YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Ni kigezo kimojawapo kuwa haiishi tu kuhubiri kuwa Mungu anabariki waweza zina baraka waziwazi kwa waumini wakeKwa hiyo kuwepo kwa magari mengi ya uhakika maana yake ndiyo inaonyesha kuna kanisa/Mchungaji wa ukweli?
Mwenye macho haambiwi tama
Kuhubiri kuwa Mungu anabariki halafu kuanzia kiongozi hadi waumini choka mbaya.Ni kulitaja bure jina la Mungu na ni utapeli.Ukihubiri utajiri watu lazima warajirike.Ukihubiri uponyaji wanatakiwa watu wapone kama haitokei huyo ni kiongozi wa kidini uongo.Awe padri,mtume,nabii au mchungaji au yeyote
Neno hubiriwa lazima lifanyike mwili yaani kitu halisia.
Yesu alitamka wazi kama hamuniamini angalieni kazi nizofanyazo wagonjwa wanapona,maskini wanafunguliwa na kupokea utajiri nk
Huwezi tu kuaminiwa kwa kudadavua tu aya za Biblia!!! Na kuonyesha mivyeti.ulyotundika ukutani uliyosoma Vyuo vya dini hadi vigiriki n viyunani na viarabu