifukoni mwa watu.
 
Tatizo wizi wa pesa za umma. Au kutajirika kwa kuiba pesa za umma ambao wengi wao ni maskini wa kutupwa.
 
Ninachojua TCC Club inaendeshwa na SACCOS ya Wafanyakazi wa TCC. Ilitangazwa Tender ya kuendesha Club hiyo Kampuni ya Mnyeti ikashinda. Usipotoshe Watu haijauzwa...
Ilishindanishwa na nani ? halafu mikataba ikoje , mpangaji anajenga Hostel na kuchimba bwawa la kuogelea huku akijenga upya uwanja wa BASKET BALL kwa gharama ipi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…