Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nimemsikia huyu kijana anayeitwa Ali Kamwe mfanyakazi wa Yanga anazisihi taasisi, kampuni na mashirika mbalimbali katika nchi ziruhusu wafanyakazi wao kutoka kazini mapema Jummane wakaishangilie timu ya Taifa.
Huu ni wendawazimu, nchi hii ina mambo mengine muhimu zaidi ya mpira, yaani Jumanne mtu akose huduma muhimu kisa mtu ameenda kuangalia mpira!
Huu ni wendawazimu, nchi hii ina mambo mengine muhimu zaidi ya mpira, yaani Jumanne mtu akose huduma muhimu kisa mtu ameenda kuangalia mpira!