Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Walivuna enzi zile wakiwa Wakuu wa Mikoa. Yupo na mwingine pia (jina kapuni) ambaye TAKUKURU inawahusu.Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Tutazifanyia kazi.Asante kwa taarifa
Je tukipeleka hatutatekwa ?Kama kweli kuna ushahidi wowote unaoweza kudhihirisha hawa kina mnyeti, bashite nk kuwa wanamiliki mali zisizolingana na madaraja yao ya mshahara kama watumishi wa umma basi sisi raiya tunaweza kupeleka malalamiko tume ya ya maadili na usimamazi ya watumishi wa umma na hatua zichukuliwe.
Eee bhana eeee !!!Mkumbuke yafuatayo:-
1. Alexander Mnyeti ni mtoto wa dada yake na Janeth Joseph Magufuli ,
2. Alexander Mnyeti anamiliki mgodi wa tanzanite mererani akiwa mkuu wa mkoa wa manyara
3. Alexander Mnyeti baada ya kupata ubunge ,anamiliki mgodi wa dhahabu wilaya ya misungwi mkoa wa mwanza.
Pia Yuko mkurugenzi wa Ramani investment, ni mbunge Naye ni bilionea.huku wilaya ya songwe ni kilio.Tutazifanyia kazi.
Ile project ya kuiua chadema imegharimu hela nyingi Sana,Turipoti hii habari kwa Watu wa Jamuhuri ya Twitter waanze kufuatilia.
Aiseeeee !!!Ile project ya kuiua chadema imegharimu hela nyingi Sana,
Tuliposema tril 2.4 hazionekani hatukueleweka.
Ni hatari Sana genge la majambazi kumiliki hela nyingi
Tunayatuma hata kwa kumpa boda-boda apeleke bahasha.Je tukipeleka hatutatekwa ?
Huu ni uzalendo mkubwa sana !Tunayatuma hata kwa kumpa boda-boda apeleke bahasha.
😆😆😆Ndo alikuwa DC huyu au ni ndugu yake?
Tunaweza kujiuliza ana shughuli gani kwanza inayomuingizia hela?
Hiyo TCC Changombe ilikuwa inauzwa kwa bei gani?
Kuwa na club kama Gwambina itakugharimu pesa ngapi?
Pengine unakuta kachukua mkopo benki.. tujiulize embu
Mtu kama kigwa ana mzigo mkubwa mnoo alafu anazuga eti analima mpunga 🤣Huu ni uzalendo mkubwa sana !
Huyo siku zake za kubakia uraiani ni fupi mno au tuseme zinahesabika maana kundi lake ni moja na kina DABHuyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Hakuna jema kwa wahujumu uchumiChadema hamna jema
Jamuhuri ya twitter wamepoa siku hiziTuripoti hii habari kwa Watu wa Jamuhuri ya Twitter waanze kufuatilia.
Hili kundi lao ni la kuliogopa na kumbuka biashara ya kuwanunua madiwani wa cdm pale Arusha yeye ndiye alikuwa injiniaNdo alikuwa DC huyu au ni ndugu yake?
Tunaweza kujiuliza ana shughuli gani kwanza inayomuingizia hela?
Hiyo TCC Changombe ilikuwa inauzwa kwa bei gani?
Kuwa na club kama Gwambina itakugharimu pesa ngapi?
Pengine unakuta kachukua mkopo benki.. tujiulize embu
Sabaya…bilionea
Bashite…bilionea
Mnyeti …bilionea
Hapi…???
…hii ni hatari!
Madc na Marc walifaidi chini ya jiwe!