Alexander Mnyeti Maji ya Shingo, miradi yake yaanza kufa mmoja baada ya mwingine

Huwezi kufanikiwa maisha yako binafsi kwa kuwachukia waliofanikiwa kwenye maisha yao binafsi

Hii ndo tunasema uchawi wa bila mizizi
Hivi unamfaham mleta mada?. Ni kati ya mabilionea bongo. Ni billionaire mstaarab hana ngebe na sifa za kijinga. Kaajiri watu 300 wote na familia na koo zao wanaenda chooni na kubadilisha rangi ya mavi kwa ajili yake.
 
Balaza la mawaziri likifumuliwa vizuri huenda Singida Big Stars na namongo fc zikafa
 
kilichotokea uwanja wa gwambina umefungiwa hivyo kuwalazimu timu kutafuta uwanja sehemu nyingine na kupelekea gharama kupanda

sio porojo unazo sema
 
Magufuli alitengeneza matajiri wa kishamba sana wasukumasukuma flan ambao hawana exposure wakaanza kuchezea hela na kutoa conclusive statents kuhusu masuala ya nchi hii ambazo hazina utafiti.

Mfano: wazungu wametengeneza corona ili kutumaliza watu weusi
 
Yeremia 17 : 5-8
Namnukuu;

".....5 Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA. 6 Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema; Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu. 7 Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA, Ambaye BWANA ni tumaini lake. 8 Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji, Uenezao mizizi yake karibu na mto; Hautaona hofu wakati wa hari ujapo, Bali jani lake litakuwa bichi; Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, Wala hautaacha kuzaa matunda...."

YEREMIAH 17:5 - 8


That's means, Mnyeti aliishi kwa kumtegemea mtu na haya yanayomtokea ni matokeo yake maana tegemeo lake (mwanadamu) aitwaye Magufuli hayupo tena..

Si huyu tu. Wako wengi mno. Mfano yupo mwingine maarufu sana wakati ule kwa matendo maovu na ya kikatili tena kijana mdogo sana anaitwa Ole Lengai Sabaya, naye kosa hili la kuishi kwa kumtegemea mtu/mwanadamu kama kiini cha uhai wake kifedha na kimwili linamtafuna kwelikweli...

Na yupo mwingine vilevile maarufu sana nyakati hizo kwa matendo maovu na ya kikatili dhidi ya binadamu wenzake Paul Christian Makonda a.k.a Albert Bashite naye anacheza kwenye moto huu huu kwa kosa la kumtegemea binadamu kama kiini cha uhai wake kifedha na kimwili...
 
Ungeuliza baada ya Magufuli kutaka kumuua Lissu, sasa yuko kwenye hali gani? Mungu hadhihakiwi. Mshenzi alikuwa anajifanya mtu wa Mungu, kila siku analazimisha kupewa nafasi ya kuhubiria madhabahuni, kumbe ni muuaji!
Kaka yake mbowe alikufa pia
 
tafuta hela , mnyeti sio wa kufilisika Leo Wala kesho,gwambina wamekataa kucheza home match away wakati wanao uwanja , na umefungiwa Kwa makusudi,usijiingize kwenye vitu usivyovijua , tafuta Hela utapunguza makasiriko Kwa wenye Hela. Lema Godbless alisema masikini hawezi kutajirika Kwa kuchukia matajiri.
 
Hakuna aliyeishi kwa kumtegemea mtu isipokuwa mifumo ya kazi iliwalazimu kutegemeana.

Lakini wao walichofanya ni kutimiza wajibu wao kulingana na wakati waliokuwa nao. Kama uliona wamekugonga kwa namna moja au nyingine basi ilikuwa sehemu ya utendaji wao.

Hata Magufuli kilichombeba 2015 ni rekodi ya utendaji wake pamoja na kutofautiana na baadhi ya watu alipokuwa akitimiza wajibu wake kama waziri.

Usipotimiza wajibu utaitwa dhaifu kama mnavyomuita huyu mama kwa sasa kwa staili yake ya nendeni mkalitizame na ukitimiza wajibu utaitwa dikteta. Sasa kazi kwako.
 
Kaka yake mbowe alikufa pia
Hata aliyekuwa mfadhili wa chadema mzee ndesamburo alikufa. Na huyu toka afe chadema hawatumii chopa tena maana huyu ndio alikuwa mmiliki na alikuwa anaitoa muda wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…