Alexander Mnyeti amepata wapi utajiri wa kuinunua TCC CLUB ya Chang'ombe?

Mkuu sijasema kwamba wewe ni CHADEMA nimebainisha uelekeo wa hoja za CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025
Wewe unazitaka hoja hizo ukajibie mtihani? After all muda wa uchaguzi bado ni mbali Sana, Sasa kuzitaka hoja za chama kisichokuhusu si ni ulozi huo?
Piga ramli huenda zikaonekana juu ya karai la maji au utumbo wa jogoo! Mwanga wewe!
 
sipigi ramli- nazijua tayari na ni:-
1. Chanjo ya korona na barakoa
2. Sabaya
3. Makonda
4. DPP
5. Uwanja wa ndege wa Chato.
Hakuna jipya
 
sipigi ramli- nazijua tayari na ni:-
1. Chanjo ya korona na barakoa
2. Sabaya
3. Makonda
4. DPP
5. Uwanja wa ndege wa Chato.
Hakuna jipya
Hizo ni za kwako na siyo sera za CDM. Wasubiri 2025 wakushangaze na hutaziona hizo sera zako! Utajinyonga wakija na sera tofauti?
 
Hizo ni za kwako na siyo sera za CDM. Wasubiri 2025 wakushangaze na hutaziona hizo sera zako! Utajinyonga wakija na sera tofauti?
Sioni na sitegemei jipya
 
Wee ukoo wao unaujua, mali za babaake au ukoo wao unazijua? Wenzenu wazazi wao walijipanga mashamba, ming' ombe, nyumba mijini eeeh, akiuza nyumba moja ya urithi magomeni, sinza, kariakoo sio mwenzako. Pia jifunze akili yako iwe inachangamka kutafuta fursa nje ya ajira. Unapiga mshahara wa mtu, kafuge kuku, nguruwe, kilimo, maduka hardware, saloon jiongezee acha kufikilia pesa za kulipwa dirishani tu, umri wako unakwenda sasa
 
Ndio tatizo la waswahili Tanzania.
Badala ya kujibidiisha naye afanye makubwa anamnanga aliyechomoka.
Mkuu iga na wewe , usife tu!
 
Ni swali zuri kwani kuna nyepesi nyingi kuhusu uporwaji wa hela zetu enzi zile kupitia miradi mikubwa. Ni swali zuri japo hakuna atakaye kujibu.
Ni jukumu la vyombo kama usalama wa taifa, takukuru na polisi kuupata ukweli wa utajiri wake.
 
Nimejiajiri for almost 25 yrs na mapato yangu ni mazuri tu Ila shida unakuja pale mtumishi wa umma ambaye kabla alikuwa hohehahe na mgongea vinywaji anakuwa bilionea ndani ya miaka sits ya utumishi wake! Hapo ndipo shida ilipo.
Mnyeti kabla ya kuwa DC alikuwa mwalimu shule fulani hapo Tegeta na hakuwa na ukwasi wowote! Namfahamu na kumjua vizuri tu kwa kipindi hicho.
Huu utajiri wa ghafla alionao una mashaka makubwa mno. Achinguzwe tu hakuna namna!
 
Yaani Tajiri wa ktz ni shida,
Wawekezaji wazawa wanapigwa vita na genge lenu la Twitter,
Aya anzisheni fitina zenu maana zimepata mtekelezaji
 
Ni swali zuri kwani kuna nyepesi nyingi kuhusu uporwaji wa hela zetu enzi zile kupitia miradi mikubwa. Ni swali zuri japo hakuna atakaye kujibu.
Ni jukumu la vyombo kama usalama wa taifa, takukuru na polisi kuupata ukweli wa utajiri wake.
Si lazima achunguzwe , hata yeye mwenyewe anaweza kujitokeza hadharani na kufafanua alikopata utajiri wake
 
Yaani wabongo kwa umbea na majungu nawakubali sana
Hapo uliposema ni kama ulikuwa pembeni Yao unaona wanavyotifuana yaani duh!
Na usikute ni story za vijiweni unaleta jf haki anani,
Mchawi wa maendeleo ya. Mtu mweusi ni yeye mwenyewe, ndio maana Mzungu anatumia udhaifu wetu kutuchonganisha Kisha anatumia pesa yake ukammalize black mwenzio alafu yeye anachukua kiulaini[emoji848]
Nyambafu sana sie black people
 
Kipato ni mshahara tu? Watu wanaandika write-up mahela yanamwagika tu.endelea tu na akili zero.
 
Wewe ni bavicha, umeanza lini kufuatilia mafisadi?
 
Kipato ni mshahara tu? Watu wanaandika write-up mahela yanamwagika tu.endelea tu na akili zero.
Ungeweka na ushahidi wa hizo write up zilizokutajirisha ili tuige! Nadhani unaofanana na wale mbwa wanaobwekea magari wakidhani yatasimama! Unajua kabisa kupata malipo yasiyotokana na kazi halali ni kinyume Cha Sheria na ni dhambi kwani hata ukizitolea sadaka hutabarikiwa!
Tunapambana na Wala rushwa na wezi wa Mali za wengine wewe unawaunga mkono! Natamani wangekukuta au wangemkuta babako wakwapue ili ukose kula ndio akili ingekurudia!
Hawa madc na Marc wa kaliba hii ndio wanaomfanya mama, Dada na shangazi kufuata maji yasiyo Safi na salama km.10 na bado utawatetea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…