Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Kwa hiyo kuwepo kwa magari mengi ya uhakika maana yake ndiyo inaonyesha kuna kanisa/Mchungaji wa ukweli?
Ni kigezo kimojawapo kuwa haiishi tu kuhubiri kuwa Mungu anabariki waweza zina baraka waziwazi kwa waumini wake
Mwenye macho haambiwi tama

Kuhubiri kuwa Mungu anabariki halafu kuanzia kiongozi hadi waumini choka mbaya.Ni kulitaja bure jina la Mungu na ni utapeli.Ukihubiri utajiri watu lazima warajirike.Ukihubiri uponyaji wanatakiwa watu wapone kama haitokei huyo ni kiongozi wa kidini uongo.Awe padri,mtume,nabii au mchungaji au yeyote

Neno hubiriwa lazima lifanyike mwili yaani kitu halisia.
Yesu alitamka wazi kama hamuniamini angalieni kazi nizofanyazo wagonjwa wanapona,maskini wanafunguliwa na kupokea utajiri nk

Huwezi tu kuaminiwa kwa kudadavua tu aya za Biblia!!! Na kuonyesha mivyeti.ulyotundika ukutani uliyosoma Vyuo vya dini hadi vigiriki n viyunani na viarabu
 
Mwamposya ni taasisi inayojitegemea

Hebu fikiria wakatoliki hadi wakatoa baraza la maaskofu kuhusu Mwamposya!! Individual!!

Waislamu nao wana tamko kuhusu Mwamposa!!

Dini kibao zinatetemeka mbele ya Mwamposya si maaskofu wa madhehebu makubwa ya Kikristo hadi ya kipentekoste wanatetemeka kwa Mwamposya individual!!!

Mwamposya yuko kimya hahangaiki nao wao kutwa vikao vya ndani kujadili individual.!!

Kama hujui duniani kuna giants Mwangalie Mwamposya hata usome theolojia Roma au maka au medina aweza kukosesha usingizi!!
Simple individual ana shake up giants waliokariri vitabu vya dini vya zamani hadi kunyonyoka nywele!!
 
Viongozi wa dini wenye wivu na Mwamposya nendeni kwa huyo Mungu wenu awape na nyie hivyo vipawa badala ya kumbwekea Mwamposya.Hiyo miungu yenu Feki mnayoisingiziia kila siku mnayosema iliwaita shambani Haina huo uwezo wa kuwapa hivyo vipawa?

Mnaomsakama Mwamposya mnamsakama bure

Na Mwamposya ni kama myahudi kadri mnavyomsakama ndivyo anavyozidi kuongezeka na wasakamaji kuzidi kupungua hadi kufikia kupotea ramani ya huduma!!!

Mitume waliokuwa na Yesu walipoenda matembezini walikutana na mtu anatoa pepo kwa jina La Yesu ambaye hakuwa dini yao wala dhehebu lao wala misimamo yao ya kitheolojia ya vidini vyao.Wakasema kwa kiburi cha kidini chao tumemzuia kwa mamlaka ya tuliyopewa na vidini vyetu!!Yesu akawajibu akasema msimzuie sababu hayuko kidini chenu na vitheolojia vyenu

Wanaomzuia Mwamposya au kumsema vibaya wajiandae huduma zao kuporomoka
Wamuache aendelee na kazi yake

Wakimzuia hao waislamu wanaojazana Kwame watakuja kwao? Wajue damage wanayofanya Mungu atawapa jibu lao

Yeyote unayemponda Mwamposya kaa mbali naye.Akikuuliza yeyote Mwambie tu kuna karama tofauti na utendaji tofauti .No further comments.Ukiulizwa yule ni mtumishi wa Mungu au la.Mwambie ajue hayo ni Mungu,Mtumishi Mwenyewe na mfuasi mfuasi husika wake husika.Sina comment zaidi ya hapa.

Hiyo ndio Lugha Mwamposya kiongozi wangu hutumia
Ajuaye kuwa wewe ni mtumishi wake Mungu akujuaye sana ni Mungu mwenyewe sio dini yako au viongozi wako

Wa pili ni wafuasi wako
Wa Tatu ni wewe mwenyewe je wewe kweli ni mtumishi wa Mungu ? Sema kweli ndani ya nafsi yako Siri zako unazijua sana.

Binafsi kama Mfuasi wa Mwamposya namkubali.Sijali nani anamsemaje Mwamposya.Imani ni kitu binafsi .Binafsi namkubali ni mtu wa vitendo zaidi kuliko.maneno ya hadithi za Biblia zilizopewa jina la Bible study!!
 
Mama anasema " Ninamatizo makubwa yamenielemea, nikienda kwa Mashekh waniombee kwa Mungu, wanaomba niwape pesa, na pesa kwasasa sina. Lakini nikienda kanisani naombewa bure bila kuombwa chochote..... Kama Mungu ni yuleyule kosa langu ni lipi hapo??
Suala la masheikh kutaka pesa ndiyo wamuombee ni tatizo lakini hiyo imani yake kwamba Mungu ni yuleyule hapo kachemsha kwa sababu kule wao wanaamini anayewaponya hizo shida zao ni Yesu hii maana yake Mungu wao ni Yesu na Waislamu hawaamini kama Yesu ni Mungu(Na sio Mungu) sasa hapo atasemaje Mungu ni yuleyule!
 
Kweli ndugu yangu.... Elimu ndo changamoto!!!
 
Mwenye shida hachagui mganga
Shida sio happy ending kaka.... Swala hapa ni umetatua vipi shida zako?
Chukua mfano mdogo..... Shoga kaingiliwa kinyume na maumbile mwsho kapata pesa, malaya kajiuza mwsho kapata pesa, mbeba mizigo kabeba mizigo kwisho kapata pesa, tapeli katapel mwsho kapata pesa

Hao wote mwsho wamemaliza siku yao wakiwa na pesa... Swali ni je ipi pesa halali kwa Allah Kati ya hizo??
Kwahy unatakiwa utizame tatzo lako unalitatua upande upi,,,, maana usisahau pia ibilisi anamiujiza na elimu kubwa ndugu
 
Viongozi wa dini wenye wivu na Mwamposya nendeni kwa huyo Mungu wenu awape na nyie hivyo vipawa badala ya kumbwekea Mwamposya.Hiyo miungu yenu Feki mnayoisingiziia kila siku mnayosema iliwaita shambani Haina huo uwezo wa kuwapa hivyo vipawa?

Mnaomsakama Mwamposya mnamsakama bure

Na Mwamposya ni kama myahudi kadri mnavyomsakama ndivyo anavyozidi kuongezeka na wasakamaji kuzidi kupungua hadi kufikia kupotea ramani ya huduma!!!

Mitume waliokuwa na Yesu walipoenda matembezini walikutana na mtu anatoa pepo kwa jina La Yesu ambaye hakuwa dini yao wala dhehebu lao wala misimamo yao ya kitheolojia ya vidini vyao.Wakasema kwa kiburi cha kidini chao tumemzuia kwa mamlaka ya tuliyopewa na vidini vyetu!!Yesu akawajibu akasema msimzuie sababu hayuko kidini chenu na vitheolojia vyenu

Wanaomzuia Mwamposya au kumsema vibaya wajiandae huduma zao kuporomoka
Wamuache aendelee na kazi yake

Wakimzuia hao waislamu wanaojazana Kwame watakuja kwao? Wajue damage wanayofanya Mungu atawapa jibu lao

Yeyote unayemponda Mwamposya kaa mbali naye.Akikuuliza yeyote Mwambie tu kuna karama tofauti na utendaji tofauti .No further comments.Ukiulizwa yule ni mtumishi wa Mungu au la.Mwambie ajue hayo ni Mungu,Mtumishi Mwenyewe na mfuasi mfuasi husika wake husika.Sina comment zaidi ya hapa.

Hiyo ndio Lugha Mwamposya kiongozi wangu hutumia
Ajuaye kuwa wewe ni mtumishi wake Mungu akujuaye sana ni Mungu mwenyewe sio dini yako au viongozi wako

Wa pili ni wafuasi wako
Wa Tatu ni wewe mwenyewe je wewe kweli ni mtumishi wa Mungu ? Sema kweli ndani ya nafsi yako Siri zako unazijua sana.

Binafsi kama Mfuasi wa Mwamposya namkubali.Sijali nani anamsemaje Mwamposya.Imani ni kitu binafsi .Binafsi namkubali ni mtu wa vitendo zaidi kuliko.maneno ya hadithi za Biblia zilizopewa jina la Bible study!!
Wewe unadai huyo ni kiongozi wako nawe ni mfuasi wake lakini hata jina lake unalitamka hovyo tofauti na linavyokua....tamka hivi, Mwamposa badala ya mwamposya, usiharibu majina ya watu.
 
Muite mfia dhehebu uliempandishia uzi huu umkumbushe kuwa papa wa katoliki kaamuru baraka zimiminwe kwa magasho, nadhani ataficha sura yake!
 
Back
Top Bottom